Ndugu Wanajumuiya wa TANROK na Watanzania wote, Kwa niaba ya uongozi - Jumuiya ya Watanzania Nchini Korea Kusini, Tunawatakieni Wanajumuiya na Watanzania wote kokote walipo, kheri, baraka, na fanaka tele kwa kusheherekea sikukuu hii ya Pasaka. Idumishe ishara ya upendo, amani na umoja, na ilete furaha kwa familia
zenu, wapendwa wenu, ndugu zenu na jamaa wote.
Tafadhali pitia wavuti yetu
HERI YA PASAKA!
Emmanuel Lupilya.
M/Kiti Jumuiya ya Watanzania - Korea.