Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ligi Kuu ya Vodacom msimu 2017/2018 kufikia tamati Jumatatu Mei 28, 2018

Ligi Kuu ya Vodacom msimu 2017/2018 inafikia tamati Jumatatu Mei 28, 2018 kwa timu zote 16 kuingia viwanjani kukamilisha raundi ya 30, ambayo ndiyo itakayokamilisha jumla ya mechi 240 za msimu...

View Article



VOA Swahili: Zulia Jekundu S1 Ep 174

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA POLAND NCHINI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA JENERALI WA...

 Balozi wa Poland hapa nchini, Mhe. Krzysztof Buzalski akilakiwa na wenyeji wake alipo wasili Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam yaliyopo wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ASHIRIKI UJENZI WA UWANJA MPYA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameshiriki kazi za ujenzi wa uwanja mpya wa michezo wilayani Ruangwa kwa kubeba zege na matofali pamoja na wananchi.Waziri Mkuu ambaye pia ni mbunge wa Ruangwa, ameshiriki...

View Article

RUDI NYUMBANI, KUMENOGA - TTCL

View Article


KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO NI LEO LIVERPOOL VS REAL MADRID JIJINI KIEV

Na Sultani KipingoVilabu viwili vya soka vikubwa barani Ulaya leo vinaingia uwanja wa Olimpiysky Stadium jijini Kiev huku Real Madrid wakipania kunyakua kombe la UEFA Champions kwa mara ya 13 - kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na...

Mkutano wa Kisekta wa Baraza la Mawaziri wa Biashara,Viwanda, Fedha na Uwekezaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaendelea kufanyika jijini Arusha. Mkutano huu unafanyika kwa kipindi cha siku saba (7)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanri awatangazia kiama wale wanaoshiriki kula ubwabwa na kusherekea ndoa za...

NA TIGANYA VINCENTMKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametanga kiama kwa watu wote wanaoshiriki kuwaoza watoto wadogo wakiwemo wa Shule kwa kuwakata na kuwafikisha Mahakamani ili waweze...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA...

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AFUNGUA MKUTANO WADAU WA WCF KANDA YA NYANDA ZA JUU...

NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, MbeyaSERIKALI ilianzisha Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa wafanyakazi wanapata mafao bora na stahiki ya fidia tofauti na sheria ya zamani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUSIMAMIA IPASWAVYO SAFARI ZA MAHUJAJI - WAZIRI MAHIGA

Waziri ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Augustine Mahiga amesema Wizara hiyo itasimamia ipasavyo na kuhakikisha kwamba nia ya Mahujaji wa Tanzania waliojiandikisha kwenda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makatibu Tawala wa Mikoa Waagizwa Takwimu za Wazee ifikapo 30 Juni, 2018

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jafo, akizungumza wakati wa Hafla ya kuwapatia Vitambulisho Wazee wa Jiji la Dodoma.Na. Atley Kuni-OR TAMISEMIWaziri wa Nchi...

View Article


Introducing "SUPU YA MJUSI" BY FATHER B FT. DJ TIFFA XR

View Article

INTRODUCING "JIBEBE" BY FRIDA AMANI FT. G. BOY

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC KAKONKO APIGA MARUFUKU UNYWAJI POMBE ZA KIENYEJI ASUBUHI,ATOA MAAGIZO KWA...

Na Rhoda Ezekiel Kigoma ,MKUU wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Kanali Hosea Ndagala ameagiza kukamatwa watu wote wanajihusisha na unywaji wa pombe za kienyeji nyakati za kazi huku akifafanua ulevi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA KUWAIT AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA WILAYA YA KIGAMBONI NA...

Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa  Ijumaa 25 Mei 2018, yaliyojikita juu ya namna ya kuimarisha uhusiano kati ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIDA YAPONGEZWA KWA UTENDAJI KAZI UNAOENDANA NA KASI YA SERIKALI YA AWAMU YA...

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe Alexander Mnyeti amepongeza kazi kubwa inayofanywa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) na kusifu jitihada kubwa za Kaimu mkurugenzi Mkuu NIDA ndugu Andrew W. Massawe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA KAKONKO WAHIMIZWA KULIMA KILIMO CHA BIASHARA

Na Rhoda Ezekiel Kigoma, WAKULIMA wilayani Kakonko mkoani Kigoma, wametakiwa kulima kilimo cha biashara na kuachana na kilimo cha kujikimu wenyewe ili kuweza kuondokana na umasikini.Mwito huo ulitolewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC KIGOMA AWAPONGEZA VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO YA JKT KATIKA KIKOSI CHA KJ...

Na Rhoda Ezekiel Kigoma, MKUU wa Kikosi cha KJ 824 Kanembwa wilayani Kakonko Mkoa wa Kigoma Luteni Kanali Amosi Mollo amewapongeza vijana wa oparesheni Melelani walio hitimu mafunzo ya awali ya Jeshi...

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images