Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA MOYO WA TAASISI YA JKCI WATOA HUDUMA ZA...

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Delila Kimambo akitoa huduma ya ushauri kuhusu namna ya kuepukana na...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAKUSANYA TRILIONI 15.5 KWA MWAKA WA FEDHA 2017/18

Na Veronica Kazimoto,Dar es SalaamMakusanyo ya kodi kwa Mwaka wa Fedha wa 2017/18 yameongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 15.5 kutoka shilingi trilioni 14.4 kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 sawa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CREDIT SUISSE KUIPATIA TANZANIA MKOPO WA DOLA MILIONI 200

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea picha ya alama ya ushirikiano ya kiasi cha Dola 500 kutoka kwa Afisa mwandamizi wa Benki ya Suisse ya Uingereza Bi. Elizabeth Muchemi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msajili Baraza la Uuguzi na Ukunga Nchini Atembelea Vituo vya Afya

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Bi. Agnes Mtawa ametembelea Mkoa wa Shinyanga pamoja na Wilaya ya Kahama na vituo vya afya kwa nia ya kuangalia shughuli zinazofanywa na wauguzi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASHAURIWA KUWEKEZA KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

Na Pamela Mollel,ArushaSerikali imeshauriwa kuangalia uwezekano wa kuanza kuwekeza kwa watoto hasa wanaoishi katika mazingira Magumu ili kuepusha dhana ya kuwa na taifa lenye watoto ombaomba.Kauli hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI KUFUNGUA MKUTANO WA KIDUNIA WA VYAMA VYA KISIASA JIJINI DAR

Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kufungua Mkutano wa Kidunia wa Vyama vya Siasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AMWAGIZA RPC SHINYANGA AWAKAMATE VIONGOZI TISA WA AMCOS YA USHETU

*Ni kwa upotevu wa dola za Marekani 21,000*Wakimbia mkutano baada ya wananchi kuzomeaWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Simon Haule awakamate viongozi wa Chama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli awaagiza viongozi wa mkoa wa Pwani na Dar es Salaam kutatua...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mamia ya wananchi wa Mbezi Mwisho waliosimama katikati barabara ya Morogoro kuhusu kero zao mbalimbali wakati akitokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI CHUO CHA UONGOZI CHA MWALIMU JULIUS...

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amesema kuwa ukombozi kwa ajili ya Uhuru ulishapita sasa ni ukombozi wa maendeleo ya Kiuchumi.Rais Dk....

View Article


BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 16.07.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AMTAMBULISHA MKUU WA WILAYA YA KAHAMA KWA WANANCHI NA KUWEKA JIWE...

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipoweka  jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama Julai 17, 2018. Watatu kushoto ni  Mbunge wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NCHINI AKUTANA NA KAMISHNA...

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) Thobias Andengenye atembelewa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Phaustine Kasike mapema leo asubuhi katika Makao Makuu ya Jeshi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, KAMISHINA WA JESHI LA POLISI...

 Katibu Mkuu Wazira ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu akisalimiana na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Dr. Eliezer Feleshi, wakati alipoenda kuapishwa kuwa Mjumbe wa Tume ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIPANGO YA MATUMIZI BORA YA ARDHI KWA VIJIJI VINAVYOZUIZUNGUKA HIFADHI YA...

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Matumizi Bora ya Ardhi Dkt. Stephen Nindi (aliyekaa) akimsikiliza kwa makini Mtendaji Mkuu wa TFS, Prof. Dos Santos Silayo alipokuwa akiwasisitiza wajumbe wa kikao kazi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE...

Balozi Mteule wa Kenya nchini Tanzania, Mhe. Dan Kazungu akiwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.). Mara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF KAGERA WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KWA KITUO CHA KULELEA WAZEE.

Na Editha Karlo wa blog ya jamii,KageraMFUKO wa Taifa wa Bima ya afya(NHIF) Mkoa wa Kagera wamekabidhi msaada wa vifaa vya ujenzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu kwa ajili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA KUPELEKA MILIONI 300 HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA TABORA

Na .WAMJW-TaboraSerikali kupitia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto inatarajia kupeleka shilingi milioni 300 kwenye hospitali ya rufaa ya Mkoa ya Kitete kwa ajili ya kupanua wodi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAJA NA MKAKATI MAALUM KUONGEZA MAPATO KUPITIA SEKTA YA UTALII

Na Rachel Mkundai, ArushaMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imekuja na mkakati maalum wa kuhakikisha kwamba pato la Serikali na kodi stahiki inapatikana kupitia sekta ya utalii nchini.Akizungumza Jijini...

View Article

WAKONTA KAPUNDA ASIMULIA ALIVYOPATA AJALI YAKE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AZINDUA GHALA LA KUHIFADHIA MAZAO YA WAKULIMA KATIKA KIJIJI CHA...

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikata utepe kuzindua ghala la kuhifadhia mazao ya wakulima katika kijiji cha Bulige kwenye Halmashauri ya Msalala, Julai 17, 2018.  Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kahama,...

View Article
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live




Latest Images