Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJASIRIAMALI WA ILALA WAOMBA KUKOPESHWA VITENDEA KAZI NA DCB

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya DCB Godfrey Ndalahwa(kulia) katika banda la benki hiyo wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya siku mbili ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maelfu ya Wateja wa Tigo waendelea kujishindia Simu Janja katika Promosheni...

Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi simu janja aina ya TECNO R6 4G kwa Gladys Mtandila kutoka Makumbusho, Dar es Salaam aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 1,080...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DONGOBESH FC YAICHAPA STAND FC YA HAYDOM GOLI 1-0 NA KUTINGA NUSU FAINALI...

 Mchezaji wa timu ya Dongobesh FC Antipas Vicent akiwa amebebwa juu juu na mchezaji mwenzake mara baada ya kumalizika kwa mchezo katika yake na timu ya Stand FC ya Mjini Haydom ambapo mchezaji huyo...

View Article

Introducing "TORNADO" by Papa Dennic Ft. Ray C

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya DENNIS MWANGI aka PAPA DENNIS aliyepo chini ya record label ya MALIZA UMASIKINI katoa wimbo wake mpya alioufanya na mwanadada REHEMA CHALAMILA maarufu kama Ray C...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI YA UPATIKANAJI WA DAWA MKOANI MBEYA NI ASILIMIA 91.5

Baadhi ya wafanyakazi wa MSD Kanda ya Mbeya wakionesha ishara ya mshikamano baada ya kuandaa mzigo wa dawa kwa ajili ya kwenda kuzisambaza kwenye vituo vya afya mkoani Mbeya.Na Dotto Mwaibale,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO ATOA SIKU TANO KWA HALMASHAURI 10 KUJIELEZA KUHUSU MATUMIZI YA FEDHA ZA...

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo akifungua kikao kazi juu ya utekelezaji wa miradi ya afya inayotekelezwa chini ya Mamlaka za Tawala za...

View Article

MICHUZI TV: MAMA JANETH MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA KUONDOKANA NA DHANA POTOFU

View Article

SARE YA YANGA SC DHIDI YA RAYON SPORTS, KOMBE LA SHIRIKISHO HATUA YA MAKUNDI.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRDB BANK WALIVYOSHIRIKI NA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONESHO YA WAJASIRIAMALI WA...

Ofisa Mikopo wa CRDB Bank, Josephat Shimo (kulia), akimpatia maelezo mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonesho ya wajasiriamali wa Ilala, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kushoto), wakati...

View Article


VIONGOZI WASTAAFU WAJADILI AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA JIJINI DAR ES SALAAM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI YATEMBELEA MRADI WA...

 Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, akizungumza na Wananchi wa kata ya Kilungule mara alipofanya ziara na Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi na Maliasili kujionea namna mradi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC LUSHOTO AWATAKA MADIWANI KUKAGUA MIRADI INAYOTEKELEZWA KWENYE MAENEO YAO

MKUU wa wilaya ya Lushoto mkoani Tanga January Lugangika amewataka madiwani wa halmshauri ya Bumbuli kuhakikisha wanashiriki katika kukagua miradi inayotekelezwa kwenye maeneo mbalimbali ili kuiepusha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIC YATOA MSAADA WA MIFUKO YA SARUJI KISARAWE KWA AJILI YA MIRADI YA AFYA NA...

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Bima la Taifa la Tanzania(NIC) Sam Kamanga akimkabidhi mifuko ya saruji kwa Mwenyekiti wa halmashauri ya Kisarawe,Hamis Dikupatile baada ya mbunge wa viti maalum...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI NA MALIASILI WATEMBELEA MRADI WA...

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akionyesha Faili lenye viambatanisho vya hati moja katika chumba cha  kubadilisha hati za kawaida kwenda Dijitali kinachosimamiwa na mradi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENDAJI WAKUU NA WAJUMBE WA BODI WAPIGWA MSASA NA OFISI YA MSAJILI HAZINA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Amina Shabani akizungumza na watendaji wakuu na wajumbe wa bodi katika mafunzo ya siku moja kuhusu uwajibikaji na utendaji katika taasisi na mashirika ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILELE CHA MAADHIMISHO YA JUMA LA ELIMU KITAIFA WILAYANI MKALAMA, MKOA WA...

Kampeni ya Juma ya Elimu Duniani huadhimishwa duniani kote kati ya mwezi wa nne na wa tano. Nchini Tanzania Maadhimisho haya huratibiwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) Ikishirikiana na wadau...

View Article

MICHUZI TV: CHINA YAIPIGAJEKI TANZANIA SHILINGI BILIONI 146

i

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU WA 23 WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA, WANAHISA...

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akizungumza wakati akitoa taarifa ya Benki kwa Wanahisa wa Benki hiyo, katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, unaofanyika kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAKANUSHA KUONGEZEKA KWA DENI LA TAIFA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: CHINA YAIPIGA JEKI TANZANIA YA BILIONI 146.47 KWA UJENZI WA CHUO...

Na Benny Mwaipaja, WFM-Dar es SalaamSerikali ya Tanzania imetiliana saini na Serikali ya China mkataba wa msaada wa kiasi cha Shilingi Bilioni 146.47. Mkataba huo umesainiwa na Katibu Mkuu Wizara ya...

View Article
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live




Latest Images