Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110104 articles
Browse latest View live

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGWANGALLA AFUTURISHA WABUNGE DODOMA, ASISITIZA UPENDO, UMOJA NA MSHIKAMANO...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amefuturisha wabunge mbalimbali wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika makazi yake yaliyopo Area D Jijini Dodoma.Futari hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWIGULU ASEMA KWA SIMBA ILIPOFIKA ANAIPA BARAKA ZA USHINDI FAINALI YA...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk.Mwigulu amesema kwa sasa anachoweza kukielezea kwa timu ya Simba anamuomba Mungu aifanikishe timu hiyo kuhsinda mchezo wa fainali wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ATAKA WANAOTOA TAARIFA ZA UONGO WADHIBITIWE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wawachukulie hatua kali wananchi wote wanaotumia vibaya namba za mawasiliano za jeshi hilo kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muogeleaji Natalia atamba kushinda mashindano ya kuogelea ya Marekani

Dar es Salaam. Muogeleaji wa Tanzania, Natalia Ladha ametamba kufanya vyema katika mashindano ya kuogelea ya kutafuta tiketi ya kufuzu kwa mashindano ya Olimpiki ya jimbo la Florida nchini Marekani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA ATEMBELEA OFISI ZA MPIGA CHAPA WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama moja kati ya mitambo ya kwanza ya Mpiga  Chapa wa Serikali uitwao  Original Heidelberg wakati alipotembelea Ofisi za Mpiga Chapa wa Serikali jijini Dar es salaam...

View Article

HAJI MANARA AZUNGUMZIA MCHEZO WA SIMBA NA GOR MAHIA FAINALI ZA SPORTPESA KESHO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASHAURIWA KUKABILIANA NA UKOSEFU WA USAWA KATIKA ULIPAJI KODI

Sehemu ya washiriki toka vyama vya wafanyakazi, asasi za kiraia makundi ya wanafunzi na vijana uliofanyika Tarehe 7 hadi 8 jijini Dar es Salaam wakifuatilia matukio wakati wa warsha iliyojadili maswala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI MOROGORO WATOA UFAFANUZI MWANAMKE ALIYEJIFUNGUA NJIANI

Na John Nditi, MorogoroPOLISI mkoani Morogoro inaendelea na uchunguzi zaidi kuhusu mwanamke aliyejifungua mtoto wakati akiwa njiani kupelekwa Kituo cha Afya Mang’ula, wilaya ya Kilombero mkoani humo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA AFUTURISHA MAMIA YA WANANCHI DAR, AOMBA VIONGOZI WA DINI KUENDELEA...

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMKUU wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini kuendelea kumuombea Rais Dk.John Magufuli kwani anafanya kazi ngumu na kitu pekee ni...

View Article

MICHUZI TV: DKT. MWIGULU AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI IDARA YA SHERIA NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MUHIDINI ALLY MBOWETO AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS BUHARI WA...

Mnamo Juni 7, 2018 Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidini Ally Mboweto, alikabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria Mhe. Muhammadu Buhari katika Ikulu ya nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA

Na Abdullatif Yunus wa  Globu ya Jamii, KageraOfisi ya Mkuu wa Mkoa  wa Kagera kupitia Jeshi la Uhamiaji Mkoa wa Kagera imezindua rasmi pasipoti ya kielektroniki kwa wananchi na wakazi wa Mkoa huo....

View Article


HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA: Wajumbe wapya watano wachaguliwa Baraza la...

View Article

VOA Swahili: mkutano wa kampuni ya Facebook, wawekezaji wakielezea jinsi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEINA ZUNGUMZA NA VYAMA VYA UPINZANI LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na viongozi wa Vyama vya Upinzani katika mkutano wa ushauriano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUZI TV: MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI CHA MKOA WA...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wawachukulie hatua kali wananchi wote wanaotumia vibaya namba za mawasiliano za jeshi hilo kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Wateja wa Mikataba (Business Enterprise Unit) Vodacom Tanzania, Arjun Dhillon akitoa neno la shukrani kwa baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania walioudhuria kwenye futari hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MLOGANZILA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema ufumbuzi umepatikana wa changamoto kubwa ya umeme inayoikabili hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu Cha Afya na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAKAOCHEZESHA MAMLUKI UMISSETA KUKIONA-WAZIRI MKUU MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Elimu wahakikishe wanafunzi wanaoshiriki mashindano hayo ni wale waliovuka katika ngazi ya shule, kata, wilaya na mkoa, ambao wote ni wanafunzi halali wa...

View Article
Browsing all 110104 articles
Browse latest View live




Latest Images