Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bw. Wilman Kipenjama Ndile(kulia) akipokea msaada unga na simenti kutoka kampuni ya Ophir Energy Plc vyote vikiwa na thamani ya Sh Mil 13 kwa ajili ya wathirika wa mafuriko wilayani humo. Msaada huo ulikabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo Bw Fidelis Lekule.
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Bw Wilman Kipenjam Ndile akitoa shukrani kwa kampuni ya Ophir Energy plc mara baada ya kupokea msaada wa chakula na saruji vyote vikiwa na thamani ya Sh Mil 13.2, kwa ajili ya waathirika wa mafuriko wilayani humo. Shoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo Bw Fidelis Lekule(kushoto) na mwakilishi wa wahanga hao mlemavu wa macho Bw Mohammed Omari. Picha na Executive Solutions