Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109593 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA ZIARA YA WAZIRI MAHIGA NCHINI NORWAY

   Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeihakikishia Serikali ya Norway kuwa inaendelea kuelekeza nguvu zake kwenye kuweka mikakati sahihi ya kuvutia uwekezaji kutoka nje ya nchi, ikiwemo nchi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAUME ZAO KATIKA KUJILETEA MAENDELEO NA...

Na Frankius Cleophace TarimeWanawake wametakiwa kujenga Umoja na Ushirikiano na Waume zao pamoja nakuwa waaminifu katika kutunza mali zao ikiwemo fedha ili kujiinua na kuongeza Uchumi wa Nchi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI ANAYEMALIZA MUDA WAKE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzana Balozi wa Sweden nchini Mhe. Katarina Rangnitt ambaye amemaliza muda wake wa kazi .Balozi Katarina Rangnitt...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZFDA YAKAMATA BIDHA MBALIMBALI ZISIZOFAA KWA MATUMIZI YA BINADAMU

Ramadhani Ali – Maelezo ZanzibarWakala wa Chakula na Dawa  Zanzibar (ZFDA) imezuia kusambazwa bidhaa za chakula na vipodozi zilizoingizwa nchini kwa ajili ya mwezi mtukufu wa Ramadhani na siku kuu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI WA MAHAKAMA KUU YA NCHINI UGANDA ATEMBELEA JENGO JIPYA LA KISASA LA...

 Jaji wa Mahakama Kuu ya Uganda, Mhe. Paul Gadenya akitia saini kitabu cha wageni pindi alipowasili katika Mahakama ya Wilaya Kigamboni kujionea jengo hilo la kisasa lililojengwa kwa teknolojia ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASAFI TV RASMI NDANI STARTIMES

 KAMPUNI ya Star Media (T) Ltd kupitia chapa yake ya StarTimes imetangaza rasmi uwepo masafa ya Wasafi TV katika king'amuzi cha Startimes kupitia king’amuzi chake, uzinduzi huo umefanyika leo June 19...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.BENKI ya Rasilimali Tanzania TIB Corporate imewataka wateja wake kutoa maoni yao juu ya huduma wanazopatiwa katika benki hizo ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya utumishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VYUO VIKUU VYATAKIWA KUJIKITA KATIKA SERA YA UCHUMI WA VIWANDA

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiVyuo Vikuu nchini vimetakiwa kuhakikisha vinafundisha kozi zitakazozalisha wataalamu wengi  watakaoendana na Sera ya Serikali ya awamu ya tano ya uchumi wa viwanda.Rai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SANGA APIGA MARUFUKU MALORI KUPITA KATIKA MIUNDOMBINU INAYOTENGENEZWA

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii.MKUU wa Wilaya ya Mkuranga Filberto Sanga amemshukuru Rais na viongozi wote ambao wanashiriki katika ujenzi wa taifa. Pia amehaidi kutoa ushirikiano wakandarasi ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufuta wa wafanyabiashara uliokamatwa Kibiti kuuzwa kwa mnada

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiUfuta uliokamatwa Halmashauri ya Kibiti kutokana na kukosa nyaraka ya mnada kutoka Halmashauri ya Rufiji unapigwa mnada ikiwa ni agizo la serikali ya kutaka mazao ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANZISHENI KAMPENI ZA KUHAMASISHA UPIMAJI WA VVU-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini washirikiane na wadau wa mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI kuanzisha kampeni ya kuhamasisha wananchi hususani wanaume kupima VVU na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUKUMU KESI YA WEMA SEPETU MATUMIZI DAWA ZA KULEVYA KUTOLEWA JULAI 16

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu Julai 16 mwaka 2018 inatarajia kusoma hukumu ya kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili Msanii maaruifu wa filamu nchini na Miss...

View Article

Only 18 Days To Go For The Biggest Concert In Chicago By Diamond Platnumz

Yeeeeeesssss....!!!July 6th At Alhambra palace 1240 W Randolph..The Question Is!!...Have you Purchased your Ticket??If Not Then Hurry Up And Purchase Your Tickets Now...FYI:Tickets Price Goes Up By...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JUMAPILI Julai 8, 2018 mjini MAMLING, AUSTRIA

  Baada ya kuwadatisha washabiki katika maonyesho mawili makubwa kule Regensburg Festival  na Birkenreid festival Ujerumani sasa kamanda Ras Makunja anakipeleka kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 19/06/2018

View Article


VOA SWAHILI: Duniani Leo Juni 18, 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kampeni ya kitaifa ya kupima VVU

Waziri Mkuu, Mhe Kassim Majaliwa akikata utepe katika uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya kupima VVU na kuanza kutumia dawa mapema ijulikanayo kama Furaha Yangu iliyofanfyika katika uwanja wa Jamhuri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TECNO SPARK 2, ANGAZA NYAKATI ZA MAISHA YAKO

TECNO SPARK 2, Angaza Nyakati za Maisha yako.TECNO inafanya vizuri kwenye soko la ‘smartphone’ Tanzania. Hii inajidhihirisha kutokana na jinsi simu ya Spark ilivyofanya vyema mwaka jana. Mwaka huu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIGERIA YAVUTIWA NA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI...

Na Estom Sanga- TASAFMaafisa kutoka nchini Nigeria walioko nchini kujifunza namna Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF unavyotekeleza Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini wameipongeza serikali ya Tanzania kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania sasa mwanachama wa mataifa yanayokataa taka

Na Nelson Nchobe wa LITADuniani kote taka ni kero au adha ndogo katika familia kwa sababu moja tu: katika ngazi ya kaya watu ni wachache na taka ni adha ambayo watu hao wachache wanaweza kuimudu. Ili...

View Article
Browsing all 109593 articles
Browse latest View live




Latest Images