PROFESA WA WATOTO MUHAS ATOA UFAFANUZI UGONJWA WA USONJI,MATUNZO KWA WATOTO...
Prof. Karim Manji, Profesa na Daktari Bingwa wa Watoto akitoa mada ya usonji (autism) na changamoto ya ufahamu wa jamii na matunzo ya watoto wenye usonji nchini Tanzania katika ukumbi wa mihadhara...
View ArticleHALMASHAURI YA WILAYA YA MERU YAPANDA MITI 7000,YAWEKA BIKONI YA MIKAPA...
Woinde Shizza, ArushaHALMASHAURI ya Wilaya ya Meru mkoani Arusha imepanda miti 7000 huku miti 500 ikipandwa katika kilele cha Siku ya Mazingira Duniani pamoja na kuweka bikoni katika mipaka...
View ArticleMAKAMU WA RAIS ATEMBELEA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewashauri hospitali ya CCBRT kufikisha ujumbe wa Fistula katika kila wilaya hapa nchini hata kwa kutumia radio jamii. Makamu...
View ArticleWATAKIWA KUSALIMISHA SILAHA
JOSEPH MPANGALA - MTWARA Kamanda ya Polisi Mkoa wa Mtwara DCP Lucas Mkondy ametoa wiki mbili kwa wananchii wote wanaomiliki Silaha Bila ya kuwa na Kibali kuhakikisha wanasalimisha Silahahizo katika...
View ArticleNAIBU WAZIRI MABULA ATAKA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA UJENZI WA NYUMBA ZA...
Na Munir Shemweta, NachingweaNaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula ameziataka Halmashauri nchini kutenga maeneo ya ujenzi wa nyumba za watumishi yenye miundombinu ili...
View ArticleZIMAMOTO NCHINI YAPATA TUZO YA UTENDAJI BORA
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limepokea tuzo ya cheti cha heshima kwa kutambua mchango wao katika kupambana na majanga ya moto na uokoaji hapa nchini kutoka katika Taasisi ya Wazalendo na Maendeleo....
View ArticleTaGLA YASHIRIKI SEMINA YA UKUAJI WA MIJI NA MAJIJI KUTOKA KOREA KUSINI
Na Leandra, Gabriel, Blogu ya jamiiTanzania Global Learning Agency (TaGLA) ambayo inajishugha na mafunzo kwa njia ya mtandao nchini leo wameshiriki semina iliyoshirikisha nchi 15 duniani.Huku Tanzania...
View ArticleViongozi wa elimu Geita wapatiwa mafunzo kukabiliana na Malaria
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG Serikali kwa kushirikiana na Chama cha Watoa Huduma za Afya Binafsi Tanzania APHFTA, imeanza kutoa mafunzo kwa viongozi wa elimu mkoani Geita ili kusaidia mapambano dhidi...
View ArticleTANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA JINSIA NA UPATIKANAJI WA HAKI
Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Kwa mara ya kwanza Tanzania wanatarajia kuwa wenyeji wa mkutano wa kimataifa wa jinsia na upatikanaji wa haki utakaoshirikisha zaidi ya majaji wakuu na wanasheria...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Rombo Joseph Selasini, Bungeni jijini Dodoma, Juni 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Naibu...
View ArticleTanzania Yang’ara Mifumo Ya TEHAMA Inayolenga Kuleta Ustawi wa Wananchi Vijijini
Frank Mvungi- MAELEZO, MbeyaTanzania imetajwa kuwa nchi iliyofanikiwa kuwa na mifumo bora ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) inayolenga kuchochea ustawi wa maisha ya wananchi hasa...
View ArticleALIKIBA ATOA TAMBO,ASEMA HAIHOFII TIMU YA SAMATA
Na Agness Francis, Globu ya JamiiZIKIWA zimesalia siku 2 kuelekea mechi ya hisani kati ya msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya Ali Kiba na mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samata, majigambo...
View ArticleBALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA ASEMA UJENZI RELI YA KISASA UTAKAMILIKA KWA...
*Ni kutokana na uwezo mkubwa wa kampuni ya Yapi Markez inayojenga reli hiyoNa Said Mwishehe,Globu ya jamiiUBALOZI wa Uturuki nchini Tanzania umesema unaamini kazi ya ujenzi wa Reli ya kisasa unaofanywa...
View ArticleWAHARIRI WAOMBWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KATIKA SEKTA YA AFYA
Na Ripota WetuWAHARIRI wa vyombo vya habari nchini wameombwa kushirikiana na serikali katika kila jambo linalohusu sekta ya afya ili kuhakikisha jamii inapata ujumbe sahihi kuhusu sekta hiyo.Ombi hilo...
View ArticleKampuni ya Auxin ya China yaonesha nia kuwekeza kwenye kiwanda cha Baruti
Na Asteria MuhozyaWaziri wa Madini Angellah Kairuki amekutana na Wawakilishi wa Kampuni ya Auxin ya China ambao wameonesha nia ya Kujenga Kiwanda cha Baruti nchini.Ujumbe wa kampuni hiyo umemweleza...
View Article
More Pages to Explore .....