Mabango mbalimbali yameenezwa kila mahali katika mji wa Moshi. Mashindano hayo ya kila mwaka yanafanyika kesho March 3, 2013.
Misururu ya magari si kawaida katika mji wa Moshi lakini kutokana na heka heka za Kilimanjaro Marathon hali hiyo imeanza kuonekana hasa katika maeneo ya katikati ya mji.
Maandalizi ya jukwaa la burudani
Uandikishaji ukiendelea katika hotel ya Keys
Uandikishaji ukiendelea katika hotel ya Keys. Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.