WAZIRI MKUU ANATARAJIWA MGENI RASMI KATIKA MASHINDANO YA KUHIFADHI KORAAN
Na Said Mwishehe,Blogu ya jamiiiWAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya Afrika Mashariki ya kuhifadhi Koraan yanayotarajia kufanyika Uwanja wa Sabasaba jijini Dar...
View ArticleHalotel yazindua duka jipya na la kisasa kwa wateja wao Mikocheni Shoppers...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Halotel Mhina Semwenda, akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa Duka jipya na la kisasa la Halotel lililoko Kinondoni, Shoppers Plaza – Mikocheni,...
View ArticleMAOFISA KILIMO WOTE KIGOMA WATAKIWA KUHAMIA VIJIJINI KUWASAIDIA WAKULIMA
Na Rhoda Ezekiel Kigoma,WAKULIMA wa zao la pamba wilayani Kakonko mkoani Kigoma wametakiwa kuwaepuka wanunuzi ambao hawatambuliki kisheria ili kuepukana na usumbufu wakati wa kuuza pamba zao huku Mkuu...
View ArticleSethi apinga kuenguliwa IPTL,akanusha taarifa zinazosambazwa mtandaoni
Mkurugenzi na Mmilikiwa kampuni ya PAP/IPTL ,Harbinder Sing Sethi amekanusha taarifa zinazosambzwa mitandao kuwa amefutwa kuwa Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo.Hayo yameelezwa jana na...
View ArticleMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AZINDUA KAMATI YA MAAFA YA MKOA
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini . serikali mkoani Kilimanjaro imezindua kamati ya Maafa ya mkoa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Sheria namba 7 ya mwaka 2015 kwa lengo la...
View ArticleKATIBU MKUU SIHABA NKINGA AKUTANA NA KIKUNDI CHA KITAIFA CHA MASUALA YA...
Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sihaba Nkinga akizungumza katika kikao baina yake na kikundi cha uingizaji wa masuala ya jinsia katika Sera, Mipango, Mikakati, Programu na...
View ArticleLAAC YA UGANDA ZIARANI DODOMA, YAFURAHIA MJI WA SERIKALI
Na Ramadhani JumaWAJUMBE wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa ya Bunge la Uganda wameishukuru Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kwa kuipatia Serikali ya Nchi hiyo kiwanja chenye ukubwa wa...
View ArticleBalozi Seif akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya...
Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Uhandisi wa Ujenzi ya Nchini China ya Civil Engineering Construction Corporation 'CCECC' Bw. Zhuang Shangbiao alisema hatua iliyochukua Serikali ya Mapinduzi ya...
View ArticleUSHAHIDI KESI MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA INAYOMKABILI TIDO MHANDO...
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamiiUSHAHIDI dhidi ya kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Tido Mhando utaendelea...
View ArticleMAMA JANETH MAGUFULI ATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAFUNGWA WANAWAKE NA WATOTO...
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiongea kabla ya kukabidhi vyakula kwa ajili ya wafungwa wanawake na watoto waliko katika gereza la Segerea jijini Dar es salaam katika haflka fupi iliyofanyika...
View ArticleBENKI YA CRDB YAENDESHA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAHISA WAKE, JIJINI ARUSHA LEO
Benki ya CRDB leo imeendesha semina ya siku moja kwa Wanahisa wake, ili kuwajengea uwezo katika maswala ya Usimamizi wa Uwekezaji katika Hisa, Usimamizi wa Miradhi pamoja na Mabadiliko ya Sekta ya...
View ArticleHospitali ya Dodoma yapewa miezi 8 kujenga mtambo wa kuteketeza taka
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Kangi Lugola ameanza ziara ya kikazi ya siku saba katika Jiji la Dodoma kwa lengo la kukagua utekelezaji na uzingatiaji wa Sheria ya...
View ArticleAQRB YATAKIWA KUJITANGAZA - MAJALIWA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amezungumzia juu ya umuhimu wa Wasanifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), kutangaza huduma wanazotoa za ujenzi ili kuwawezesha...
View ArticleUbalozi Kuwait wakabidhi kisima cha maji nambari 63 katika Chuo cha Ufundi...
Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem hivi karibuni alizindua kisima cha maji safi na salama nambari 63 katika Chuo cha Ufundi cha Yombo kwa wanafunzi walemavu kilichopo Jijini Dar es...
View ArticleWASHINDI WA TIGO NYAKA NYAKA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi simu janja aina ya TECNO R6 4G kwa Gladys Mtandila kutoka Makumbusho, Dar es Salaam aliyeibuka kama mojawapo ya washindi 1,080...
View ArticleSERIKALI YAMALIZA MGOGORO MPAKA KATI YA MANYARA NA TANGA
Na Hassan Mabuye, Wizara ya ArdhiSerikali yamaliza mgogoro wa mpaka kati ya mkoa wa Manyara na Tanga katika wilaya za Kiteto na Kilindi uliodumu kwa zaidi ya miaka 20.Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi,...
View ArticleSerikali Yaandaa Mwongozo wa Kitaifa wa Mafunzo kwa vitendo kwa Wahitimu wa Vyuo
Na Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.Serikali imeandaa mwongozo wa Kitaifa wa mafunzo kwa vitendo kwa wahitimu wa vyuo ili kuondoa pengo la ujuzi linalohitajika katika soko la ajira hapa nchini.Hayo...
View ArticleBALOZI JUMA MWAPACHU ASHAURI MABADILIKO SEKTA YA ELIMU NCHINI
Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMWANADIPLOMASIA wa siku nyingi nchini, Balozi Juma Mwapachu ameshauri mfumo wa elimu uliopo nchini ufanyiwe mabadiliko ikiwemo kuongeza vyuo vya ufundishaji walimu kwa...
View Article
More Pages to Explore .....