Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU: MUWAFUATE WANANCHI VIJIJINI

*Ataka watenge siku tatu hadi nne waende waliko wananchi*Asema Serikali hii haitaki mambo ya urasimuWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wote wa Serikali za Mitaa nchini watenge theluthi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAGUZI WA MAGARI, LESENI NA OPARESHENI YA KUKAMATA MAKOSA YA USALAMA...

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu na ajali za barabarani ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKEMEA MAHUSIANO MABAYA YA WATUMISHI KAHAMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekemea mahusiano mabaya baina ya watumishi wa wilaya ya Kahama na kusema wanapaswa kubadilika mara moja.Ametoa onyo hilo leo (Jumapili, Julai 15, 2018) wakati akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANISA lagawa Pikipiki kwa wachungaji,Polisi

KANISA la Pentecostal Assemblies of God (PAG), limegawa Pikipiki kwa wachungaji wake ikiwamo Kituo cha Polisi cha wilaya ya Hanang mkoani Manyara. Lengo la kutolewa kwa vyombo hivyo vya usafiri ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS KATIKA FASHION ASSOCIATION OF TANZANIA NCHINI...

 Mwanamitindo maarufu nchini, Asia Idarous Khamsin akiwakilisha kwenye Fashion Association of Tanzania katika Annual event (global arts expo) iliyofanyika jiji ni Virginia nchini Marekani, Jumla ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RPC ARUSHA ATAJA VIPAUMBELE VITANO KUELEKEA KUUSHINDA UHALIFU

Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi ArushaJeshi la Polisi mkoani hapa kupitia Kamanda wake wa mkoa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi, limetaja mambo matano ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA SERIKALI YA KENYA WAOMBA MASHIRIKIANO BAINA YAO NA TANZANIA...

Viongozi wa serikali nchini Kenya wameomba kuendelea kushirikiana vyema na serikali ya Tanzania katika kupinga na kupiga Vita suala la Ukeketaji kwa Watoto wa kike huku serikali ikiongoza vyema wazee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILIONI 1.5 KUJENGA WODI YA MAMA NA MTOTO

Na Shushu Joel, BariadiSerikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 1.5 kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIVUKO CHA MV. NYERERE CHAFUNGWA INJINI MPYA

Na Theresia Mwami - TEMESAKivuko cha MV. NYERERE kinachotoa huduma kati ya Bugorola na Ukara katika Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza, kinafungwa injini mpya tangu kununuliwa kwake na kuanza kutoa huduma...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wachimbaji Wadogo Handeni Kunufaika na Kituo cha Umahiri

Frank Mvungi- MAELEZO, HandeniSerikali Wilayani Handeni imewataka wananchi kutumia fursa ya kujengwa kwa Kituo cha umahiri katika Wilaya hiyo kujiletea  maendeleo kupitia sekta ya madini.Akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUKUMU KESI YA WEMA SEPETU YASOGEZWA MBELE MPAKA JULAI 20

Muigizaji wa Bongo movie Wema Sepetu akitoka mahakamani baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuahirisha kusoma hukumu dhidi ya kesi yake ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili yeye na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KALIUA YATOA PIKIPIKI 12 KWA MAOFISA UGANI ILI WAENDE KWA WAKULIMA

Na Tiganya Vincent, TaboraJUMLA ya watumishi 12 wa Kada mbalimbali wa Halmashauri ya  Wilaya ya Kaliua wakabidhiwa pikipiki zenye thamani ya milioni 29  kwa ajili ya kurahisisha utoaji huduma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT:WAZIRI MBARAWA AMNG'OA MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI KIGOMA

Na Editha Karlo,blog ya jamii Kigoma.WAZIRI wa Mji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa amemuondoa kwenye nafasi yake ya Ukurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mkoa wa Kigoma (KUWASA) Saimon Lupuga baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZFDA YATEKETEZA TANI 95 ZA CHAKULA NA TANI MOJA YA DAWA ZA BINADAMU...

Na Ramadhani Ali, Maelezo ZanzibarMamlaka ya Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imejidhatiti kuhakikisha kuwa bidhaa zinazoingizwa nchini zinawafikia wananchi zikiwa salama kwa matumizi kwa lengo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL MONEY NA SPORTPESA WAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI

Mshindi wa promosheni ya AMSHA AMSHA USHINDE NA AIRTEL MONEY Fredy Mduma wa Kimara DSM akikabidhiwa zawadi yake ya simu aina ya smartphone na Meneja Uhusiano SportPesa Tanzania Sabrina Msuya wakati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yapongezwa Kwa Kuwainua Wanawake Sekta ya Madini

 Msanifu majengo wa Kampuni ya InterConsult Ltd Bw. Beno Matata akieleza mikakati ya kampuni hiyo katika kuhakikisha kuwa inasimamia mradi  wa ujenzi wa Kituo Maalum kitakachotumika kuwajengea uwezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APOKELEWA RASMI LEO MAKAO MAKUU YA JESHI HILO

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Phaustine Kasike akipokea saluti kutoka kwa Kamishna wa Utawala wa Magereza, Gaston Sanga mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ofisi ya Makao Makuu ya Jeshi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUSANYO LA KODI MWAKA WA FEDHA 2017/2018 LAPANDA KWA ASILIMIA 7.5

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) wamefanikiwa kukusanya jumla ya shilingi Trilioni 15.5 kwa mwaka mzima wa fedha 2017/2018 kuanzia julai 2017 hadi Juni 30 2018...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANGI LUGOLA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA, UKONGA...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (watatu kutoka kushoto), akipata maelezo juu ya ubora wa silaha inayotumika katika kupambana na uhalifu baada ya kutembelea Makao Makuu ya Kikosi cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zamfuko kutua mbao fc

Na Agnes Francis, globu ya jamii.Hatimaye klabu ya mbaofc wamefanikiwa kuinasa saini ya mchezaji  Zam Elias Zamfuko aliyekuwa akichezea timu ya Afrikan  Lyon.Katika makubaliano baina yao kiungo mkabaji...

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images