Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO AMUAGIZA MKANDARASI KUBOMOA SAKAFU ILIYOJENGWA CHINI YA KIWANGO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo amemuagiza mkandarasi anayekarabati shule kongwe ya sekondari ya Malangali iliyopo wilayani Mufindi mkoani...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACHAMA WA YANGA KWA KAULI MOJA WAKUBALI MABADILIKO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Wanachama wa Yanga kwa kauli moja wamfikia hatua ya makubaliano kwenda katika mfumo wa mabadiliko ambao utaruhusu timu hiyo kuwa Kampuni.Yanga iliyofanya mkutano wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAID YAPONGEZA MCHANGO WA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII-TASAF KATIKA KUBORESHA...

Na. Estom Sanga-TASAF Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa -USAID, Andy Karas amefanya ziara katika mkoa wa Kagera na kukagua shughuli zinazofanywa na Mfuko wa Maendeleo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANISPAA YA ILALA MABINGWA WA JUMLA UMITASHUMTA

Na Heri Shaaban MANISPAA ya Ilala wameibuka mabingwa wa jumla katika michezo yote ya mashindano ya umoja wa Shule za Msingi Umitashumta Mkoa wa Dar es Salaam na nafasi ya pili Wilaya ya Kinondoni na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIFO CHA SAM WA UKWELI NI PIGO KUBWA KWANGU- RIDHIWANI KIKWETE

Na Shushu Joel, Chalinze MBUNGE wa Jimbo la Chalinze  mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete amesikitishwa na msiba wa msanii wa Bongo fleva Sam wa Ukweli aliyefariki dunia siku za karibuni.Akizungumza mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA...

 Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiongoza kikao kazi cha Makamishna na Manaibu Kamishna wa Magereza Ofsini kwake leo Jumatatu 11, 2018 jijini Dar es Salaam. Jumla ya Maafisa 9 wa ngazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.SHEIN AFUTARISHA MKOA KASKAZINI UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Swala ya Magharibi jana iliyoswalishwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib azikwa...

 MWENYEKITI wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib (67) amezikwa jana jumapili kwenye makaburi ya Mwanakerenge mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani. Katika mazishi hayo yaliyowakusanya wasanii,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Kalemani aitaka Tanesco kukamilisha ukarabati wa miundombinu kabla ya...

Na Greyson Mwase, KageraWaziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuhakikisha linakamilisha kazi  ya ukarabati wa miundombinu yote ya umeme nchi nzima kabla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Seif afanya ziara kijiji cha Bubujiko

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekusudia kuwapunguzia gharama za ujenzi wa Mtaro wa Maji ya Mvua Wananchi wa Kijiji cha Bubujiko waliojitolea kuanzisha Mradi huo kwa lengo la kujiepusha na Mafuriko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MASUALA YA JINSIA NA MAHAKAMA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) tayari kufungua Mkutano wa Kimataifa unaohusu masuala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: MZEE JUMA MBIZO AINGIA STUDIO KUACHIA KIBAO CHA BONGO FLEVA NA...

Inaweza kukuwia vigumu kuamini, lakini ndiyo hivyo tena, akiwa anatimiza umri wa miaka 68, miaka 39 ya kuwepo kwenye fani za michezo na burudani, Mzee Juma Mbizo ameamua kuingia studio kwa mara kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwakyembe aipa mamlaka BMT kusimamia mchezo wa kuogelea

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa pamoja baina ya serikali na viongozi wa zamani wa Chama Cha Kuogelea Nchini (TSA)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DSTV WANAKWAMBIA HIVIII.... mambo ni Motoooo!

Zikiwa zimesalia siku 3 tu kuelekea katika mashindano ya FIFA Kombe La Dunia 2018 nchini Urussi. DStv watakuwezesha wewe mteja wao kufurahia mechi zote 64 za michuano ya FIFA Kombe la Dunia 2018 LIVE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwongozo wa ukuaji bora wa miji wazidi kunolewa

Na Mwandishi wetu,WATAFITI waliokuwa wakifanyia utafiti mada kuhusu ukuaji bora wa miji nchini Tanzania, wamekamilisha kazi hiyo na kuwasilisha katika mkutano mkubwa wa wadau chini ya mwavuli wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA

 Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza baada ya kumaliza Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRC WAPEWA MIEZI MITATU KUWEKA VIZUIZI MAENEO YOTE AMBAYO RELI INAKATIZA...

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiSHIRIKA la Reli Tanzania(TRC) limepewa muda wa miezi mitatu kuhakikisha maeneo yote ambayo reli inakatiza barabara kuwe na vizuizi  badala ya kutegemea alama peke...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA ULEGA JIMBO LA MKURANGA YAPAMBA MOTO, SEKTA YA ELIMU YAPEWA KIPAUMBELE

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiMBUNGE wa Mkuranga na Naibu Waziri Ufugaji na Uvuvi Abdallah Ulega ameendelea na ziara yake katika jimbo la Mkuranga katika kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI PROF. MBARAWA ATOA MAAGIZO KWA BODI MPYA YA WAKURUGENZI TRC

*Ni baada ya RAHCO, TRL kuunganishwa, azindua bodi ya wakurugenzi TRC Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiWAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Bodi mpya ya Wakurugezi...

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images