Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109602 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSEMAJI WA JESHI LA POLISI AFANYA ZIARA KATIKA STUDIO ZA WANENE...

 Msemaji  wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi, (ACP) Barnabas Mwakalukwa akizungumza na Mkurugenzi  Mtendaji wa Studio ya Wanene Entertainment Darsh Pandit alipotembelea Studio hiyo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC KAGERA -VIONGOZI WA WILAYA WATOE USHIRIKIANO KUTAMBUA VIKUNDI ILI...

Na Editha Karlo wa blog ya Jamii Kagera.Mkuu wa Mkoa wa Kagera amewataka viongozi wote wa Wilaya kuhakikisha wanatoa ushirikiano katika kutambua vikundi vyote katika maeneo yao ili Mfuko wa Hifadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJERUHI WA AJALI MEATU WASAFIRISHWA KWENDA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI

Na Stella Kalinga, SimiyuMadiwani tisa kati ya 11 wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu waliojeruhiwa katika ajali iliyotokea Juni 10, 2018 kwenye msafara wa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mhe. Kheri James...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPRITE BBALL KINGS MSIMU WA PILI WAZINDULIWA, USAILI JUNI 16 MLIMANI CITY

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mashindano ya Mpira wa Kikapu ya Sprite BBall Kings yamezinduliwa jana usaili ukitarajiwa kufanyika Mei 16 mwezi huu katika Viwanja vya Mlimani City Mall Jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT TIZEBA AFUNGUA MASOKO YA TUMBAKU KITAIFA WILAYANI KAHAMA

Na Mathias Canal, WK, Kahama-ShinyangaWaziri wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba amefungua masoko ya tumbaku Kitaifa huku akitoa onyo kali kwa wakulima waliolima zao hilo nje ya mfumo wa ushirika kwa...

View Article

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA MGENI RASMI KAMPENI YA UPIMAJI VIRUSI VYA UKIWMI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HESHIMA YA MJUMBE CCM YASABABISHA RAIS KUTOA MAAGIZO UJENZI WA BARABARA...

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiRAIS Dk.John Magufuli ametoa maagizo kwa Wakala wa Barabara ya Vijijini (TARURA)wilayani Kinondoni Dar es Salaam kujenga barabara inayounganisha Kinondoni Shamba na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANROAD YADAIWA KUKWAMISHA MRADI KUFUNGULIWA

Wakala wa barabara Mkoani Ruvuma TANROAD walikwamisha mradi wa ujenzi wa Daraja mto Litete lililopo katika kijiji cha Mkongo Gulioni wilayani Namtumbo liweze kufunguliwa na kiongozi wa mbio za Mwenge...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIA 19 WA CHINA, WATANZANIA SITA KORTINI KWA TUHUMA ZA UHUJUMU UCHUMI

Na Karama Kenyunko, blogu ya JamiiRAIA 19 wa China na watanzania sita, wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka ya uhujumu uchumi.Washtakiwa hao wanashtakiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo Mary Mwanjelwa, Bungeni jijini Dodoma  Juni 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mawakala Halo pesa sasa kuweka na kutoa fedha kupitia NMB

Katika kutekeleza azma ya  kuboresha utoaji huduma za kifedha kwa wananchi wenye vipato tofauti,  Kampuni ya mawasiliano ya Halotel na benki ya NMB zimeingia katika ushirikiano  utakao wawezesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPRITE BBALL KINGS MSIMU WA PILI WAZINDULIWA, USAILI KUFANYIKA JUNI 16...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii MASHINDANO ya Mpira wa Kikapu ya Sprite BBall Kings yamezinduliwa jana huku usaili ukitarajiwa kufanyika Mei 16 mwezi huu katika Viwanja vya Mlimani City Mall Jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI OMBI LA UPANDE WA UTETEZI KESI YA AKINA MBOWE, WENZAKE

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali ombi la upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema na wenzake saba lililokuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO: MABARAZA YA BIASHARA NI CHACHU YA KUKUZA UCHUMI WA VIWANDA

Uwepo wa Mabaraza ya Biashara nchini unachochea azma ya Serikali ya Awamu ya Tano ya kuifanya Tanzania inakuwa nchi ya viwanda na uchumi wa kati.Haya yamebainishwa leo Jijini Dodoma na Waziri wa Nchi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHINA YAIOMBA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA KIDUNIA WA VIONGOZI WA...

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeombwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa kidunia wa viongozi wa vyama vya kisiasa, maombi haya yamewasilishwa na Balozi wa China nchini Tanzania Bi. Wang Ke alipotembelea Ofisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Breaking news:: Kocha wa timu ya taifa ya Hispaniai kuinoa Real Madrid

Real Madrid CF imetangaza kwamba Julen Lopetegui atakinoa kikosi hicho cha kwanza kwa misimu mitatu ijayo.Julen Lopetegui ataungana na timu hiyo baada ya michuano ya kombe la dunia, baada yakukinoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA AKABIDHI KADI 220 ZA BIMA YA AFYA KWA WATOTO YATIMA NA WAISHIO...

Na Zainab Nyamka, Globu ya jamii MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam  Paul Makonda amekabidhi kadi 220 za Bima ya Afya (Toto Afya Card) zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 11 kwa watoto yatima na waishio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HARAMBEE KWA AJILI YA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA KIKAPU KANDA YA TANO KWA VIJANA

Let's walk the talk members...Naomba kuwashirikisha wadau wote katika matukio yetu yajayo ya kikapu, naomba mjumuike nasi kufanikisha mashindano ya kimataifa ya kikapu ya kanda ya tano kwa timu za...

View Article

HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA JUNI 12, 2018

View Article
Browsing all 109602 articles
Browse latest View live




Latest Images