Dk. Shein kuhudhuria hafla ya futari iliyoandaliawa na NBC
Na Agness Francis, Globu ya JamiiRAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein ameipongeza Benki ya taifa ya biashara NBC kwa kasi na juhudi za kukuza Uchumi wa Zanzibar.Akizungumza mkuu wa mkoa wa mjini...
View ArticleWALINZI WA HIFADHI WATAKIWA KUWA MAKINI NA WADILIFU KUTOKANA NA WANYAMA...
WALINZI wa wanyamapori katika maeneo yanayozunguka Pori ya Akiba la Maswa yanayopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti wametakiwa kuwa makini na waadilifu kutokana na kuongezeka kwa wanyama adimu...
View ArticleKANDEGE APONGEZA USIMAMIZI WA UJENZI WA VITUO VYA AFYA ARUSHA
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Josephat Kandege amepongeza usimamizi mzuri uliofanyika katika ukarabati na ujenziwa vituo vya afya katika Halmashauri ya...
View ArticleUmeme wa Gridi kuokoa bilioni 30 kwa mwaka Njombe, Ruvuma
Na Greyson Mwase, RuvumaWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa mara baada ya kukamilika kwa mradi mkubwa wa umeme utakaopelekea mikoa ya Njombe na Ruvuma kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa...
View ArticleWATAALAMU WA MADINI NCHINI WAJIFUNZA UZOEFU KUTOKA AUSTRALIA
Na Veronica Simba – DodomaWataalam mbalimbali kutoka sekta ya madini nchini wameshiriki warsha maalum iliyotolewa na wataalamu kutoka Australia, kwa lengo la kujifunza uzoefu kutoka nchi hiyo ambayo...
View ArticleVIDEO: MADEREVA WASIO NA LESENI MKOA WA RUVUMA KUCHUKULIWA HATUA KALI ZA...
Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani mkoa wa RUVUMA kimejipanga kikamilifu katika kuhakikisha madereva wanaoendesha vyombo vya moto vyenye miguu miwili maarufu kama bodaboda wanafuata...
View ArticleRC MGHWIRA ATOA ONYO KALI KWA WANAOHARIBU MIUNDOMBINU YA TANESCO
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bi Anna Mghwira ametoa onyo kali kwa wakazi wa mkoa huo wanao jihusisha na uhabifu wa miundombinu ya Shirka la Umeme Tanzania (Tanesco) na kusema hatua kali zitachukuliwa...
View ArticleMfumo wa usimamizi wa fedha za umma(Epicor 10.2) kuboresha usimamizi wa...
Daudi Manongi- MAELEZO, IringaMfumo wa usimamizi wa fedha za umma (Epicor 10.2) utawajengea uwezo wahasibu na maafisa usimamizi wa fedha wa mikoa ili kusimamia vyema mapato na matumizi ya fedha za umma...
View ArticleSekta ya Afya Rukwa yatakiwa kuja na mikakati ya kumaliza matatizo ya uzazi
Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Benard Makali ameitaka sekta ya afya mkoani humo kuhakikisha wanaandaa mkakati wa kupunguza kama sio kumaliza kabisa tatizo la vifo vya watoto wachanga na akinamama...
View ArticleBalozi wa Kuwait nchini aanda iftar jijini Dar
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al-Najem akiongozana na Rais Mstaafu, Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakati wakiwasili kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam kwa Iftar iliyoandaliwa na...
View ArticleMatumizi ya TEHAMA Kuboresha Huduma za Afya Katika Halmashauri
Mkuu wa Timu ya Mifumo ya Rasilimali Watu Dkt. Josephine Kimaro akisisitiza umuhimu wa matumizi ya mfumo unaotoa taarifa kuhusu uhitaji wa watumishi katika kituo cha kutolea huduma (WISIN) na Mfumo...
View ArticleMAkamu wa Rais azindua ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisisitiza jambo kwa wananchi (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ukuta wa ufukwe wa bahari uliojengwa kando ya barabara ya...
View ArticleBODI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI YAJIONEA JUHUDI ZA KUDHIBITI...
BODI ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Meja Jenerali Mstaafu Hamis Semfuko imefanya ziara ya kujionea shughuli za uhifadhi na juhudi za kudhibiti wa vitendo...
View ArticleMAPACHA WALIOUNGANA MARIA NA CONCOSALATA KUZIKWA KATIKA KABURI MOJA
*Tayari maandalizi ya jeneza la kipekee na kaburi kubwa yakamilika, kaburi lao kuzungukwa na makaburi ya mapadre, masista Na Ripota Wetu,IringaTayari Maandalizi ya kuipumzisha Miili ya mapachaa hao...
View ArticleKIGWANGALLA AAGIZA MSAKO MKALI KWA WALIOUA SIMBA TISA SERENGETI
Na Hamza Temba-DodomaWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameagiza Kikosi Kazi Dhidi ya Ujangili cha Taifa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Serengeti kuwasaka...
View ArticleUONGOZI SHULE YA ST FLORENCE WAMZUNGUMZIA MWALIMU ANAYETUHUMIWA KWA...
Na Ripota Wetu, Globu ya JamiiUONGOZI wa Shule ya St Florence Academy ya jijini Dar es Salaam umesema umesikitishwa na habari za mmoja wa walimu wake kutuhumiwa kuwadhalilisha wanafunzi wa kike...
View ArticleMATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge Bungeni jijini Dodoma, Juni 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na...
View ArticleHalotel yazindua laini mpya za watu mashuhuri (VIP).
-Ni laini zenye gharama nafuu Zaidi, hazihitaji kujiunga kifurushiKampuni ya mawasiliano ya simu ya Halotel, kwa mara ya kwanza imezindua laini mpya za watu mashuhuri zilizopewa jina la VIP zitakazo...
View ArticleAAR YAPANDA MITI SHULENI KUSAIDIA UTUNZAJI BORA WA MAZINGIRA
Kampuni ya bima ya afya nchini ya AAR imepanda miti katika Shule ya Msingi ya Ushindi iliyoko eneo la Mikocheni jijini Dar es Salaam, ikiwa ni hatua ya kuunga mkono kwa vitendo utunzaji wa...
View Article