Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110028 articles
Browse latest View live

HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA KUTOKA NEW YORK LEO JUNI 13, 2018

View Article



DKT. NDUGULILE AAGIZA MADAKTARI KUCHUNGUZA UKATILI KWA WATOTO WACHANGA

View Article

Introducing "Vurugu na Papara" (Official Video ) by Genevive

Vurugu na Papara is the fifth debut single for the African Glamour and beauty Queen Genevieve who claimed the title of the most beautiful girl in Tanzania and crowned Miss Tanzania in the year 2010....

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 13.06.2018

View Article

INTRODUCING FIFA WORLD CUP 2018 "GO AFRICA" SONG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JUNI 14, 2018

Kusoma zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO ASAIDIA KUOKOKOA MAJERUHI ALIYEPATA AJALI WAKATI AKIWA SAFARINI...

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiwa na baadhi ya wananchi na abiria waliokuwa safarini wakisaidiana kuokoa majeruhi kutoka kwenye roli aina ya Scania lenye namba T 396 CCY iliyokuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akimkaribisha Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Maziwa Makuu Mhe. Said Djinnit...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mjumbe wa Katibu Mkuu UN ahimiza ushirikiano kukabili uhalifu

Na Mwandishi wetuMJUMBE maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa nchi za Maziwa Makuu (ICGLR), Said Djinnit ametaka nchi wanachama wa Umoja wa Ushirikiano katika masuala ya kisheria katika nchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ECOBANK YAPANDA MITI 130 UFUKWE WA BARABARA YA BARACK OBAMA JIJINI DAR

BAADA ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kufungua ukuta uliojengwa katika ufukwe wa barabara ya Barack Obama jijini Dar es salaam, leo June 14 Ecobank wamepanda miti ipatayo 130 ili kutunza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA MTWARA WANUFAIKA NA UJASILIAMALI

JOSEPH MPANGALA , MTWARA Zaidi ya Vijana 200 wa Mkoa wa Mtwara wameunufaika na Ujasiliamali Kupitia Mradi wa KIJANA JIKWAMUE unaotekelezwa na Shirika la Africare na kufadhiliwa na Kampuni ya Uchimbaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGANGA WAKUU WAAGIZWA KUKAGUA WATOTO WACHANGA KUBAINI UKEKETAJI

                 Na Jacquiline Mrisho - SERIKALI imewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa nchini kuhakikisha wanawafanyia uchunguzi watoto wachanga wanaopelekwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI UBORESHAJI RELI YA KATI DAR ES SALAAM - ISAKA (TRC) WANANCHI WAANZA...

Uongozi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Uongozi wa TRC wamedhamiria kukarabati reli ya kati kipande cha kuanzia Dar es Salaam – Isaka (km970). Mradi huu umefadhiliwa na Benki ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yatumia TEHAMA Kuokoa Mabilioni ya Shilingi

Frank Mvungi- MAELEZO, MbeyaSerikali inaokoa takribani shilingi bilioni moja kutokana na kutumika kwa mfumo wa teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) katika kuwachagua na kuwapingia shule...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU KUTOKA BENKI YA NMB...

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu na Mtendaji Mkuu kutoka Benki ya NMB, Ndg. Ineke Bussemaker alipomtembelea leo Tarehe 14 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatimiliki za kimila 747 kutolewa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

Shirika la PELUM Tanzania kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imeanza zoezi la kutoa hatimiliki za kimila zipatazo 747 kwa wananchi wa vijiji vitano ambao wamefanyiwa mpango wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEJIFUNGUA WATOTO MAPACHA ,AENDELEA KUSOTA GEREZANI KARANGA

Na Dixon Busagaga-MOSHI.MWANAMKE aliyejifungua watoto Mapacha akiwa Mahabusu ,Marry Lukumay ameendelea kusota Gerezani na watoto wake baada ya kukosekana kwa wadhamini wenye sifa zinazokidhi masharti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAY WA MITEGO KUPAMBA DODOMA BUILDERS EXPO 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMA YATOA MWELEKEO WA HALI YA HEWA NCHINI KWA KIPINDI CHA MWEZI JUNI – AGOSTI...

Na. Monica Mutoni Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa mwelekeo wa hali ya hewa nchini kwa kipindi cha mwezi Juni hadi Agosti mwaka 2018. Taarifa hiyo imetoa uchambuzi wa mwenendo wa mifumo ya hali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM YASHEREKEA MIAKA 10 YA M-PESA

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiKATIKA kuadhimisha miaka kumi ya M-PESA kampuni ya simu ya mkononi Vodacom Tanzania imesherekea hafla hiyo ya kwa kutoa futari kwa wateja wake na kuwahamasisha...

View Article
Browsing all 110028 articles
Browse latest View live




Latest Images