Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Nchini Tanzania Mhe. Mallallah Mubarak Alameri,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchin