Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110029 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI INAYOMKABILI WEMA SEPETU YAPIGWA KALENDA

Na Karama Kenyunko, Globu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeipiga kalenda kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili Msanii na mlimbwende wa Tanzania mwaka  2006, Wema Sepetu na...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NYUZZZZZZZ......: TIMU YA TAIFA YA HISPANIA IMEMFUTA KAZI KOCHA...

Na Bakari Madjeshi, Globu ya JamiiIkiwa imebaki siku moja kuanza kwa Michuano ya Kombe la Dunia nchini Russia, Timu ya taifa ya Hispania rasmi imetangaza kumfuta kazi Kocha wake, Julen Lopetegui kama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NISHATI, JICA WAJADILI MPANGO WA MATUMIZI YA GESI ASILIA MAJUMBANI

Na Veronica Simba – DodomaKamishna wa Nishati Tanzania, Mhandisi Innocent Luoga, ameongoza Timu ya wataalam wa nishati, kupokea Rasimu ya Mpango unaolenga uainishaji wa mahitaji na matumizi ya gesi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yafanikiwa kuendeleza Madawati ya Jinsia zaidi ya 500

               Na Jacquiline Mrisho Serikali kupitia Jeshi la Polisi imefanikiwa kuwa na madawati ya jinsia zaidi ya 500 nchi nzima yanayosaidia kutatua na kutoa ufumbuzi wa haraka kwa mashauri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO MKUBWA WATEKETEZA GHALA LA KUHIFADHIA BIDHAA KARIAKOO

 Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiTAHARUKI kubwa imeibuka katika Mtaa wa Livingstone na Agrey Kariakoo jijini Dar es Salaam baada ya moto mkubwa kuzuka na kuteketeza ghala la kuhifadhi bidhaa mbalimbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI CHA KUPOKEA TAARIFA YA...

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza na Mawaziri, Wenyekiti wa kamati za kudumu za Bunge na Watendaji wakuu kutoka Serikalini (hawapo pichani) wakati wa kikao cha Kamati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

uteuzi wa wachezaji 3 watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu wakamilika

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), imekamilisha uteuzi wa wachezaji 3 watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018.Wachezaji watatu waliobaki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CAF YATAJA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA MECHI YA YANGA NA GOR MAHIA KOMBE LA...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF limetaja waamuzi kutoka nchini Somalia kuchezesha mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi kati ya Gor Mahia ya Kenya na Young Africans ya Tanzania...

View Article


MICHUZI TV: MOTO WATEKETEZA GHALA LA KUHIFADHIA BIDHAA KARIAKOO JIJINI DAR

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YAELEZWA 'MHASIBU TAKUKURU' ALIVYOKUWA AKIFANYA MIAMALA YA UONGO...

Na Karama Kenyunko,Globu ya jamiiUPANDE wa mashtaka katika kesi ya utakatishaji na kumiliki utajiri kuliko kipato chake inayomkabili, aliyekuwa Mhasibu wa Takukuru Godfrey Gugai na wenzake umeieleza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAKWATA YATOA MAELEKEZO KUUTANGAZA MWANDAMO MWEZI WA RAMADHAN KESHO

*Watoa shukrani kwa Rais Magufuli kufuatilia ujenzi wa msikiti mkuu BakwataNa Said Mwishehe,Globu ya jamii BARAZA Kuu la Waislam Tanzania(BAKWATA)limetoa maelekezo ya kuutangaza mwandamo wa Ramadhan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKURUGENZI SITA BODI YA MIKOPO WAACHISHWA KAZI KUTOKANA NA TUHUMA MBALIMBALI...

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiBODI ya Wakurugenzi ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELB) imewachia kazi wakurugenzi sita kutokana tuhuma mbalimbali dhidi yao.Akizungumza leo jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZANIA BANK YAWAFUTURISHA WATEJA WAKE NA WATOTO YATIMA DAR

AZANIA Benki inajivunia uzalishaji wa huduma kwa kila mmoja kwa wateja wake bila kujali dini, kabila na jinsia kwa faida na hasara kwa kuandaa futari pamoja na waislamu walioungana na wateja wa benki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI KWA UMMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WAMLAKI KATIBU MKUU WA CCM ALIPOWASILI JIJINI DODOMA LEO

Mamia ya wananchi na wanachama wa CCM asubuhi ya leo wamemlaki Ndg. Bashiru Ally Kakurwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) alipowasili kwa mara ya kwanza jijini humo kama Katibu Mkuu wa CCM na...

View Article


MICHUZI TV: Katibu Mkuu wa CCM ataka uhai wa Chama uende sambamba na vikao...

View Article

Meet Mark Ethan Mutunji in an Interview with Leon Senyange

View Article


MOTO WATEKETEZA GHALA LA KUHIFADHIA BIDHAA KARIAKOO JIJINI DAR ES SALAAM

View Article

2:13 Kim Jong-un takes private jet to China; getting ready for Singapore...

View Article

VOA SWAHILI: Duniani Leo Juni 13, 2018

View Article
Browsing all 110029 articles
Browse latest View live


Latest Images