Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110167 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMIYU YAPOKEA VITABU VYA DARASA LA NNE

Na Stella Kalinga, SimiyuMkoa wa Simiyu umepokea jumla ya vitabu 174,188 awamu ya kwanza kwa masomo ya Kiingereza na Hisabati, vyenye thamani ya takribani shilingi milioni 348 kwa ajili ya wanafunzi wa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akimkabidhi mfano wa tiketi ya mechi za Kombe la Dunia, Mshindi wa 11 wa droo ya Shinda na TemboCardVisa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MWAKYEMBE AKUBALI KUKUTANA NA WATOA HUDUMA ZA MAUDHUI MTANDAONI,...

 Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii. Waziri wa Habri, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amekubali kukaa na kujadiliana na Wadau wa utoaji huduma za Maudhui Mtandaoni kwa kina  na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADEREVA WA PIKIPIKI WAFURAHISHWA NA HUDUMA ZA TRA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Na Veronica Kazimoto,Dar es SalaamMadereva wa Pikipiki ambao ni wanachama wa Umoja wa Waendesha Pikipiki Wilaya ya Temeke (UWAPITE) wamefurahishwa na huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MultiChoice Tanzania yaibuka kidedea Sabasaba

Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa (Kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Uhusiano wa MultiChoice Tanzania Johnson Mshana cheti na kombe baada ya banda la DStv kuibuka kidedea katika kundi la waonyeshaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gari ya tatu ya M-Pesa yakabidhiwa Arusha, bado magari saba

 Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega (katikati) akimkabidhi funguo za gari mshindi wa tatu wa gari aina ya Renault Kwid Mkomeni Ernest Mgonho (kulia) katika hafla ya kuwazawadia washindi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFDA iwe chachu ya Uchumi wa Viwanda nchini.

Na  WAMJW,Dar as SalaamMamlaka ya chakula na dawa TFDA imetakiwa kuwa chachu ya uchumi wa viwanda hususani katika kuzalisha dawa hapa nchini ili kupata matokeo chanya katika hatua ya kuinua uchumi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBALOZI WA JAPAN WAMUUNGA MKONO WAZIRI UMMY MWALIMU KUJENGA MADARASA SITA YA...

SHIRIKA la Maendeleo ya Wanawake mkoani Tanga (Tanga Women Development Initiative-TAWODE) chini ya Mwenyekiti wale Waziri Ummy Mwalimu (MB) leo wamewekeana saini ya ujenzi wa madarasa sita ya shule ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADHI YA MAWAZIRI WATEMBELEA BANDA LA TRA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenister Mhagama akimsikiliza kwa makini Afisa Mwandamizi Uchambuzi Mifumo ya Biashara Mathias Chanila wa...

View Article


MICHUZI TV: DC ILALA AWAKARIBISHA WANANCHI KUUPOKEA MWENGE WA UHURU KESHO.

MWENGE WA UHURU KUWASILI DAR KESHO UKITOKEA PEMBANa Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMWENGE wa uhuru unataraji kuwasili kesho jijini Dar es salaam ukitokea Pemba na kufungua zaidi ya miradi 33...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCAA YASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE WATAALAMU WA NDANI

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA) kuwekeza kwenye rasilimali watu ili kuongeza tija kwa wataalam wa ndani mara baada mradi wa ujenzi wa rada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma wanasa Wezi wa mitandaoni na wahamiaji haramu

Jeshi la Polisi mkoani Dodoma limewakamata watu wawili wanaotuhumiwa kuiba fedha kwa njia ya Mtandao, ambao wanatumia pikipiki yenye namba za usajili bandia MC. 759 AHW na Chassis namba PFZWFK47770...

View Article

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MIUNDOMBINU YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA RELI YA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA...

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama akizungumza na Maafisa wa Ofisi ya Bunge alipotembelea Banda lao katika Maonesho ya 42 ya Kimataifa ya...

View Article

VOA SWAHILI: HABARI ZA BURUDANI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF WATOA MSAADA WA ZAIDI YA MILIONI 4.5 MANISPAA YA IRINGA NA HALMASHAURI...

Na Francis Godwin, Michuzi Blog, Iringa MFUKO  wa   hifadhi ya  jamii (NSSF)  umetoa  msaada  wa  mashuka 300 yenye  thamani ya  zaidi ya  shilingi  milioni 4.5  kwa  Halmashauri ya  Manispaa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. MBARAWA AITISHA KIKAO CHA DHARURA KUPATA UFUMBUZI WA MRADI CHALINZE

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa ameitisha kikao cha dharura ili kupata ufumbuzi wa utekelezaji wa mradi wa maji wa Chalinze, ambao kwa muda mrefu umekua ukisuasua na kusababisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AIPONGEZA WCF KWA KUINGIA KWENYE MFUMO WA TEHAMA...

NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama, amefurahishwa na mwitikio wa waajiri kujisajili na Mfuko wa Fidia...

View Article

HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA KUTOKA NEW YORK LEO JULAI 6, 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF WASHAURIWA KUWEKA DIRISHA LA KUHAMASISHA WANAUME KUPIMA UKIMWI NSSF...

SHIRIKA la Taifa la Hafadhi ya Jamii (NSSF) wameshauriwa kutumia Maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar...

View Article
Browsing all 110167 articles
Browse latest View live




Latest Images