Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DCB WAJITOSA UDHAMINI NDONDO CUP, YAAHIDI KUTOA ELIMU YA HUDUMA ZA KIBENKI

Meneja Masoko wa Benki ya DCB Boyd Mwaisame akielezea namba watakavyokuwa wanawafungulia akaunti wachezaji na timu shiriki kupitia zawadi wakatazokuwa wanazitoa.Na Zainab Nyamka, Globu ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGWA WAFANYA ZIARA MKOANI SIMIYU KUTEMBELEA MIRADI YA VIJANA ILI KUJIFUNZA

Na Stella Kalinga, SimiyuViongozi kutoka Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhe. Deo Ndejembi pamoja na baadhi ya viongozi wa vikundi vya vijana wilayani humo wamefanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUA WARSHA YA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI MKOANI MOROGORO

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza leo wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Siku mbili ya Wahariri wa Vyombo vya Habari iliyofanyika mkoani Morogoro. Warsha...

View Article

LIVE: SHEREHE YA HARUSI REUBEN & JENISTA UKUMBI WA PRIME ROSE - MBEZI BEACH DSM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AOSHA MAGARI KUHAMASISHA UCHANGIAJI WA FEDHA ZA UJENZI WA VYOO

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiosha magari tofauti tofauti wakati wa shughui ya kuosha Magari kwa ajili ya kuchangia fedha za kujengea Vyoo vya mfano kwa ajili ya watoto wa Kike na wenye mahitaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtanzania atamba mpira wa meza Kenya

Na Mwandishi wetuMchezaji wa mpira meza wa Tanzania, Sara Alidina ameingia hatua ya mashindano ya mikoa ya Kenya iliyopangwa kuanza wiki ijayo baada ya kushinda medali ya fedha katika hatua ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEAM SAMATTA WAIPAPASA TEAM KIBA KWA 4-2 MBELE YA WAZIRI DKT MWAKYEMBE

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mh, Harisson Mwakyembe akitambulishwa wachezaji wa Team Ali Kiba  na Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva  katika mchezo wa hisani uliofanyika kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABULA AHAKIKI UHAWILISHAJI ARDHI KATIKA VIJIJI VYA NAKAWALE NA LILAHI...

 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akihakiki majina katika kijiji cha Nakawale halmashauri ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kuhakiki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII NDIO HISTORIA YA MUZIKI WA DISCO TANZANIA

Na Mwandishi wetu, Washington, DCNimeona nikae chini niipitie maandiko ya mhenga moja aliyeandika habari ya DISCO iliyokua na kichwa cha habari "WAHENGA TULITESA SANA ENZI ZETU DISCO LA MCHANA (BOOGIE)...

View Article


VOA Swahili: Zulia Jekundu June 8th 2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBF YAOMBA WADAU KUSAIDIA KUFANIKISHA MICHUANO YA KANDA YA TANO YA VIJANA

Let's walk the talk members ...Naomba kuwashirikisha wadau wote katika matukio yetu yajayo ya kikapu, naomba mjumuike nasi kufanikisha mashindano ya kimataifa ya kikapu ya kanda ya tano kwa timu za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI PWANI LATOA ZAWADI ZA IDDI NA KUFUTURISHA WATOTO YATIMA KITUO...

Na Mwamvua Mwinyi, PwaniKAMANDA wa polisi mkoani Pwani (ACP) Jonathan Shanna,amewataka wananchi wenye uwezo kimaisha kutumia sehemu ya vipato vyao kuwezesha watoto yatima badala ya kuwaachia jukumu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAFUNZO YA WISN NA POA YALIYOSHIRIKISHA MIKOA MINNE YAHITIMISHWA KWA MAFANIKIO.

Na. Andrew Chimesela, Morogoro Mafunzo ya kubaini mahitaji ya watumishi kwa kutumia mfumo unaojulikana kwa jina la kitaalamuWorkload Indicators of Staffing Needs - WISN na Prioritaization and...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBWANA SAMATTA AIPONGEZA KAMPUNI YA MAZIWA YA ASA

Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta anayecheza soka lake nchini Ubeligiji katika klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta ameipongeza kampuni ya kuuza maziwa ya Asas...

View Article

Waziri Mkuu atoa maelekezo kufufua michezo nchini

Na George Binagi-GB Pazzo, BMG Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amesema hali ya kiwango cha michezo nchini si ya kuridhisha hivyo lazima wanamichezo kuanzia shule za awali, msingi, sekondari pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA JIJINI MWANZA, AWATAKA WATANZANIA...

 Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasikubali kuchonganishwa na kwamba Serikali haiongozwi kwa misingi ya kidini bali imeziachia taasisi za kidini zifanye kazi kwa kuzingatia Katiba , Sheria za nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa atembelea kampuni ya Tanzanice...

 Makamu wenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Kilimo,Mifugo na Maji Dkt.Christine Ishengoma(kushoto) akiangalia kwa makini kifungashio cha parachichi zinazozalishwa na kupakiwa na kampuni ya Tanzanice...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO AKERWA NA KUSUASUA KWA UJENZI WA KITUO CHA MABASI MJI WA NJOMBE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo ameonyesha kukerwa kutokamilika kwa ujenzi wa kituo cha mabasi cha mji wa Njombe licha ya serikali fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULEGA AWAASA WANA-CCM MKURANGA KUUSEMEA UTEKELEZAJI WA ILANI

Na Mwamvua Mwinyi, Mkuranga  Mbunge wa Jimbo la Mkuranga ,Abdallah Ulega, amesema anaandaa mpango mkakati utakaowezesha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushinda kwa kishindo katika chaguzi za serikali za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUPENDE VYA NYUMBANI VILIVYO HALISI NA VYENYE UBORA WA KIMATAIFA

View Article
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live


Latest Images