Ankal na Wadau wako,
Naomba mkae mikijua kwamba kuna Mchezo mchafu umeibuka jijini Dar es salaam hususan maeneo ya Jmall, mtaa wa Samora na Morogoro Road ambapo watu wengi wa mataifa ya nje huja.
Kuna huyu bwana (alieshika passport ya mzungu nyekundu pichani) ndio mtaalam mwenyewe. Mzungu yuo kwa pembeni akishangaa. Wakikukuta huna kibali cha kukaa bongo wanakubeba kwenye Noah yao kisha wanakupeleka wanakojua wao na njiani wanalazimisha utoe pesa ndipo wakuachie.
Tunaomba wanaohusika wamuwinde na kumchukulia hatua maana anachafua jina la nchi na jeshi la uhamiaji kwa ujumla. Inasemekana aliwahi kufanya uhamiaji kabla hajafukuzwa bila shaka kwa utovu wa nidhamu
Mdau DownTown