Ndugu Wanajumuia,
Â
Nina masikitiko makubwa kuwajulisha kwamba kaka mpendwa Mabula Aloys Nyamenda amefariki dunia February 22, 2013 hapo San Diego, California. Marehemu allikua akisumbuliwa na cancer ya damu (Leukemia); na ameacha mke na mtoto wa miaka 11.
Â
Familia ya marehemu inatarajia kusafirisha mwili kwenda Tanzania mnamo March 8, 2013. Gharama za usafirishaji mwili inakisiwa kuwa $7,200.  Kwa wale wanaoweza, tafadhali weka mchango wako katika account ya benki ifuatayo: Jina la Benki: Bank of America - California.     Jina la Mwenye Account: Paschal Nyawabila     Account Number: 325013556996    Zip Code:  92129 (kwa ajili ya transfer)
Â
Ndugu, jamaa, na marafiki watakua pamoja kwa kutoa heshima za mwisho siku ya Ijumaa - March 1, 2013; 12:00 - 2:00 pm katika anuani ifuatayo:Â
St. Michael Parish,   15546 Pomerado Rd., Poway, CA 92064
Â
Na baadae kuelekea kwenye chakula kwemye anuani ifuatayo: 4688 Convoy Street, San Diego, CA 92111   Namba ya simu: 858-279-6888
Â
Misaada ya kihali na kimali inahitajika katika kipindi hichi kigumu. Naomba tuwaombee wafiwa Mwenyezi Mungu awape subira; na tumuombee marehemu Mabula Aloys Nyamenda aende mahala pema peponi, amin.  Kwa maelezo zaidi, naomba wasiliana na:
Soon Nyamenda (858)-539-9800 (Mke wa Marehemu)   Â
Henry Nyamenda (858)740-6865 (Kaka wa Marehemu)
Paschal Nyawabila (858)231-0849
Joseph Kisaka (760)212-2000
Felician Nyamenda 011-255-769-069003 (Familia ya Marehemu - Tanzania)
Â
Wenu katika majonzi,
Rabia