Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109607 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mfumuko wa bei wapungua hadi kufikia asilimia 3.6

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.MFUMUKO  wa bei wa Taifa  wa Mei 2018  umepungua  hadi kufikia asilimia 3.6 ikilinganishwa na asilimia 3.8 ilivyokuwa Mwezi Aprili 2018 mwaka huu .Akizungumza na...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUTA KUFANYA MAANDAMANO KUUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS DK. MAGUFULI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiUMOJA wa wananchi ujulikanao kama Rudisha Uzalendo Tanzania (RUTA) unatarajia kufanya maandamano ya amani ya kumuunga mkono Rais John Magufuli kutokana na juhudi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIKWETE AISHAURI CMSA KUTOA ELIMU KUHUSIANA NA FAIDA ZA HISA

CMSA yairudisha NICOL soko la hisaNa Chalila Kibuda, Globu ya JamiiRais Mstaafu wa Awamu ya Nne , Dk.Jakaya Mrisho Kikwete ameishauriwa Mamlaka ya Masoko na Mitaji ya Dhamana (CMSA) kutoa elimu kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JWTZ YATOA TAARIFA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU PT.NSEVILWE NZOWA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE WASHIRIKI KUJENGA WODI YA MAMA NA MTOTO CHEMBA

Wanawake washiriki kujenga Wodi ya mama na mtoto - ChembaWanawake wa Kata ya Songolo, katika Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wamejitoa katika ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto lililojengwa katika kituo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MADINI NA KUZINDUA...

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa 38 wa Mawaziri wa Madini  kutoka nchi wananchama wa Ukanda wa  Maziwa Makuu kwenye   Kituo cha Utafiti  na uendelezaji wa sekta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA DK MNDOLWA AANZA ZIARA MIKOA YA KANDA...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akisalimiana na viongozi wa Jumuia hiyo baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Bukoba leo kuanza ziara katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASHAURIWA KUJENGA MAHABUSU ZA WATOTO KWENYE MIKOA NA WILAYA HAPA...

SERIKALI imeshauriwa kujenga mahabusu za watoto kwenye mikoa na wilaya hapa nchini ili kuwaweka watoto waliokuwa katika ukinzani wa kisheria ambao wamekuwa wakifanya vitendo viovu. Hatua hiyo itakuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAFISA UUGUZI CHUO KIKUU CHA NEW YORK NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA...

Mkurugenzi wa Idara ya Tiba Shirikishi ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Delila Kimambo akimkabidhi zawadi ya kinyago Afisa Muuguzi wa Chuo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS BENKI YA DUNIA ATEMBELEA MAHAKAMA YA WILAYA KIGAMBONI,AISIFU...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMakamu wa rais wa Benki ya dunia, Sandie Okoro ameipongeza mahakama ya Tanzania kwa utekelezaji wa miradi ya mahakama kwa kutumia mfumo wa Teknolojia ya ujenzi wa bei...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA NISHATI SUBIRA MGALU, ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MITA...

NA K-VIS BLOG/KhalfanSaidNAIBU Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu, ametembelea kiwanda cha kutengeneza mita za LUKU kilichoko Mbezi jijini Dar es Salaam leo Juni 8, 2018 na kuridhishwa na ubora wa...

View Article

ALIKIBA NA SAMATTA WATAMBIANA, ZARI NA MILIONI 4.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA UWT,NDUGU QUEEN MLOZI,AMEAHIDI KUFANYA KAZI KWA...

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.KATIBU Mkuu wa Umoja wa wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT), Ndugu Queen Mlozi ameahidi kufanya kazi kwa weledi, uaminifu na uzalendo uliotukuka ili CCM ishinde...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMBI YA UPASUAJI KISARAWE YATARAJIA KUFANYA UPASUAJI KWA WAGONJWA 350

NA WAMJW-KISARAWE.KAMBI ya upasuaji wa mabusha na matende katika hospitali ya Wilaya ya Kisarawe inatarajia kufanya upasuaji kwa wagonjwa wapatao 350 katika mkoa wa Pwani ili kuondoa kabisa watu wenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AWAVISHWA VYEO MAOFISA WAANDAMIZI TISAWA JESHI...

KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa, kwa niaba ya Amiri jeshi mkuu Rais John Magufuli amewavisha vyeo maafisa wa ngazi ya juu 9 wa Jeshi la Magereza waliopandishwa vyeo hivyo hivi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. ABBASI ATOA MAFUNZO KWA MAAFISA HABARI NA TEHAMA KUTOKA TAASISI ZA SERIKALI

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbasi akiwasilisha mada kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii katika kutangaza huduma na shughuli mbalimbali za Serikali kwa Maafisa Habari na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI CHA MKOA WA ILALA, ENEO LA...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye wakati alipotembelea Kituo cha Zimamoto za na Uokoaji cha Mkoa wa Ilala eneo la Fire...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATENDAJI WAKUU KUTOKA BOT, MAKAMU WA...

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Gavana wa Benki kuu ya Tanzania, Prof. Florens Luoga (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Job...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA KIGOMBE WATAKIWA KUACHANA NA BIASHARA ZA MAGENDO

WANANCHI wa Kijiji cha Kigombe Kata ya Kigombe wilayani Muheza mkoani Tanga wametakiwa kuacha kushiriki kwenye biashara za magendo badala yake watumie maeneo yaliyorasmi kwa kisheria kwa ajili ya...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article
Browsing all 109607 articles
Browse latest View live




Latest Images