Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109597 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAPIGA VITA WANANCHI KUMALIZA KESI ZA UKATILI KIENYEJI.

Na Frankius Cleophace RoryaSerikali Wilayani Rorya Mkoani Mara imepiga Marufuku Jamii kumaliza kesi zinazohusu Ukatili wa Kijinsia Ukiwemo Ubakaji, Utelekezaji wa watoto wadogo, Kuchomwa Moto na...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania kumjua Mengi kupitia uzinduzi wake wa kitabu kuhusu maisha yake

KUNA maswali mengi sana yanayoulizwa na watu mbalimbali kuhusu mfanyabiashara maarufu hapa nchini, Dk. Reginald Mengi, alivyoweza kufikia nafasi aliyonayo kwa sasa akimiliki makampuni kadhaa na mengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAPA ATAKA WATAALAM WOTE, TAASISI ZINAZOHUSIKA NA UMEME-JUA KUPANUA WIGO...

*Azindua kitabu cha Mafunzo ya umeme wa jua *Atashauri kisambazwe kwa wataalam ,mafundi mitambo Na Said Mwishehe,Globu ya jamii RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa amewataka...

View Article

Introducing "TATIZO NI CHAKULA" by BASSAT

City Music present to you Bassat na wimbo wake mpya unao kwenda kwa la TATIZO NI CHAKULA. Bassat ni kati ya wasanii wanao fanya katika industry ya music Tanzania kwa sasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAMISRI WAOMBA KUWEKEZA KATIKA MIRADI YA UMEME NCHINI

Na Veronica Simba – DodomaUjumbe kutoka Kampuni ya ORASCOM ya Misri, wamemtembelea Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani na kuzungumza naye kuhusu nia yao ya kuwekeza katika miradi ya kuzalisha umeme...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNI 20, 2018

Kusoma zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania kumjua Mengi kupitia uzinduzi wake wa kitabu kuhusu maisha yake

KUNA maswali mengi sana yanayoulizwa na watu mbalimbali kuhusu mfanyabiashara maarufu hapa nchini, Dk. Reginald Mengi, alivyoweza kufikia nafasi aliyonayo kwa sasa akimiliki makampuni kadhaa na mengine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFUNZO KWA WAUZAJI, WASAMBAZAJI NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA YA PETROLI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washindi wa Mawakala wa Tigo Pesa kanda kaskazini wapatikana

 Meneja wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi Tigo kanda ya Kaskazini, Aidan Komba akikabidhi mfano wa Hundi ya Sh Milioni moja kwa mshindi wa Pili, Kanda ya Kaskazini wa Promosheni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIMU WASTAAFU KUANZISHA SHULE YA MFANO SONGEA

 Walimu wastaafu katika manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wanatarajia kuanzisha shule ya Sekondari ya mfano katika manispaa hiyo.Wakiongea kwenye kikao chao cha Taasisi ya walimu wastaafu Songea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ABBOTT FUND

 Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Sihaba Nkinga akisalimiana na Makamu wa Rais wa Abbott Fund kutoka Marekani Bw. Andy Wilson wakati Makamu wa Rais wa Mfuko huo alipomtembelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DATA ANALYSIS TRAINING

Download Application form here https://goo.gl/forms/w1cS7MccCxg8o4Kq2

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE KUBENEA ATOA USHAURI KWA SERIKALI KUBORESHA MRADI WA MABASI YA MWENDO...

*Uchache wa mabasi wasababisha mlundikano wa abiria vituoniHumphrey Shao, Globu ya JamiiMBUNGE wa Ubungo jijini Dar es Salaam Saed Kubenea ameishauri Serikali kuifuta kodi kwa mabasi ya mwendokasi 70...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUHUSU KUHAMISHA SOKO LA KATENGELE - WILAYANI ILEJE

JIOGRAFIA/MAHALI LILIPO SOKO.Soko la Katengele linapatikana katika vilele vya milima yenye msitu ujulikanao kama Iyondo - Mswima wenye miti ya asili na ile ya kupandwa ukizungukwa na Kata za Kalembo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YAIPIGA TAFU VIFAA VYA MICHEZO TIMU YA MAGEREZA DAR

 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (kushoto) akikabidhi jezi kwa Afisa Mipango wa Magereza Dar FC, Insp. William Mkamba (wa pili kushoto) ikiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

'KUNA ONGEZEKO KUBWA LA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA'

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii.SERIKALI imesema kumekuwa na ongezeko kubwa la magonjwa yasiyoambukiza kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni hali inayotishia afya ya mama na mtoto wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNFPA ITAENDELEA KUTOA MASHIRIKIANO KUENDELEZA UZAZI SALAMA ZANZIBAR

Na Mwashungi Tahir - Maelezo Zanzibar Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa linaloshuhulikia Idadi ya watu Duniani UNFPA Jaqline Mohan amesema Shirika lake litaendelea kutoa mashirikiano katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ABBOTT FUND

Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi. Sihaba Nkinga akisalimiana na Makamu wa Rais wa Abbott Fund kutoka Marekani Bw. Andy Wilson wakati Makamu wa Rais wa Mfuko huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE YAKUTANA NA WABUNGE KUTOKA GAUTENG AFRIKA YA...

  Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe. Mussa Zungu (katikati) akizungumza na Waheshimiwa Wabunge (hawapo kwenye picha) kutoka Jimbo la Gauteng lililopo Afika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI WATAKIWA KUFUATA SHERIA , KANUNI

Na Emmauel Masaka, Globu ya jamiiMSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini na wanachama kutekeleza majukumu yao ya kisiasa kwa kufuata na...

View Article
Browsing all 109597 articles
Browse latest View live




Latest Images