Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) (kushoto) akiwa na Naibu wake Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) walipokutana kwa mazungumzo na ujumbe kutoka Jamhuri ya Watu wa China ukiongozwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Zhai Jun (hayupo pichani) |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mhe. Membe na Mhe. Maalim wakiendelea na mazungumzo na ujumbe huo kutoka China kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na China. Kulia kwa Mhe. Membe ni Balozi Rajabu Gamaha, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mhe. Zhai Jun (katikati), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China akimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo yao. Wengine katika picha ni Mhe. Lu Youqing (kulia), Balozi wa China hapa nchini na Bi. Zhang Jing, Mkalimani wa ujumbe huo. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mhe. Zhai Jun, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China akizungumza na Mhe. Membe (hayupo pichani) na wajumbe wengine. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mhe. Membe na Mhe. Maalim wakimsikiliza Mhe. Zhai Jun (hayupo pichani) wakati wa mazungumzo yao. Wengine katika picha ni Wajumbe wa Tanzania wakati wa mazungumzo hayo. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mhe. Membe akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo hayo huku Mhe Zhai Jun na wajumbe wengine wakisikiliza |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Wajumbe wa China na Tanzania kwa pamoja wakimsikiliza Mhe. Membe wakati wa mazungumzo hayo. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Wajumbe wengine wa Tanzania waliokuwepo kwenye mazungumzo hayo. Kulia ni Bw. Assah Mwambene, Mkurugenzi wa Idara ya Habari katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mhe. Membe akimsindikiza Mhe. Zhai Jun mara baada ya mazungumzo yao |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mhe. Membe akiagana na Mhe. Zhai Jun. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Mhe. Membe akiteta jambo na Balozi Lu Youqing mara baada ya mazungumzo huku Mhe. Maalim akisikiliza kwa makini. |