Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARUFUKU BUTURA NA BIASHARA YA MAGENDO KATIKA KAHAWA-DKT TIZEBA

Na Mathias Canal-WK, KageraBiashara ya kuuza Kahawa nje ya nchi pasina kufuata utaratibu wa kisheria (magendo) imepigwa marufuku hivyo atakayebainika kuendelea na biashara hiyo atachukuliwa hatua Kali...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC TARIME AUNDA KIKOSI KAZI KUCHUNGUZA WALIOTAFUNA BIL 5/- ZA WANANCHI WA...

Na Frankius Cleophace, Tarime MKUU wa Wilaya ya Tarime mkoani Mara Glorious Luoga ameunda kikosi kazi kwa ajili ya kuchunguza na kukamatwa kwa watu ambao wamehusika kutafuna fedha Sh.bilioni tano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAGERA SUGAR WAFANYA USAJILI WA WACHEZAJ SABA KWA WAKATI MMOJA

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.TIMU ya Kagera Sugar 'Wana Nkurukumbi' wamefanya usajili wa wachezaji saba kwa wakati mmoja kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikoso chao msimu ujao wa 2018/19.Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA ARUSHA AIPONGEZA SHIRIKA LA FOUNDATION FOR TOMORROW KWA...

Na Pamela Mollel,ArushaMkuu wa wilaya ya Arusha,,Gabriel Daqarro ameipongeza Taasisi ya Foundation For Tomorrow kwa kazi nzuri wanayoifanya katika kuhamasisha maswala ya elimu katika Mkoa wa Arusha ....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA KIFO CHA JOYCE CRARA KIBAJA WA MAKONGO JUU JIJINI DAR

FAMILIA ya marehemu mzee Julius Vincent Kibaja wa Makongo Juu inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Joyce Crara Kibaja kilichotokea tarehe 5 /7/2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA FEDHA AHIMIZA MAADILI TRA, AZUNGUMZIA UTOZAJI KODI KWA HAKI

Na Said Mwishehe, Globu ya WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk. Philipo Mpango ametoa onyo hatakuwa tayari kuona fedha ambazo zimepitishwa katika bajeti ya fedha ya mwaka 2018/2019 zikitumika kinyume na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI...

  Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongoza Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya CCM kilichofanyika katika Ofisi ndogo za chama  hicho...

View Article

Kesi ya Mbunge wa Mbozi Pascal Haonga na wenzake yapigwa tarehe

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kenya-Swiss deal

www.bunimedia.com/www.buni.tv/www.xyzshow.co.ke

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mwakyembe afanya ziara ya kukagua Miundombinu ya Viwanja vya Michezo...

.  Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye miwani) akimsikiliza Mwalimu wa Michezo wa Shule ya Sekondari ya Singe (Mwenye koti la kijivu) Bw. Amos Sungi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yaendelea kuweka msukumo wa kukuza Sekta ya Filamu Nchini

 Na Lorietha Laurence-WHUSM, Manyara. Serikali imendelea kuweka msukumo wa kukuza Sekta ya filamu nchini,kwa kuendeleza utafiti, ubunifu na teknolojia ikiwemo kujenga mazingira wezeshi kwa wadau wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA SHIRIKA LA POSTA JIJINI DAR ES SALAAM

.Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, Susan Kiwanga, akichangia hoja katika taarifa hiyo, ya utendaji wa shirika hilo. Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, Charles...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLA ATEMBELEA HIFADHI YA MSITU WA NORTH EAST MPANDA, TONGWE NA...

.Muonekano wa Maporomoko ya Nkondwe jana ambayo ni moja ya kivutio cha utalii, katika wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi.Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akifafanua jambo kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bilioni 45 kupeleka umeme kwa Vijiji 150 Morogoro

Na Veronica Simba – KilosaImeelezwa kwamba, jumla ya shilingi bilioni 45 za kitanzania, zimetengwa na Serikali kwa ajili ya kupeleka umeme katika Vijiji 150 vya Mkoa wa Morogoro, kupitia Mradi wa Umeme...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 1470 KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI WAKAMATWA MKOANI KAGERA

Na Editha Karlo wa blog ya jamii,Kagera.JUMLA ya wahamiaji haramu 1470 kutoka mataifa mbalimbali wamekamatwa Mkoani Kagera kwa kuingia nchini kinyume cha sheria.Akiongea na waandishi wa habari ofisini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KICHWA CHA UMTITI CHAIPELEKA UFARANSA KUINGOJA UINGEREZA AMA CROATIA KWENYE...

Ufaransa wanamsubiri aidha Uingereza ama Croatia baada ya goli la kichwa la kipindi cha pili la Samuel Umtiti kutosha kuwapeleka Wafaransa hao kwenye fainali ya Kombe la Dunia la Soka mwaka huu....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRITISH COUNCIL IELTS

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Korea, Dk Mengi wazungumzia uunganishaji magari ya Korea nchini...

BALOZI wa Korea Kusini, Mh. Geum-Young Song amesema kwamba  atasaidia haja ya uwekezaji wa uunganishaji magari nchini Tanzania pamoja na kuiwezesha Tanzania kuwa kitovu cha tehama kwa nchi za Kusini,...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 10.07.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OPERESHENI ENDELEVU YA UKAGUZI WA MGARI USIKU NA MCHANA ARUSHA YAPAMBA MOTO

Na.Vero Ignatus,Arusha.Ni operesheni endelevu ya kukagua magari na pikipiki yenye makosa mbalimbali ya usalama barabarani mkoani Arusha ,ambapo jumla ya magari 1719 yalikaguliwa pikipiki 182,madereva...

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images