MAMA YAKE MZAZI HUSSEIN BASHE AZIKWA WILAYANI NZEGA LEO
Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla akimfariji mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe kufuatia kifo cha mama yake mzazi aliyezikwa leo wilayani...
View ArticleMAVUNDE AWAOMBA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KUMUOMBEA RAIS MAGUFULI NA...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Peter Mavunde amewaomba waamini wa Dini ya kiislamu kuliombea Taifa,Rais Dk.John Magufuli na Viongozi wote wa Serikali ya awamu ya Tano ili waweze kutimiza...
View ArticleHABIB HAJI KYOMBO RASMI ASAINI KANDARASI YA MIAKA MITATU SINGIDA UNITED.
Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii Aliyekuwa Mshambuliaji wa timu ya Mbao FC msimu uliopita, Habib Kyombo leo amesaini mkataba wa miaka mitatu na Singida United.Kyombo ambaye ameitumikia Mbao FC kwa...
View ArticleRAIS MAGUFULI KUZINDUA PROGRAMU YA KUENDELEZA SEKTA YA KILIMO AWAMU YA PILI...
Na Mathias Canal-WK, Dar es salaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa programu ya kuendeleza sekta ya kilimo...
View ArticleWAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUUNDA VYAMA VYA USHIRIKA
Angela Msimbira OR-TAMISEMINaibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Joseph Kandege amewaagiza wafugaji nchini kuunda vyama vya ushirika imara ambavyo vitawezesha kupata...
View ArticleMTIBWA SUGAR MABINGWA ASFC, WAIPIGA SINGIDA UTD 3-2.
Wakata miwa wa Morogoro Mtibwa Sugar wamefanikiwa kunyakua ubingwa wa mashindano ya Azam Sports Federation Cup 2018 baada ya kuifunga Singida United.Mtibwa imewachukua miaka 18 kunyakua ubingwa baada...
View ArticlePRECISION AIR YANG’ARA MAONESHO YA KARIBU KILI FAIR MOSHI
Waziri wa Mali Asili na Utalii Mh.Dkt.Hamisi Kigangwala akipokea maelezo kutoka kwa Meneja Masoko na Mawasiliano wa Precision Air Bw.Hillary Mremi , alipotembelea banda la Precision Air katika...
View ArticleBalozi Wilson M. Masilingi atembelea Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing,...
Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi akiwa na Bw. Kevin G. McAllister, Rais na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing, Seattle, Jimbo la Washington, Marekani. Kampuni hiyo ya kutengeneza...
View ArticleOPERESHENI YA POLISI YANASA WATU 35, SILAHA 5 MIKOA YA KUSINI.
Na Jeshi la Polisi.Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kukamata Silaha mbalimbali na watuhumiwa 35 katika Oparesheni Maalum inayoendelea katika Ukanda wa mikoa ya Kusini unaojumuisha mikoa ya Lindi,...
View ArticleKAMATI MAALUM ZA BUNGE ZA KIUCHUNGUZI KUHUSU SEKTA ZA UVUVI WA BAHARI KUU NA...
Spika wa Bunge (Mb), Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa hafla ya uwasilishwaji na kukabidhi taarifa za Kamati Maalum alizounda kuchunguza na kushauri kuhusu sekta za Uvuvi wa Bahari Kuu na Gesi...
View ArticleNEWZ ALERT: WATOTO MAPACHA WALIOUNGANA WAFARIKI DUNIA MJINI IRINGA
Pichani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, alipokwenda kuwajulia hali watoto hao wawili Mapacha walioungana Maria na Consolata ambao walikuwa wamelazwa katika hospitali...
View ArticleHESHIMA ZA MWISHO KWA JOSIAH CHACHA ZILIZOKUWA ZIFANYIKE LEO JUMAMOSI SASA...
Familia ya marehemu Josiah Chacha inaendelea kufarijika na kuwashukuru wote kwa Sala, simu rambirambi za kifedha ambazo imekuwa ikizipokea. MUNGU na aendelee kuwabariki wote.Kutokana na ughafla wa...
View ArticleMISSY TEMEKE NA MUMEWE WAFUTARISHA HILTON HOTEL, ROCKVILLE, MARYALAND, MAREKANI
Missy T (kati) akiwa na Loveness Mamuya (kushoto) na Shamis siku ya Ijumaa June 1, 2018 katika hotel ya Hilton iliyopo Rockville, Maryland siku Missy Temeke na mumewe Mohamed Matope walipofutarisha....
View ArticleTANZIA: RAIS DKT. MAGUFULI AOMBOLEZA VIFO VYA MABINTI MAPACHA WALIOUNGANA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia, Masista wa Maria Consolata na wote walioguswa na vifo vya mabinti mapacha...
View ArticleWAZIRI JAFFO ATOA NENO KWA UONGOZI WA BENKI YA PBZ, AWATAKA KUJITANUA ZAIDI
Na Said Mwishehe,Blogu ya jamiiWAZIRI wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jaffo ameishauri Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ),kuhakikisha wanafungua matawi mengi zaidi Tanzania...
View ArticleCHANGAMOTO YA UKOSEFU WA SOKO WAKWAMISHA MAPATO WILAYA YA BUHIGWE
Na Rhoda Ezekiel Kigoma,CHANGAMOTO ya ukosefu wa soko Katika Kijiji cha Manyovu Kata ya Munanila wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, imekuwa kero ya muda mrefu ambayo imesababisha wafanyabiashara wengi wa...
View Article
More Pages to Explore .....