Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109604 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO TISA WENYE MATATIZO YA MOYO KWENDA KUTIBIWA NCHINI ISRAEL

Watoto tisa wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wanaondoka leo tarehe 28/5/2018 kwenda nchini Israel kwa ajili ya matibabu ya moyo. Katika safari yao ya matibabu nchini humo watoto wataambata na...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY AMWAGA FUTARI KWA TAASISI 10 ZA KIDINI NA MAGEREZA JIJINI TANGA

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kupitia Taasisi yake ya Odo Ummy Foundation leo amegawa futari kwa taasisi za kiislamu na magereza zilizopo Jijini Tanga vyakula...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NINI UFANYE UNAPOCHELEWESHWA NA MAAFISA WA MAHAKAMA KUPATA NAKALA YA HUKUMU.

Na Bashir Yakub.Nakala ya hukumu ya mahakama huhitajika pale kesi au shauri linapokuwa limefika mwisho. Kwa lugha nyingine maamuzi ya mahakama ndiyo hukumu ya mahakama. Hapa ndipo tunapojua nani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF TANGA YAHAMASISHA WAFANYABIASHARA KUJIUNGA NA MPANGO WA BIMA YA AFYA

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Tanga (NHIF) umesema watatumia maonyesho ya kimataifa ya biashara yanayoendelea Jijini Tanga kuwahamasisha wafanyabiashara kujiunga nao ili waweze kunifaika na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yaandaa utaratibu wa Kuwatambua Wazee nchini

Na. Atley Kuni na Mathew Kwembe, OR TAMISEMIWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewaagiza Wakuu wa Mikoa kusimamia zoezi la kuwatambua wazee wote...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

30 Kufanyiwa Upasuaji wa Mtoto wa Jicho Muhimbili

Hospitali ya Taifa Mhimbili (MNH) leo tarehe 28-05-2018 imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 200 vitakavyotumika kuhudumia wagonjwa wenye matatizo ya macho.Msaada huo ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NBS Kukusanya Takwimu Kwa Njia ya Satelaiti na Vishikwambi

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO, DodomaOfisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imeanzisha mfumo wa ukusanyaji wa taarifa kwa kutumia teknolojia mpya na ya kisasa ya kielektroniki kwa njia ya satelaiti  na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC DKT. KEBWE ATAKA WANAFUNZI WOTE WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI KUPATIWA...

Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG-Gairo. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe ameuagiza uongozi wa wilaya ya Gairo na mkoa wetu kwa ujumla kuhakikisha wanafunzi wa shule msingi mpaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA MSAIDIZI WA ARDHI KANDA YA MAGHARIBI AKUTANA NA WATENDAJI WA KATA...

Na Munir Shemwea, TaboraKamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Magharibi Idrisa Keyera amesema manispaa ya Tabora pekee inadai zaidi ya shilingi bilioni sita kwa wamiliki wa ardhi na mashamba mkoani humo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jamii yatambua umuhimu wa mwanamke kumiliki Ardhi

Jamii kwa sasa imeanza kutambua na kuthamini haki za mwanamke kwenye masuala ya umiliki wa ardhi na hivyo kumpa nafasi zaidi kisheria kupata, kumiliki, kutumia na kugawa ardhi kama ambavyo imekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wataalamu toka Halmashauri sita wapatiwa mafunzo ya mfumo rahisi wa upimaji...

Wataalamu 16 toka Halmashauri za Wilaya ya Morogoro, Mvomero, Bahi, Kongwa, Kilolo na Mufindi walio chini ya Idara ya Ardhi, maliasili na mazingira wamejengewa uwezo juu ya utumiaji wa mfumo mpya na...

View Article

MICHUZI TV: Benki ya CRDB yapunguza riba hadi 16% na kuongeza muda wa kulipa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIJANA WA MALI ALIYEMWOKOA MTOTO AKUTANA NA RAIS WA UFARANSA, APATA DONGE NONO

 Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamiiKIJANA raia wa nchini Mali, Mamoudou Gassam (22) ambaye Jumamosi iliyopita amefanya kitendo cha kishujaa cha kumuokoa mtoto mdogo aliyetaka kudondoka kutoka jengo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS NA MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGONZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA...

  Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu wakishangilia baada ya kuwaita  Ndg. Mizengo Pinda na Ndg. Makongoro Nyerere waingie ukumbini baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZ: CCM YARIDHIA KINANA KUSTAAFU U-KATIBU MKUU WA CHAMA HICHO LEO

*Asema anatambua juhudi zake na mchango wake, pia ametambua umri wake*Kinana ashukuru kukubaliwa na Rais, aeleza Mangulla alivyojitoa mhangaugumu wanaupataNa Said Mwishehe,Globu ya JamiiMWENYEKITI wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISA UTUMISHI TRA AIELEZEA MAHAKAMA KUWA MALI ALIZOJAZA MSHTAKIWA NI ZA...

Na Karama Kenyunko, Blogu ya JamiiOFISA Utumishi Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Evans Emil (53) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mali ambazo alijaza mshtakiwa Jenifa Mushi...

View Article

VIDEO: HUU NDIO MSINGI NA WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA TAIFA - DKT ABBASI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPA TANGA YAJIVUNIA KASI YA UTOAJI HUDUMA

MENEJA wa Bandari ya Tanga (TPA) Percival Salama amesema wanajivunia kuboreshwa huduma zao kwa kiwango kikubwa ikiwemo uandaaji wa nyaraka kwa kasi na usalama wa kutosha kwa wateja na hivyo kutumia...

View Article

DKT ABBASI: HUU NDIO MSINGI NA WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA TAIFA.

View Article

MOJA YA HOTUBA YA ALIYEKUWA KATIBU MKUU WA CCM KATIKA MKUTANO WA HADHARA...

View Article
Browsing all 109604 articles
Browse latest View live




Latest Images