Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BITEKO AELEKEZA TUME YA MADINI KUPELEKA TIMU YA WAKAGUZI WA MADINI WILAYANI...

NA FREDY MGUNDA,MOROGORO.Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko amesema kuwa ataunda timu maalum ya wataalam kwa ajili ya kuchunguza migodi yote nchini ikiwa ni pamoja na utambuzi wa aina ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA EXIM TANZANIA YAKAMILISHA KAMPENI YA UCHANGISHAJI DAMU NCHI NZIMA.

Afisa uhamasishaji wa mpango wa taifa wa Damu salama, Mariam Juma akimpima damu mfanyakazi wa Exim Bank Daniel Lukuba wakati wa kampeni ya uhamasishaji watu kuchangia damu kwa hiari kwa kushirikiana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018...

Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela (wa pili kushoto), akiagana na mshindi wa Wiki ya Kwanza ya Kampeni ya ‘Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCard Visa’, Mohamed...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT:WAZIRI WA MAJI AMTUMBUA KAIMU AFISA MTENDAJI WA DAWASA NA BODI YA...

Na Cathbert Kajuna-Kajunason/MMG.Waziri wa Maji na Umwagiliaji Eng. Isack Kamwelwe ametengua uteuzi wa aliyekuA kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Eng. Romanus Mwang'ingo na kuvunja bodi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA MKUU WA TRA APONGEZA UTUMIAJI WA MASHINE ZA EFD IRINGA

Na Veronica Kazimoto,IringaKamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere amewapongeza Wafanyabiashara mkoani Iringa kwa kuwa na mwitikio mkubwa wa kutumia Mashine za...

View Article


WAKULIMA, WAWEKEZAJI ZAO LA KOROSHO WAPONGEZA UFUFUAJI WA VIWANDA, WATOA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTARATIBU MPYA WA USAJILI WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NCHI ZA KENYA, TANZANIA ZAOMBWA KUSHIRIKIANA KUPINGA UKEKETAJI

Na Frankius Cleophace, TarimeNCHI za Kenya na Tanzania zimeshauriwa kuendelea kushirikiana vema katika kupinga na kulaani vitendo vya ukeketaji kwa mtoto wa kike huku zikitakiwa kumthamini na kumpa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT TIZEBA ASHTUSHWA WANAWAKE PEKEE KUVUNA PAMBA

Na Mathias Canal-WK, Igunga-TaboraWaziri wa kilimo Mhe Dkt. Charles Tizeba ameshtushwa na wanawake pekee kuwa kwenye mashamba wakivuna pamba ilihali waume zao wakiwa kwenye Chang’aa (Pombe za kienyeji)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GERALD MWANILWA AIBUKA MSHINDI KAMPENI YA BENKI YA CRDB YA SHUHUDIA KOMBE LA...

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto), akimkabidhi mshindi wa Kampeni ya Shuhudia Kombe la Dunia la Fifa 2018 na TemboCardVisa, Gerlad Mwanilwa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HELPAGE TANZANIA, JB GERIATRIC WATOA ELIMU YA AFYA KWA VIJIJI 10 KIBAHA

VIJIJI 1O vya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani ikiwemo cha Kongowe wamepatiwa elimu ya afya na vizazi rika pamoja na kupatiwa mafunzo mbalimbali kuhusu magonjwa yasiyo ambukiza.Elimu na mafunzo hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASAF YAIVUTIA NIGERIA NA SUDAN KUSINI,WAJA NCHINI KUJIFUNZA UTEKELEZAJI WA...

Na.Estom Sanga-TASAF. Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano katika kutekeleza Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii –TASAF yameanza kuvutia Mataifa mbalimbali ya kiafrika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI ATOA MSAADA WA SHILINGI MILIONI TANO KWA MTOTO LATIFA...

Katibu wa Rais Ngusa Samike akimkabidhi Rehema Kadogosa ambaye ni Mama wa Mtoto Latifa Kadogosa (13) aliyelala kitandani kiasi cha Shilingi milioni tano (5,000,000/-) fedha zilizotolewa na Rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STRENGTH OF COMMUNITY LIFE COMPETENCE (CLCP) AT MWENDAPOLE A

HelpAge International in partnership with Jb Geriatrics and HIV Center, Pwani DPA and GSST have been implementing a project on Measuring Healthy Aging and Co Designing Health in Tanzania. The project...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU 49 ZAJIANDIKISHA KUSHIRIKI MSIMU MPYA WA MICHUANO YA SPRITE BBALL KINGS

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Timu 49 kutoka Jijini Dar es Salaam zimefanikiwa kufanya usaili wa ushiriki wa michuano ya Sprite inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu. Mashindano hayo ya Sprite...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI YAWATUNUKU WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI...

 Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Mohamed Bakari akizungumza katika hafla ya kuwatunukia wanafunzi Kidato cha Nne na cha Tano waliofanya vizuri kitaifa katika masomo ya Sayansi, Baioloji na Kemia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UHOLANZI NCHINI TANZANIA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jeroen Verheul alipomtembelea leo tarehe 18 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA INAONGOZA KWA UCHUMI KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA-WAZIRI MKUU MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema taarifa ya Kongamano la Uchumi la Dunia la mwaka 2018 inaonesha kuwa Tanzania inaongoza kwa kuwa na uchumi jumuishi miongoni mwa nchi za Afrika zilizo Kusini mwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA EY YAWAKUTANISHA WADAU KUCHAMBUA BAJETI 2018/ 19

 KAMPUNI ya EY imewakutanisha wadau wakiwamo wachambuzi wa bajeti ambapo pamoja na kuipongeza bajeti ya fedha ya mwaka 2018/2019 wameishauri Serikali kuwekeza zaidi kwenye sekta ya kilimo ili kuongeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Upinzani Wapongeza Juhudi za Serikali Kukuza Uchumi

Na Jonas Kamaleki-MAELEZO, DodomaMbunge wa Viti Maalum, Chama cha Wananchi (CUF), Mhe.Rukia Kassim amepongeza juhudi za Serikali katika kukuza uchumi ikiwemo kuongezeka kwa pato la Taifa.Mhe. Rukia...

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live


Latest Images