Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110025 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU VYAMA VYA SIASA WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MATAKWA YA SHERIA YA GHARAMA ZA...

Wakati tukielekea kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buyungu na kata 77 utakaofanyika tarehe 12 Agosti, 2018, nachukue fursa hii kuwakumbusha wadau wote hususani vyama vya siasa, wagombea na Asasi za...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACACIA WATOA MSAADA WA SHILINGI MIL NANE KWA ATFGM MASANGA TARIME

Na Frankius Cleophace TarimeKAMPUNI ya uchimbaji wa mawe yenye dhahabu ya Acacia North Mara wametoa msaada wenye thamani zaidi ya Sh.milioni nane katika Kituo cha kuifadhi wahanga wa ukatili wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMWA, MASHIRIKA YA CANADA,ULAYA WAZINDUA FILAMU INAYOHUSU KUPINGA UKEKETAJI

Na Khadija Seif , Globu ya jamii   .CHAMA cha Wanawake Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na mashirika mbalimbali ya kutoka nchini Canada na mataifa ya Ulaya wamefanya uzinduzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMISEMI Yakabidhiwa Gari Kuboresha Ufanisi Huduma za Afya

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Zainab Chaula (kushoto) akitiliana saini hati ya makabidhiano ya msaada wa gari aina ya Toyota Landcruser kwa...

View Article

LIVE: OBAMA AKIHUTUBIA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KUZALIWA KWA NELSON...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watalii kutoka nchini Uswisi wakitalii Mlima Kilimanjaro kwa kutumia Baiskeli

Watalii kutoka nchini Uswisi Daniel Gehring na Andre Luethi wakitalii Mlima Kilimanjaro kwa kutumia Baiskeli kwa muda wa siku saba na kufanikiwa kufika kilele cha juu kabisa cha Uhuru. 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mawaziri watano wajadili Bomba la Mafuta

Mawaziri kutoka Wizara Tano zinazohusika na utekelezaji wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanzania, wamekutana na wataalam wa Tanzania walio katika Timu ya Kitaifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA UDIWANI KIMARA KWA TIKETI YA CCM APITA BILA KUPINGWA

Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam John Kayombo amemtangaza Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Pascal Manota kuwa mshindi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wakazi wa Mbagala wapewa elimu kuhusu usaidizi wa kisheria

katika kuwafikia wananchi na kuwaelimisha kuhusu maswala ya haki za binadamu na msaada wa kisheria , taasisi ya Peoples Development Forum(PDF) chini ya ufadhili wa Legal Services Facility imeendesha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFUNZO YA WAANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAENDELEA MJINI MOROGORO

 Wakili wa Kujitegemea kutoka Haki Advocates,  Aloyce Komba akitoa Mada ya utoaji wa Habari za Kimahakama kwa waandishi wa Habari za Mahakama wanaoshiriki katika mafunzo ya Uandishi wa Habari za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NCAA yaweka mikakati kuijaza Dreamliner

Na Ripota Wetu- ArushaWAKATI Rais Dk. John Magufuli akitoa maelekezo ya kufikia watalii milioni 5 hadi ifikapo mwaka 2020, Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeanza utekelezaji wa agizo hilo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AZINDUA FAO LA USHIRIKA AFYA LA NHIF

Na Ripota Wetu, Globu ya jamiiWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua fao la Ushirika Afya ambalo linawalenga wananchi wanaojishughulisha na kilimo kupitia ushirika.Amezindua fao hilo jana (Jumatatu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ipigie kura Ngoma Africa Band ishinde award ya kimataifa

Voting on www.afrikafestival.net

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO KATI YA VYAMA VYA SIASA VYA AFRIKA NA CHAMA CHA...

*Ahimiza hivyo kujikita kujenga uchumi imara ili wananchi wapate huduma bora.Na Chalila Kibuda,Globu ya jamiiUKOMBOZI wa sasa kwa vyama tawala katika nchi za Afrika  ni vema wakajikita katika katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ST.ANNE MARIE YAONGOZA KITAIFA SOMO LA UHASIBU

SHULE ya Sekondari St. Anne Marie Academy imefanikiwa kuwa ya kwanza kitaifa kwenye somo la uhasibu katika matokeo ya kidato cha sita.Pia shule hiyo imefanikiwa kushika nafasi ya pili kitaifa kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NDC YAANDAA MAONESHO MAKUBWA YA KUKUZA UWEKEZAJI NCHINI

Na Said Mwishehe, Globu ya jamii KAMPUNI ya Phimona Ltd inayojihusisha na ushauri wa biashara na mawasiliano kwa kushirkiana na wadau waliobobea kuhamasisha uwekezaji imetangaza kufanyika kwa Maonesho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madaktari Bingwa wa Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa...

Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na mwenzao kutoka nchini China wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa bila kufungua kifua kupitia tundu dogo lililotobolewa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALLA AAGIZA KATIBU WA UVCCM TARIME KUKAMATWA NA KUFUNGULIWA...

Tarime - MaraWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameliagiza Jeshi la Polisi wilaya ya Tarime mkoani Mara kumkamata na kumfungulia mashtaka Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AWAANDALIA DHIFA YA KITAIFA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Dhifa ya kitaifa aliyowaandalia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 kuchachangia milioni mbili...

 Katibu Tawala wilaya ya Temeke Ndugu Hashimu Komba (kwa niaba ya MKuu wa Wilaya),akimkabidhi Kombe la Tatu Mzuka kwa kijana mkazi wa Mbagala,Abeid Amir aliyejinyakulia kitita cha shilingi Milioni...

View Article
Browsing all 110025 articles
Browse latest View live




Latest Images