Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA WAAJIRI: UWASILISHAJI WA MICHANGO KATIKA MFUKO WA FIDIA KWA...

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) unapenda kuwataarifu Waajiri wote Tanzania Bara na Umma kwa ujumla kwamba, huduma mpya ya uwasilishaji wa michango kwa njia ya mtandao kupitia mfumo wa malipo wa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA KITABU CHA DKT. REGINALD MENGI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 02 Juni 2018, amezindua kitabu chenye historia ya maisha ya Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA PUNGUZO LA BEI KWA TRENI YA DELUXE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI SOKO LA TUMBAKU RUVUMA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe Christina Mndeme (akikagua tumbaku pichani)  amefungua soko la ununuzi wa zao la Tumbaku katika kijiji cha Suruti Wilayani Namtumbo.Katika ufunguzi huo, Mhe Mndeme amewaasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA ASAS YAWEKA KITENGO KUHUDUMIA WATEJA WAKUBWA, TAASISI KATIKA...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiKAMPUNI ya Asas Dairies Ltd imeweka kitengo maalumu cha kuhudumia wateja wakubwa na taasisi(Corporate Sales Department) kwa lengo la kuhudumia wateja wao wanaofika kwenye...

View Article


MICHUZI TV: SPRITE BBALL KINGS YASHIKA KASI,16 BORA WAPATIKANA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA NCHI OFISI YA...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika kikao cha...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU JULAI 02, 2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMLAKA HIFADHI YA NGORONGORO KULIPENDEZESHA JIJI LA DODOMA

Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi na Kaimu Meneja Uhusiano Mamlaka Hifadhi ya Ngorongoro, Joyce Mgaya wakisaini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES...

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, akitoa ufafanuzi kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuhusu namna Kituo cha Mafuta (KOJ) kinavyofanya kazi, wakati kamati...

View Article

SHUGHULI ZA BUNGE ZAELEZWA KWENYE MAONESHO YA SABASABA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA TIB CORPORATE YAWATAKA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LAO NDANI YA...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Benki ya TIB Corporate imewataka wananchii kujitokeza kwenye banda lao lililopo ndani ya maonesho ya 42 ya Sabasaba na kuweza kufungua akaunti za benki hiyo ili waweze...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE JULAI 3, 2018

Kusoma zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKIWA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA AFRIKA NCHINI MAURITANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichangia maoni ya Tanzania juu ya masuala ya Ulinzi na Amani katika nchi za Burundi, Congo DRC, na Sudan ya Kusini wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SSRA YATOA MSAADA KWA WAZEE WA KITUO CHA KUHUDUMIA WAZEE CHA FUNGAFUNGA,...

Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde Msika,  akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa niaba ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBC: Ajali Iliyobadili Ndoto Za Msichana Wakonta Kapunda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia Binti Wakonta Kapunda ambaye ni mlemavu wa kupooza mwili mzima kutokana na ajali aliyejishidia kiasi cha Dola elfu 20 kwa...

View Article

HOTUBA YA RAIS DKT.JOHN MAGUFULI BAADA YA KUWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NYUZZZZZ.......: RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA VIONGOZI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiiongozi Balozi John Kijazi akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Shonza atoa wito kwa Wasanii Nchini kuhamasisha Utalii wa Ndani

 Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Idara  ya Utalii Hifadhi ya Taifa Ziwa Manyara Bibi. Eva Mallya (kulia) baada ya kuwasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STARIMES YATOA OFA KABAMBE NDANI YA VIWANJA VYA SABASABA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Kampuni ya Startimes yawataka wananchi  kujitokeza kwa wingi kujipatia ofa kabambe katika banda lao lililopo ndani ya maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya biashara kwenye...

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images