BREAKING NEWZZZZ: BASI LAGONGA TRENI KIGOMA MJINI
Habari tulizozipata Globu ya Jamii hivi punde kutoka mkoani Kigoma mapema leo asubuhi hii ya Jumatano Juni 6,2018, inaelezwa kuwa Basi la Hamida Trans lenye namba za usajili T 885 DLD lililokuwa...
View ArticleSDA YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO
JOSEPH MPANGALA -MTWARAShirika la msaada wa maendeleao ya Michezo SDA Mkoa wa Mtwara Limefanikiwa kutoa Mafunzo pamoja na Vifaa vya michezo kwa Shule Mbili za Msingi Libobe Pamoja na Sekondari...
View ArticleIGP SIRRO AFUNGA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MAAFISA WA POLISI
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima ya kijeshi wakati alipowasili katika Chuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu mkoani Morogoro, kwa ajili ya kufunga Mafunzo ya wiki...
View ArticleRAIS DK. SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI WA WILAYA YA MICHEWENI PEMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyowaandalia jana katika Viwanja vya...
View ArticleWAZIRI MKUU AWASISITIZA WABUNGE WADUMISHE MSHIKAMANO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasisitiza wabunge waendelee kudumisha mshikamano ili Tanzania iendelee kuwa nchi tulivu na yenye amani.Amesema mshikamano na upendo walionao wabunge hao ni vema...
View ArticlePOLISI TANZANIA KUANDAA MICHEZO YA MAJESHI YA POLISI KWA NCHI ZA AFRIKA...
Na Jeshi la Polisi.Michezo ya pili ya Majeshi ya Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO Games 2018) inatarajia kutimua vumbi jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 6 mpaka 12 mwaka huu katika viwanja...
View ArticleMafunzo ya Mfumo wa Uhasibu na uandaaji wa taarifa (Epicol 10.2)...
Mhasibu Mwezeshaji OR TAMISEMI, Melkizedeki Kimaro, akiwasilisha mada kuhusu mchakato wa Imprest kwakutumia mfumo wa Uhasibu na utoaji wa taarifa wa (Epicol) kwenye ukumbi wa Victoria Palace Jijini...
View ArticlePROF. MBARAWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU KAMBI YA SOGA YA UJENZI WA...
Waziri wa Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano , Profesa Makame Mbarawa ( kulia) akipatiwa maelezo ya maendeleo ya mradi wa Ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge)’SGR’ Juni 5, 2018, usiku eneo la kambi...
View ArticleKAMPUNI YA REGUS YAFUNGUA KITUO KIPYA CHA BIASHARA DAR ES SALAAM
Kampuni ya kimataifa ya Regus, ambayo inajihusisha na kupangisha ofisi za kisasa za muda na za kudumu imefungua kituo kipya cha nne cha ofisi za kupangisha jijini Dar es Salaam . Jengo jipya la ofisi...
View ArticleEcobank yafungua tawi jipya jijini Mwanza
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella (kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa tawi jipya la Ecobank katika barabara ya Kenyatta Jijini Mwanza. Kushoto ni viongozi mbalimbali wa benki hiyo.Na George...
View ArticleKUTOKA BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania, Deus Seif kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 6, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na...
View ArticleTANI 160 ZA NISHATI YA KUNI NA MKAA ZINATUMIKA KILA SIKU KAMBI ZA WAKIMBIZI...
Na Rhoda Ezekiel KigomaIMEELEZWA zaidi ya tani 160 za matumizi ya nishati ya kuni na mkaa hutumika katika kambi za wakimbizi mkoani Kigoma kwa siku moja, kwa matumizi ya kupikia.Hivyo hali ina...
View ArticleWATU 10 WAFARIKI DUNIA KIGOMA BAADA YA BASI KUGONGANA NA TRENI
*Kamanda wa Polisi Kigoma aelezea hatua kwa hatua namna ilivyotokea Na Ripota Wetu, KigomaWATU 10 wamefariki dunia na wengine 26 wamejeruhiwa baada ya basi la Hamida Trans lenye namba za usajili T 885...
View ArticleWatanzania watakiwa kuzikatia bima nyumba zao
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bima ya Resolution, AnnMary Mugo akinena jambo. Na Mwandishi WetuWATANZANIA wametakiwa kuzikatia bima nyumba zao ili wanufaike na fidia pindi nyumba hizo zikipatwa na...
View ArticleMADIWANI NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO KATIKA HALMASHAURI ZOTE ZA DODOMA...
Afisa Uchunguzi Mwandamizi Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Ofisi ya Kanda Dodoma, Bibi Jasmin Awadh akiwasilisha Mada ya Mgongano wa Maslahi kwa Waheshimiwa Madiwani naWakuu wa Idara na...
View ArticleTFS YAZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUTUMIA NISHATI MBADALA ILI KULINDA MAZINGIRA
Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiWAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania(TFS)umesema ipo haja kwa Watanzania kuhakikisha wanatumia nishati mbadala na hasa mkaa mbadala kwa lengo la kulinda mazingira na hasa...
View Article