Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110167 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI AMTOLEA UVIVU MKANDARASI ANAYEJENGA MATANKI YA...

*Ni baada ya kuchelewesha kukamilisha mradi uliotakiwa kumalizika mwaka 2017Na Karama Kenyunko, blogu ya JamiiWAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Profesa Makame Mbarawa amemuagiza mkandarasi anayejenga...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANGI LUGOLA AREJEA JIJINI DAR ES SALAAM, AVUNJA KAMATI ZOTE ZA USALAMA...

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (kushoto) baada ya kurejea kutoka jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi....

View Article

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA YA KUTUMA PESA BURE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE KATIKA MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE...

 Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza wakati wa wa mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini Marehemu Stephen Hillary Ngonyani yaliyofanyika leo nyumbani kwake Korogwe Jijini Tanga....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AWASILI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI KANDA YA ZIWA, ATOA MAELEKEZO...

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi na Julai 5 mwaka huu anatarajiwa kufunga mafunzo katika Chuo cha Polisi Wanamaji Mwanza ambayo yana lengo la...

View Article


UTAFITI TWAWEZA: POLEPOLE AMKINGIA KIFUA RAIS DK MAGUFULI

Video Courtesy of MCL Digital

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: WATU WATANO WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI USIKU HUU JIJINI MBEYA

Na Emmanuel Madafa, Globu ya Jamii, MbeyaWatu watano wanadaiwa kufariki dunia usiku katika ajali iliyohusisha lori pamoja na gari  dogo aina ya Noah eneo la mteremko wa mlima Igawilo nje kidogo ya jiji...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA JULAI 6, 2018

Kwa haabri zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI MBEYA WANAPAMBANA KUINASUA MIILI YA WATU WAWILI ILIYONG'ANG'ANIA...

*Ni katika ajali iliyoua watu watano, kujeruhi mmoja jana usiku Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mbeya amethibitisha kufariki dunia kwa watu watano baada ya kutokea ajali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO AWAPONGEZA SIMIYU

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo amewapongeza viongozi wa mkoa wa Simiyu na halmashauri zake kwa kusimamia vyema ujenzi wa miradi ya afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZAZI, WALEZI WATAKIWA KUFICHUA WATOTO WENYE ULEMAVU

Na Frankius Cleophace, SerengetiKATA ya Manchira wilayani Serengeti mkoani Mara wameendelea kuwabaini watoto wenye ulemavu wa aina yeyote ili wapelekwe shule kwa lengo la kupata haki zao kama watoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIFUNGANI YA SH.BILIONI 120 YA TMRC YAORODHESHWA DSE

*CMSA yahimiza kampuni kuingia katika DSE NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Dk.Ashatu Kijaji amesema kuwa katika kuhakikisha mikopo ya nyumba inaanzishwa nchini, Serikali ikishirikiana na Benki ya Dunia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA YA NIC MAONYESHO YA SABASABA YANAYOENDELEA

Majadiliano: Viongozi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakijadili jambo wakati wa maonyesho ya 42 ya sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa, kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KANGI LUGOLA AWASHUSHA VYEO MAKAMANDA WAWILI

*Ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya na Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto KageraNa Said MwisheheWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola ametangaza kuwashusha vyeo Makanda wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA OFISI ZA MAMLAKA YA HALI...

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), Dkt. Agnes Kijazi (kulia), akifafanua jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakati Kamati hiyo ilipokuwa kwenye ziara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WAN UFUTA KIBITI WAZIDI KUNEEMEKA KWA BEI YA MNADA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiWakulima wa Wilaya ya Kibiti wazidi kuneemeka na bei ya ufuta! katika mnada wa nne (4) kwa msimu huu ambapo bei ya ufuta kwa kilo imepanda kufikia sh. 3,300 kutoka sh....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk.shein Asafiri Safari Maalum Nchini Uingereza

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KANGI LUGOLA AMTIMUA KAMISHANA WA MAGEREZA KWENYE...

*Ni baada ya kuchelewa katika mkutano wake na waandishi wa habari*Pia awataka makamishina na wakuu wa Idara kumuonesha Ilani ya CCMNa Said Mwishehe,Glubu ya jamii WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi...

View Article

MICHUZI TV: TRA MKOA WA MBEYA YATHIBITISHA KUONDOKEWA NA MTUMISHI WAO

View Article
Browsing all 110167 articles
Browse latest View live




Latest Images