Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109924 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUDAN KUSINI NA NIGERIA WAPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA KWA KUANZISHA MPANGO...

Na Estom Sanga- TASAF.Wataalam wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii kutoka nchini Sudan Kusini na Nigeria wameipongeza Serikali ya Tanzania kwa uamuzi wake wa kukuza sekta hiyo inayolenga kuzikwamua kaya za...

View Article



KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT TIZEBA ATOA SIKU 4 WAKULIMA WA MKONGE MKOANI TANGA KULIPWA FEDHA ZAO

Na Mathias Canal-WK, TangaWakulima wa Mkonge Mkoani Tanga wamempongeza Waziri wa Kilimo Mhe Dkt. Charles Tizeba kupitia agizo lake alilolitoa kwa Kampuni ya Katani Limited kuhusu kulipa madeni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ROSE MBAGA ATAKA WATANZANIA KUSAIDIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiMWEZESHAJI wa Vijana katika masuala ya maendeleo endelevu nchini Rose Mbaga amesema ikitokea akapata nafasi ya kukutana na Rais Dk.John Magufuli atamuelezea kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAADA WA KISHERIA BURE BILA MALIPO YOYOTE.

Na Bashir Yakub. Wapo watu wana matatizo na wanahangaika kupata msaada wa bure wa kisheria lakini hawajui waanzie wapi,wafanye nini ili kupata huduma hii. Taratibu zipo, na unaweza kupata wakili wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKAZI SHIRIKA LA...

  Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Voluntary Services Oversea (VSO) Tanzania, Ndg. Dawn Hoyle alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWIGULU ATOA WIKI MOJA KWA POLISI DODOMA, OFISI YA MKURUGENZI BAHI...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (aliyevaa skafu shingoni) akiingia katika Kituo cha Polisi Chipanga, Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, wakati alipofanya ziara ya kukikagua kituo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muhimbili ya Kwanza Afrika Mashariki Tiba ya Kuondoa Mawe Kwenye Ini na Kogosho

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeanza kufanya uchunguzi na tiba ya vivimbe pamoja na kuondoa mawe kwenye ini na kwenye kongosho kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya hadubini.Mbali na Muhimbili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAKUKURU WAWANOA VIONGOZI WA ARU KUEPUKA VIASHIRIA VYA RUSHWA

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa akitoa nasaha zake kwa viongozi na wafanyakazi wa ARU wakati wa semina ya maswala ya rushwa iliyoendeshwa na Taasisi ya Kupambana na Kuazuia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEMINA YA MAFUNZO KWA MAHAKIMU,WAKUU WA MAGEREZA NA WAENDESHA MASHITAKA...

Na Abel Daud,KIGOMA,MKUU wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jeneral Mstaafu Emmanuel Maganga amewataka Mahakimu wa Mkoa wa Kigoma kufanya kazi kwa Weredi pamoja na kutoa haki kikamilifu bila upendeleo ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. SHEIN AWAAPISHA WAJUMBE WA TUME MPYA YA UCHAGUZI ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha  Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Hamid Mahmoud Hamid kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU YA MPENDWA WETU EDMUND LAWRENCE MUSHI

Kuzaliwa:07/12/1973 Kufariki:22/06/2015 Leo 22/06/2018 Umetimiza miaka Mitatu tangu umefariki Huko Houston,TX,USA. Sisi ndugu zako umetuachia Huzuni na pengo ambalo halitazibika.Unakumbukwa sana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu ya Madaktari Kutoa Hudumza Kitabibu Muhimbili, MOI, JKCI na Hospitali ya...

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Makani Makwaia akikaribisha timu ya wataalamu kutoka China ambao wamekuja kujenga uwezo kwa wataalamu wa hapa nchini na kusaidia maeneo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA WADAU KUPINGA BIASHARA HARAMU YA BINADAMU WAFANYIKA JIJINI DAR ES...

Katibu wa Sekretarieti ya Kuzuia na Kupambana na Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu, iliyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani, Separatus Fella, akizungumza na wakati wa kikao cha kujadili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sami Hyypia asisitiza kujituma kufanikiwa

Sami Hyypia veterani wa timu ya Liverpool ambaye yupo nchini kwa mwaliko wa benki ya Standard Chartered amesema kuwa mwanasoka wa mafanikio kunahitaji kazi ngumu na kujituma.Alisema tangu utoto wake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA TIMU ZA NDONDO 2018 WATEMBELEA OFISI ZA BENKI YA DCB LEO JIJINI DAR

 Mkuu wa kitengo cha biashara wa DCB Benki James Ngaluko akizungumza na viongozi wa timu zinazoshiriki Ndondo Cup 2018 walipotembelea Benki hiyo kujifunza huduma mbalimbali za kibenki na kufungua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA KUWASOMEA MAELEZO YA AWALI MBOWE, WENZAKE JUNI 25 HADI 29

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema itawasomea maelezo ya awali (PH) na kesi kuanza kuisikiliza kesi ya jinai inayowakabili viongozi wa juu wa tisa wa Chadema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOSPITALI MLOGANZILA WAJIANDAA KUTIBU SELIMUNDU KWA KUPANDIKIZA UTE WA MIFUPA

*Wazungumzia namna wanavyofanya tafiti, kutoa huduma boraNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiMKUU wa Idara ya Hematolojia, Uwekaji wa Damu na Mtafiti Mkuu wa Program ya Selimundu katika Chuo Kikuu cha Afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA CRDB

 Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Meja Jenerali Simon Mumwi (kulia) akizungumza na baadhi wa wafanyakazi wa Benki ya CRDB walioongozwa na Meneja Uhusiano wa Benki hiyo, Godwin Semunyu (nguo nyekundu)...

View Article

MICHUZI TV: UBONGO TIME

View Article
Browsing all 109924 articles
Browse latest View live




Latest Images