Kama ilivyo ada, baada ya kuhairishwa ka safari ya kwenda Kunduchi wanamichezo toka vilabu vya Namanga na Biafra waliamua kufanya mazoezi pamoja kwa kuanzia Namanga jijini Dar es salaam na kuishia Biafra. Mbio hizo zilipita katika bara ya Ubalozi (USA), Mwai Kibaki, Migombani, Mission Mikocheni, New Bagamoyo, , Mwinjuma, Hospitali ya Mwananyamala, Dunga, Kawawa na kuishia 90 Degrees Pub ambapo ni Makao makuu ya klabu y Biafra.
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Jogging barabara ya ubalozi (USA) |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Katibu Mkuu wa Biafra Kaka Poli akiongoza jahazi...ingawa rejeta inaonekana kufuka moshi tehe tehe tehe... Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA |