Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110104 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AZIONYA ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka asasi zisizokuwa za Serikali (NGOs) zitekeleze majukumu yake kama ambavyo zimesajiliwa na ziache kufanya shughuli zilizo nje ya makubaliano.Amesema Serikali...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJADALA KUHUSU UKIMWI KUFANYIKA UDSM LEO

View Article

BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 07.06.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA BAGAMOYO YAKABILIWA NA CHANGAMOTO KUBWA YA MIUNDOMBINU KATIKA...

Na Mwamvua Mwinyi,BagamoyoHALMASHAURI ya wilaya ya Bagamoyo ,Pwani inakabiliwa na upungufu mkubwa wa miundombinu katika sekta ya elimu ikiwemo vyumba vya madarasa 367 ambapo shule za msingi kuna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu mpya UWT akabidhiwa Ofisi rasmi,awataka wanawake kushikamana...

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) Taifa, Gaudencia Kabaka akizungumza wakati wa hafla ya utambulisho wa Katibu Mkuu mpya wa Umoja huo Mwalimu Queen Mlozi pamoja na...

View Article


MWANAHABARI NYOTA NCHINI MILLARD AYO AKANUSHA UZUSHI WA KIFO CHAKE ULIOSAMBAA...

View Article

INTRODUCING Galaxy - ONA (Official Video)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAMII ISHIRIKISHWE MABADILIKO TABIA NCHI KUWA NA KILIMO CHENYE TIJA

JAMII inayojitambua ndiyo inayoweza kutumika katika kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.Aidha kushindikana kwa mipango mingi ya udhibiti wa uharibifu wa mazingira kunatokana na uelewa duni na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB na Jeshi la Polisi nchini kudumisha mahusiano ya kibiashara

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kulia) akizungumza wakati uongozi wa Benki ya CRDB ulipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANAGE NA KIKAPU KUPIGIWA WASHINGTON, DC OLD SCHOOL REUNIOUN DMV USIPIME

Its all About Fun, Food, Drinks, Fashion,Sports and Nyama chomaFrom Fri JULY 6 to Sun JULY 8, 2018Oxford Center9700 Martin L King Jr Hwy,Lanham, MD 20706Friday July 6, 2018from 9pm DMV International...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.SHEIN AFUTARISHA MKANYAGENI PEMBA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Skuli ya  Sekondari ya Mkanyageni Wilaya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS:: WAZIRI DK. MWIGULU NCHEMBA AMSIMAMISHA KAZI MSAJILI WA...

*Wizara yake yaanza kumchunguza aliyesambaza nyaraka na matamko mitandaoni Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiWAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba ametangaza kumsimamisha kazi Msajili wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KIKOSI CHA POLISI RELI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati), akizungumza na Maofisa wa Jeshi hilo kikosi cha Polisi Reli Dar es salaam leo wakati alipofanya ukaguzi wa kushtukiza katika kikosi hicho kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel kuendelea kuboresha huduma zake kwenda na teknolojia

Airtel yatangaza huduma mpya mbili, yatamba kuendelea kuboresha huduma zake kwendana na teknolojiaKampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania imehaidi kuendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wateja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MAJESHI AHAMASISHA VIJANA KUJIUNGA JKT KUPATA STADI ZA KAZI...

Na Stella Kalinga, SimiyuMkuu wa Majeshi ya Ulinzi  Jenerali Venance Mabeyo amewahamasisha vijana kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa ili waweze kupata stadi za ufundi na hatimaye wajiajiri badala ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPA TANGA YAIBUKA MSHINDI KWA TAASISI ZA KISERIKALI ZILIZOSHIRIKI MAONESHO YA...

Naibu Waziri wa Maliasilia na Utalii Japhet Hasunga kushoto akimkabidhi Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama kombe la mshindi wa kwanza wa taasisi za serikali zilizoshiriki maonyesho ya biashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NZUKI AIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MKUTANO WA UNWTO-AFRIKA NCHINI NIGERIA

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki (kulia) akisalimiana na Waziri wa Utalii wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Shirika la Utalii la Umoja wa Mataifa barani Afrika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TABOA BADO WASUBIRI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU,YAWAOMBA WAMILIKI WA MABASI...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiKATIBU Mkuu wa Chama cha Wasafirishaji wa Mabasi Tanzania(TABOA) Enea Mrutu amewaomba wamiliki wote wa mabasi nchini kuendelea kutoa huduma za kusafirisha abiria kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA...

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMAKAMU wa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kongamano la Biashara kati ya Tanzania na Malawi ambalo litafanyika Julai 26 hadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NACTE IMEFUTA USAJII KWA VYUO 20 , TISA VYASIMAMISHWA KUDAHILI

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiBARAZA la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE)limetengaza kufuta usajili wa vyuo 20 baada ya kubaini vimeshindwa kufuata tararibu zinazoendana na matakwa ya usajili wa vyuo...

View Article
Browsing all 110104 articles
Browse latest View live




Latest Images