Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110006 articles
Browse latest View live

DIRA YA DUNIA IJUMAA 22.06.2018

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzanian Youth Focus Group Diaspora meet in massachusetts

Tanzanian youth from Western MA, came together in Downtown Springfield, MA, inside Make-it Springfield, and held a focus group. The purpose was to brainstorm ideas on how to resolve issues and provide...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MBEYA 2018 WATEMBELEA SHIRIKA LA TTCL ,WAVUTIWA...

Meneja wa kanda ya nyanda za juu kusini wa shirika la mawasiliano Tanzania TTCL ,Juvenal Utafu amewataka washiriki wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania 2018 ngazi ya mkoa wa Mbeya (Dream Miss Mbeya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC PWANI ALIAGIZA SHIRIKA LA VIWANGO NCHINI KUFANYA ZIARA ZA KUSHTUKIZA...

NA Linda  Shebby, Kibaha PwaniMKUU wa Mkoa wa Pwani Injinia Everist Ndikilo amewataka uongozi wa Shirika la Viwango nchini (TBS), kutokukaa maofisini na kusubiri wafanya biashara wawapelekee bidhaa zao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askari wapya 2,081 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wahitimu mafunzo...

Na Ripota Wetu, Arusha  MKUU wa Mafunzo na Utendaji wa kivita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Jenerali Alfredy Kapinga amewataka askari wapya 2,081 kuhakikisha wanakuwa na utii, uaminifu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI POLISI OYERSTEBAY

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na baadhi ya wananchi nje ya Kituo cha Polisi cha Oyesterbay jijini Dar es Salaam leo, wakati alipofanya ukaguzi katika kituo hicho. Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABAO YA AHMED MUSSA YAIPELEKA NIGERIA NAFASI YA PILI KUNDI D MICHUANO KOMBE...

Na Ripota Wetu, Globu ya jamii  KAMA noma na iwe noma !Ndivyo unavyoweza kuuelezea mchezo kati ya Nigeria dhidi ya Iceland ambapo mabao mawili yaliyofungwa na mshambuliaji machachari wa Nigeria...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tuzo ya Kiswahili ya Heshima ya Shaaban Robert kuanza kutolewa mwakani

                   Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Tuzo ya Kiswahili ya Heshima ya Shaaban Robert inategemea kuanza kutolewa mwaka 2019 na Kampuni ya Maendeleo ya Kiswahili (KIDE - MAKI) kwa watu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALLA ATIMUA WAVAMIZI KWENYE PORI LA AKIBA SWAGASWAGA

VideoWaziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wananchi wa kijiji cha Handa katika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma jana, alipotembelea kijiji hicho kwa ajili ya kutatua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MINISTER MAHIGA’S DAY VISIT TO ROMANIA; SIGNS AN MOU FOR BILATERAL...

Tanzania’s foreign minister Hon. Dr. Augustine Mahiga, and his Romanian counterpart Hon. Teodor Melescanu have signed a Memorandum of Understanding, redefining bilateral relations that exist between...

View Article

TRC RELI TV: Zoezi la Kuhamisha Makaburi kupisha Ujenzi wa Reli ya SG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI MKOA WA PWANI WATAKIWA KULINDA MIRADI INAYOJENGWA

Na Emmanuel Masaka,Globu ya jamiiWAKAZI wa Rufiji mkoani Pwani wametakiwa kulinda miradi inayojengwa ili kupata wataalam wengi watakaoisaidia Serikali.Akizungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu Kassim...

View Article

HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA KUTOKA NEW YORK

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MINET GROUP YAZINDUA JH MINET TANZANIA,YAAHIDI HUDUMA BORA ZA BIMA

KAMPUNI ya Aon kupitia Minet imezindua rasmi JH Minet Tanzania ikiwa ni mwendelezo wa safari iliyoanza 1998 ikiwa inatoa huduma za bima pamoja na mafao.Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE CHEMBA WAHIMIZWA KUTUMIA VEMA FURSA WANAZOZIPATA KATIKA JAMII

Na Shani Amanzi, Chemba.OFIS Maendeleo ya Jamii wa Wilaya ya Chemba mkoani Singida Mwatumu Doso amewataka wanawake watumie vema fursa wanazozipata kwa kuwa wao ndiyo kioo katika jamii hasa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANISPAA YA ILALA YAZIFUNGA MAABARA BUBU,MADUKA YA DAWA

Na Heri Shaaban .MANISPAA ya Ilala jijini Dar es Salaam imezifungia maabara bubu na maduka ya dawa yasio na sifa ambayo yanatoa huduma kinyume cha sheria. Oparesheni ya kuzifungia maabara hizo pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAWAPIGA MSASA WATENDAJI WA HALMASHAURI NA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOANI...

Na Mariam Mwayela,NjombeWatendaji wa Halmashauri pamoja na wafanyabiashara wadogo wa Mkoa wa Njombe wameelimishwa juu ya urasimishaji wa wafanyabiashara hao ili waweze kutambulika rasmi na kuchangia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA Infinix KUSHIRIKIANA NA GOOGLE KATIKA UZINDUZI WA SIMU MPYA BARANI...

KAMPUNI ya simu ya Infinix kuzindua simu mpya ikiwa ni muendelezo wa Infinix NOTE 4 kwa kushirikiana na GOOGLE. Uzinduzi huo unategemewa kufanyika mnamo mwezi huu wa Juni barani Afrika nchini Dubai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muhimbili ya Kwanza Afrika Mashariki Tiba ya Kuondoa Mawe Kwenye Ini na Kogosho

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeanza kufanya uchunguzi na tiba ya vivimbe pamoja na kuondoa mawe kwenye ini na kwenye kongosho kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya hadubini.Mbali na Muhimbili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA NBC YAZINDUA MTANDAO WA NBC WAKALA KWA WATEJA WAO

Na Agness Francis, Globu ya jamiiBENKI ya NBC  imezindua ramsi mtandao wa NBC Wakala kwa wateja wao wote  na  wale wasiotumia huduma ya benki  hiyo.NBC Wakala ni fursa  inayolenga kutoa huduma za...

View Article
Browsing all 110006 articles
Browse latest View live




Latest Images