Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110144 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA WA BUNGE AFANYA MAZUNGUMZO NA WABUNGE WA IRELAND LEO JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Mhe. Paul Sherlock (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA YATAMBUA UMUHIMU WA MAMALAKA MAABARA YA SERIKALI YA MKEMIA...

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMGANGA  Mkuu wa  Serikali  Profesa  Mohamed Kambi amesema Wizara ya Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto inatambua umuhimu wa Mamlaka ya Maabara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPORTPESA WAINDUA SUPER CUP AWAMU YA PILI,SIMBA,YANGA SINGIDA NA JKU...

Awamu ya pili na mashindano yanayohusisha timu bora za Afrika Mashariki-SportPesa Super Cup yanatarajiwa kuanza Juni 3-10, 2018 nchini Kenya kwenye uwanja wa Kimataifa wa Moi uliopo Kasarani.Timu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEWAHI KUWA MBUNGE WA MONDULI KUZIKWA KESHO MJINI LONGIDO MKOANI ARUSHA

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Monduli na Mkuu wa wilaya Mstaafu, Luteni Mstaafu Lepilal Ole Molloimet aliyefariki Dunia Jumapili iliyopita,anatarajiwa kuzikwa kesho Ijumaa mjini Longido.Kwa mujibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REMA 1000 FC YAIBUKA KINARA,YAIFUMUA LAMBO FC MABAO 5-3

Kurugenzi CUP ’18 yazidi kutimua vumbi katika dimba la shule ya msingiHaydom Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, kwa timu ya Rema 1000 FC kwakuigaragaza pasipo huruma timu ya Lambo FC kwa mabao 5-3.Katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA AFYA

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara wameipongeza Serikali  ya awamu ya Tano kwa kuhakikisha miundombinu ya afya inaboreshwa na kupunguza malalamiko ya kukosekana kwa huduma ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUTENGA KILA MWEZI MILIONI 55 KWA JIJI LA TANGA KUHAKIKISHA...

WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu amesema serikali kila mwezi imekuwa ikitenga fedha kiasi cha sh.milioni 55 kwenye Jiji la Tanga kwa ajili ya shule za msingi ili...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 17.05.2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mashindano ya CDF Cup mzunguko wa Tano 2018 yafikia kileleni

Mzunguko wa Tano wa Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi “CDF Cup 2018” yanatarajiwa kufungwa rasmi leo tarehe 18 Mei, 2018 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kwa kuzikutanisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Mwakyembe awataka Vijana kuiga mfano wa mwanamitindo wa kimataifa...

Na Loretha Laurence-WHUSM,DodomaWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amempongeza mwanamitindo wa kimataifa Bibi. Flaviana Matata kwa juhudi za kusaidia watoto wa kike...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali (PAC) ya Bunge la Ireland...

 Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali (PAC) kutoka Bunge la Ireland wakutana na kuzungumza na Mtandao wa Wabunge wanawake wa Bunge la Tanzania (TWPG) leo katika Ukumbi wa Bunge...

View Article

VOA Swahili: Duniani Leo Mei 17, 2018

View Article

HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA KUTOKA NEW YORK LEO MEI 18, 2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapacha walioungana Waruhusiwa Kutoka hospitali, Waishukuru Muhimbili

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imewaruhusu mapacha walioungana Maria na Consolata waliokuwa wamelezwa katika hispotali hiyo kwa zaidi ya miezi miwili kutokana na afya zao kuimarika. Pacha hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Kimataifa ya Serikali ya Uingereza...

 Koplo Chesco Mbise akimwongoza mbwa anayeitwa Max-Z kuondoka mara baada ya zoezi la kuonesha namna anavyokamata dawa za kulevyia katika mizigo ya abiria kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Ufunuo wa Matumaini unaendelea katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini...

Na Imani Hezron, AdventistMkutano wa Ufunuo wa Matumaini unaendelea katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza ambapo mafundisho ya Afya, Kaya, Familia na neno la Mungu yanafundishwa. Muhubiri Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Dkt. Abdallah Saleh Possi awasilisha hati za utambulisho kwa Baba...

Balozi wa Tanzania Dkt. Abdallah Saleh Possi, amewasilisha hati za utambulisho kwa Baba Mtakatifu Papa Francis, Vatican tarehe 17 Mei 2018. Pamoja na Ujerumani, Ubalozi wa Tanzania uliopo Berlin pia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAZI WA NEWALA,SHAKILA AMRI ASHINDA MILIONI 140 SIKU YA MAMA DUNIANIA.

Mchezo wa namba unaongoza nchini Tanzania wa Tatu Mzuka mapema jana umemtangaza na kumtambulisha mbele ya vyombo vya habari mama aliyejinyakulia kitita cha milioni 140 na wakati huo ‘kumbusti’ mama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZANIA BANK KUWASAIDIA WANAWAKE KATIKA MAPINDUZI YA UCHUMI WA VIWANDA

BENKI ya Azania imesema imedhamiria kuwasaidia wanawake katika kipindi hiki cha mapinduzi ya uchumi wa viwanda kwa kuwapatia mikopo mikubwa, ya kati na midogo kwa riba naafuu.Akizungumza jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 129 AMBAO SI RAIA WA TANZANIA WASHIKILIWA KIGOMA KWA KUINGILIA MCHAKATO...

Na Rhoda Ezekiel Kigoma, JUMLA ya watu 129 wanaodhaniwa Kuwa ni wahamiaji wasio rasmi  wamekamatwa wilayani Kasulu mkoani Kigoma, wakiwa wamejitokeza katika mchakato wa uandikishwaji wa Vitambulisho...

View Article
Browsing all 110144 articles
Browse latest View live




Latest Images