Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109999 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT: WATU WATATU WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA...

 TAARIFA zilizoifikia Globu ya Jamii usiku huu kutoka eneo la ajali iliyotokea maeneo ya  Riverside-Ubungo,zinaeleza kuwa gari la kubebea Wagonjwa 'Ambulance' ya Chuo kikuu cha Dar es salaam iliyokuwa...

View Article



KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRAC YATOA VIFAA VYA SH MIL 69 KWA WASICHANA TANGA

SHIRIKA la Brac limetoa vifaa vya kazi vyenye thamani ya sh Mil 69 kwa wasichana 924 kwa ajili ya kuanza shughuli za ujasirimali ili kuweza kujikwamua kiuchumi .Vifaa hivyo ambavyo vimetolewa maalum...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waweka Hazina, Wahasibu Watakiwa Kuzingatiai Matumizi Sahihi ya Fedha

Mkurugenzi Msaidizi TEHAMA, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Bartazal Kibola akifungua mafunzo ya mfumo wa malipo (epicor 10.2) kwa Waweka Hazina na Wahasibu (hawapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BODI YA WADHAMINI KUTOKA CHUO KIKUU CHA...

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Bodi ya wadhamini kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma walioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho(UDOM), Balozi. Ami Mpungwe (kushoto kwake)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATHMINI YA MAZINGIRA MRADI WA UMEME RUFIJI YABAINISHA KUWA ATHARI ZAKE...

Na Veronica Simba – DodomaMtaalam Mwelekezi aliyeingia Mkataba na Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kufanya Tathmini ya Mazingira (EIA) katika Mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHINDI WA TUZO ZA MO SIMBA 2018

1.GOLIKIPA BORA WA MWAKAA.Aishi Manula - WINNERB.Said Mohamed 'Nduda'C. Emmanuel Elias Mseja2.BEKI BORA WA MWAKAA.Yusuph MlipiliB.Erasto Nyoni - WINNERC.Shomari Kapombe3.KIUNGO BORA WA MWAKAA.Jonas...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI ZITAKAZOLETA UBABAISHAJI KATIKA MALIPO YA PAMBA YA WAKULIMA KUFUTIWA...

NA TIGANYA VINCENT, RS TABORASERIKALI imesema haitasita kuzifuta na kuzinyang’anya leseni Kampuni ambazo zinanua pamba hapa nchini ikiwa zitachelewesha fedha za wakulima  wa zao hilo na kuanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makala: Mazingira na hali ya hewa

Wafanyakazi wa TMA wakishiriki katika zoezi la kupanda miti wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dkt. Agnes Kijazi.Na Monica MutoniWAKATI huu ambapo tunaadhimisha wiki ya mazingira ni vyema tukakumbuka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MAJESHI ATOA WITO KWA WAZAZI KUWEKEZA KWENYE ELIMU

Na Stella Kalinga, SimiyuMkuu wa Majeshi ya Ulinzi  Jenerali Venance Mabeyo ametoa wito  kwa wazazi kuwekeza katika elimu kwa watoto  wao ili waweze kutimiza ndoto za maisha yao, badala ya kuwaoza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUHIMBILI KUADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI KWA UMMA KWA KUTOA ELIMU YA AFYA KWA...

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiHOSPITALI ya Taifa Muhimbili imeandaa maonesho rasmi ya wiki ya utumishi kwa umma kwa mwaka 2018 yenye kauli mbiu ya "Mapambano dhidi ya rushwa kwa kushirikisha wadau...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAKUKURU MKOA WA PWANI WAKIRI KUONGEZEKA KWA VITENDO VYA KUPOKEA NA KUTOA...

Na Linda Shebby, Pwani TAASISI YA Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema kasi ya kujihusisha na  vitendo  vya kupokea na kutoa rushwa  imeongezeka katika Mkoa wa Pwani.Imeelezwa kuwa katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA

Mzee Solomon Seth Gwassa na mama Phaines Gwassa wa Forest Jijini Mbeya,  wanasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa Anna Solomon Gwassa kilichotokea ghafla kwa ajali ya barabarani tarehe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE RAIS TRUMP, KIM JUNG UN WAKUTANA WAFANYA MAZUNGUMZO

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiRAIS wa Marekani Donald Trump na Kim Jung Un wa Korea  Kaskazini wamekutana katika mkutano uliokua ukisubiriwa kwa hamu ambao umefanyika katika Hotel ya Capella katika...

View Article

MICHUZI TV: NAIBU WAZIRI WA KILIMO AKILI KUPOKEA MAAGIZO YA KAMATI YA KILIMO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMO CHA UMWAGILIAJI TATUZI MUAFAKA LA CHANGAMOTO ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI.

Mwandishi Maalum - Dar es SalaamImeelezwa kuwa Kilimo kinachotumia teknolojia ya kisasa ya umwagiliaji ndiyo tatuzi muafaka la changamoto zitokanazo na mabadiliko ya tabianchi katika sekta ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA MSIKITI WA BAKWATA KINONDONI DAR ES SALAAM

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa  Mfuti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubeiry Ally na Balozi wa Mororcco nchini Mhe. Abdellah Benyryane...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KUUAGA MWILI WA BABA MZAZI WA MBUNGE WA MANYONI...

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai aongoza Waheshimiwa Wabunge katika kuuaga mwili wa Ndg. Mtuka Daniel Nguluba ambaye ni Baba Mzazi wa Mbunge wa Manyoni Mashariki, Mhe. Daniel Mtuka katika tukio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KUZINDUA KAMPENI YA FURAHA YANGU YA KUHAMASISHA KUPIMA VVU JUNI...

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kampeni ya Furaha Yangu yenye lengo la kuhamasisha huduma za kupima UVVU na kuanza ARV...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA VATICAN NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Vatican Nchini Mhashama Askofu Mkuu Mrek Solezyriski Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni...

View Article
Browsing all 109999 articles
Browse latest View live




Latest Images