Shangwe za M-Pesa zahamia Jijini Mbeya, gari ya pili yaenda Tukuyu
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Paul Ntinika (kushoto) akimkabidhi namba ya gari mshindi wa Mpesa Mkazi wa Tukuyu Wilaya ya Rungwe, Mbeya, Tumaini Msosi (kulia) jana baada ya kuibuka mshindi katika shindano...
View ArticleMUHOGO SASA RASMI KWENYE MAZAO YA BIASHARA-MAJALIWA
*Ni baada ya kupata soko kubwa nchini China WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya China imetoa fursa ya kufungua soko la muhogo mkavu kutoka Tanzania, tukio ambalo linafungua ukurasa mpya...
View ArticleYoung Killer aachia video ya ‘Hunijui’ akiwashirikisha Dully Sykes na Ben Pol
Rapper Young Killer Msodoki ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Hunijui’ aliomshirikisha mkongwe kwenye muziki wa Bongo Flava, Dully Sykes pamoja na mfalme wa R&B Tanzania, Ben Pol.Kwa historia yake...
View ArticleMULTICHOICE TANZANIA YAWEKA NGUVU KWENYE RIADHA
MultiChoice Tanzania imetangaza kuendelea kudhamini mchezo wa riadha hapa nchini huku ikisaini makubaliano maalum ya kumdhamini mwanariadha kinda Francis Damiano Damasi. Udhamini huo unahusisha fedha...
View ArticleTBL YAPELEKA WASHINDI WAKE NCHINI URUSI KUSHUHUDIA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA
Meneja Masoko na udhamini wa TBL group, George Kavishe akiwa katika Uwanja wa Spartak jijini Moscow nchini Urusi pamoja na washindi wa ticket za Kombe la dunia kutoka Tanzania kupitia bia ya...
View ArticleWakulima wa ufuta watakiwa kufanya kilimo biashara
Na MwandishiWetuWakulima wa ufuta nchini wametakiwa kuachanana kilimo cha mazoe and kufanya kilimo biashara. Hasa katika kuongeza tija ya uzalishaji ili kukabiliana na changamoto wakati bei inaposhuka...
View ArticleSPRITE BBALL KINGS HATUA YA MCHUJO KUFANYIKA KESHO
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Michuano ya Sprite BBall Kings 2018 yanaanza kutimua vumbi kesho kwa michezo 25 kuchezwa katika hatua ya mtoano kwenye Viwanja vya Jakaya Kikwete Youth Park Kidongo...
View ArticleJAJI IMANI ABOUD WA TANZANIA ASHINDA UCHAGUZI WA MAJAJI WA MAHAKAMA YA AFRIKA...
Mkutano wa 33 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Afrika unaoendelea Jijini Nouakchott, Mauritania kwa siku mbili, leo tarehe 29 Juni, 2018 umefanya uchaguzi wa Majaji wanne wa Mahakama...
View ArticleSERIKALI YATENGA 4.3bn/- KUJENGA VITUO VYA KUHIFADHI DAMU SALAMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga sh. bilioni 4.3 ili kujenga vituo vya kuhifadhi damu (satellite blood banks) kwenye mikoa 12.Ameitaja mikoa hiyo kuwa ni Manyara, Katavi, Rukwa,...
View ArticleBARAZA LA UUGUZI LAWATIA HATIANI WAUGUZI WAKUNGA SITA
Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limewakuta na hatia na kuwapa karipio kali la maandishi Wauguzi Wakunga sita katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa kushindwa kutimiza majukumu yao ya...
View ArticleWanawake Milioni 2.6 Kunufaika na Mradi wa ‘50 Million Women Speak Project’
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Takribani wanawake milioni 2.6 wanategemea kunufaika na mradi ujulikanao kama 50 Million Women Speak Project’ unaolenga kuwawezesha wanawake kupata taarifa za kiuchumi...
View ArticleRAIS WA ZIMBABWE ATEMBELEA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE AMBACHO MIAKA...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Edmund Mndolwa mara baada ya kuwasili katika chuo cha Kilimo na Mifugo cha Kaole...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AMUAGA MGENI WAKE RAIS EMMERSON MNANGAGWA WA ZIMBABWE LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe aliyemaliza ziara yake rasmi ya siku mbili nchini katika uwanja wa ndege wa...
View ArticleNHC YAWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LAO KWENYE MAONESHO YA SABASABA
Afisa Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Augustino Sanga akiongea na mmoja ya Wateja waliofika katika banda la NHC katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendlea Jijini Dar es Salaam. Afisa Mauzo...
View ArticleMatukio ya mbalimbali ya maonesho ya Sabasaba
WAZIRI wa Viwanda na Uwekezaji , Charles Mwijage (wa pili kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Mtafiti Msaidizi wa Kampuni ya Camartec ya Arusha, Mhandisi Noela Byabachwezi kuhusu zana za kilimo...
View ArticleINFINITY GYM YAWASHAURI WANAOFANYA MAZOEZI KUNYWA MAZIWA YA ASAS
Na Said Mwishehe,Globu ya JamiiWATANZANIA ambao wanafanya mazoezi wameshauriwa baada ya kumaliza mazoezi wanywe Yoghurt(maziwa) ya Asas kwani husaidia kulainisha misuli.Ushauri huo umetolewa na Meneja...
View ArticleMWANAFUNZI CHUO CHA MAABARA SINGIDA AKIRI KUSAMBAZA ZA UONGO MATUMIZI YA PANADOL
*Ajisalimisha Mamlaka ya Chakula na dawa, awaomba radhi watanzania woteNa Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMWANAFUNZI wa Chuo cha Maabara Singida, Elia Mhina amekiri kusambaza taarifa za uongo kwenye...
View Article