Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Africa Mashariki Dk. Richard Sezibera (kulia) akiwa na Waziri Mkuu wa Denmark Mh Helle Thorning-Schmidt alipotembelea makao makuu ya jumuiya Arusha,Tanzania.
Picha ya pamoja na Waziri mkuu wa Denmark, Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu,Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na maofisa wa juu wa jumuiya