Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110016 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI JUMUIYA YA WAZAZI TAIFA DKT MNDOLWA KUUPATIA UFUMBUZI MGOGORO WA...

Na Bashir Nkoromo, Geita. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa ameahidi kuupatia ufumbuzi mgogoro wa machimbo ya dhahabu wa Lwamgasa mkoani Geita uliopo kati ya Jumuuya ya Wazazi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWASA YAENDELEA NA MIRADI YA KUSAMBAZA MAJI, KUONGEZA MTANDAO WA MABOMBA

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiMAMLAKA ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam(DAWASA) imesema pamoja na mikakati mbalimbali waliyonayo hivi sasa inatekeleza miradi mbalimbali ya usambazaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais ashiriki ibada ya kumuweka Wakfu na kumuingiza kazini Askofu...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo mara baada ya kuwasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA TUSIKUBALI KUCHONGANISHWA-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kuchonganishwa na kwamba Serikali haiongozwi kwa misingi ya kidini bali imeziachia taasisi za kidini zifanye kazi kwa kuzingatia Katiba ,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FUTARI YA PAMOJA DMV

 WaTanzania wa DMV wakiwasili kwenye futari ya pamoja inayoandaliwa na Jumuiya ya Kiislamu DMV(TAMCO) wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan. Hii ilifanyika siku ya Jumamosi June 9, 2018 Silver Spring,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO AZITAKA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOJISHUGHULISHA NA UJENZI KUWA KINARA WA...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Selemani Jafo amezitaka Taasisi za serikali zinazo shughulika na masuala ya ujenzi kuwa kinara kwa ubora wa kazi...

View Article

MAWAIDHA YA BABA CHRISTIAN LIKOKO MAZIKONI KIJIJINI MBOGA MKOA WA PWANI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PS 3 YABORESHA WATENDAJI WA UMMA NCHINI

Mwezeshaji wa mafunzo ya WISN PLUS POA ,Joram Kiungo toka Tamisemi akitoa somo kwa washiriki wa mkoa wa Dar jinsi ya utoaji wa taarifa za kimfumo katika upangaji wa watumishi katika halmashauri zao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ELIMU BORA KUIWEZESHA TANZANIA KUPIGA HATUA YA UCHUMI WA VIWANDA

Benny Mwaipaja, WFM, KondoaNAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amesema kuwa uwekezaji katika elimu bora kwa vijana wa kike na wa kiume kutaiwezesha Tanzania kufikia uchumi wa kati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANZANIA AMUANDIKIA SAMATTA KITABU.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mtanzania Peter .W. Ching'ole ambaye ni mwanazuoni na mtafiti wa masuala mbalimbali ya kijamii akiwa amehitimu shahada ya uzamili (Master's Degree) amemuandikia kitabu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JULIO ASEMA, UWEZO WA ALI KIBA SIO WA NCHI HII.

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Kocha Jamhuri Kihwelo 'Julio' amesema kuwa uwezo wa kimpira wa msanii Ali Saleh Kiba ni wa kucheza soka la kulipwa la kimataifa nje ya nchi.Hayo aliyasema baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GOR MAHIA ATWAA KOMBE LA SPORTPESA SUPERCUP, KUKIPIGA NA EVERTON GODSON PARK

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Klabu ya Soka ya Gor Mahia ya nchini Kenya imeendeleza ubabe wake kwa kunyakua kombe la Sportpesa Super Cup kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuifunga Simba ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA KUWAIT AKABIDHI VIFAA TIBA KWA HOSPITALI KIGAMBONI

 Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa, leo tarehe 10/6/2018 amepokea ugeni wa Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al Najem.Mapema akimkaribisha mgeni wake, DC Mgandilwa amemshukuru Balozi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA KILIMO AAGIZA KURUDIWA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA USHIRIKA KILA MAHALI...

Na Mathias Canal-WK, SingidaWaziri wa kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba amemuagiza Afisa ushirika wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Ndg Gurisha Msemo kufanya ziara ya kikazi maeneo yote kuliko fanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. MNDOLWA AUNGURUMA JIJINI MWANZA, LEO

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akizungumza na viongozi wa CCM na wa Jumuiya hiyo mkoani Mwanza, katika mkutano uliofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, leo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA JOB NDUGAI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KUHUBIRI NA KUDUMISHA...

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akisisitiza umuhimu wa watanzania kuvumiliana kwenye masuala ya dini, alipopata nafasi ya kukabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUKUVI AOKOA MABILIONI MPAKA WA TANZANIA NA KENYA

Na. Hassan Mabuye, Wizara ya Ardhi.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ameokoa takriban shilingi bilioni 16 za upimaji wa mpaka kati ya Tanzania na Kenya mara baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TARIMBA ABBAS MWENYEKITI KAMATI YA USAJILI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mkutano Mkuu wa Yanga uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam umemteua Tarimba Abbas kuwa mwenyekiti  odi ya   wa kamati maalumu ya kushughulikia usajili na mikataba ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WAJADILI UMUHIMU WA ONGEZEKO LA LIKIZO YA UZAZI KWA WAZAZI WENYE WATOTO...

Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP, Alvaro Rodriguez akizungumza jambo wakati na mjadala uliohusu umuhimu wa ongezeko la likizo ya uzazi kwa wazazi wenye watoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Great Lakes Judicial Cooperation Network meeting to be held from 13-14 June...

WHAT:Great Lakes Judicial Cooperation Network meeting  WHERE:Courtyard Hotel (Sea View) Dar-es-Salaam, Tanzania WHEN:13-14 June 2018BACKGROUND INFORMATIONIn February 2013, heads of State from 13...

View Article
Browsing all 110016 articles
Browse latest View live


Latest Images