Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110078 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI KIDATA AMUAGA MAKAMU WA RAIS LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada, Balozi Alphayo Kidata, ofisini kwake Ikulu jijini...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI YA TANZANITE ONE YAKUBALI KUILIPA SERIKALI FIDIA...

 Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akitia saini pamoja na Mkurugenzi wa Tanzanite One Faisal Juma mara baada ya kufikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJENZI WA KIVUKO KIPYA CHA MV. MWANZA KUKAMILIKA MWEZI JUNI

Na. Theresia Mwami - TEMESASerikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), imeahidi kukamilika kwa ujenzi kivuko kipya cha Kigongo Busisi (MV. MWANZA) unaofanywa kampuni ya kizalendo ya Songoro...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAKAMATA BIDHAA MBALIMBALI KUPITIA NJIA ZA MAGENDO ZIKIWA NA THAMANI YA...

Na Veronica Kazimoto,ArushaMamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imekamata malori mawili yenye bidhaa mbalimbali eneo la Loliondo Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kupitia njia ya magendo yakitokea nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI ZA UKANDARASI ZAIDI YA 70 WAJITOLEA KUJENGA MITARO YA BARABARA JIJINI...

Na Ripota Wetu,Globu ya jamiiKAMPUNI za ukandarasi zaidi ya 70 zimeamua kujitolea kujenga mitaro ya barabara mbalimbali katika Jiji la Dar es Salaam bure kama sehemu ya kuunga mkono jitihada za Mkuu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA VIWANDA , BIASHARA NA UWEKEZAJI, KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA...

Na Ripota Wetu, UjerumaniMKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) Geoffrey Mwambe ameongoza msafara wa Tanzania kwenda Ujerumani kushiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII DIAMOND AZINDUA WIMBO WA COLOURS KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA 2018...

MSANII wa Bongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewapagawisha vilivyo mashabiki wake wakati akiimba wimbo maalum utakaosherehesha Kombe la Dunia 2018 wimbo uitwao Colours nyimbo aliyoshirikiana...

View Article

HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA LEO MEI 16, 2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC KASESELA ATOA SIKU 7 KWA WADAIWA SUGU WA MIKOPO YA SIDO WILAYANI IRINGA

MKUU wa wilaya ya Iringa mkoani Iringa Richard Kasesela ametoa siku saba kujisalimisha kwa wadaiwa sugu vikuwemo vikundi viwili vya vya Mungu ametenda ambavyo kwa pamoja vinadaiwa mkopo wenye thamani...

View Article


FC Barcelona yatua Afrika ya Kusini kucheza na Mamelodi Sundowns FC...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAENDELEA KUSHIKA MKIA KUNDI "D" CAF, YATOKA SARE NA RAYON

 Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika Yanga wameshindwa kuondoka na ushindi dhidi ya Rayon ya Rwanda baada ya kulazimishwa suluhu ya...

View Article

RAIS MAGUFULI ANATARAJIWA KUNOGESHA UBINGWA WA SIMBA SC UWANJA WA TAIFA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN ATOA RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi wa zanzibar na Tanzania kwa ujumla katika ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAMADHAN KAREEM: TUNAWATAKIA WAISLAM WOTE MFUNGO MWEMA WA MWEZI MTUKUFU WA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHIKA NAFASI YA PILI KOMBE LA DUNIA LA WATOTO NCHINI URUSI

Mashindano ya Kombe la dunia la watoto wa mitaani chini ya shirika la Steet Child United na udhaamini wa makampuni na taasisi tofauti, zaidi kampuni ya mawasiliano ya simu ya nchini Urusi, Megafon...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania Watakiwa Kutumia Matokeo ya Sensa Zinazofanyika Hapa Nchini...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akisisitiza umuhimu wa kutumia takwimu na Tafiti mbalimbali katika kuchochea maendeleo na kufanya maamuzi mbalimbali kabla ya kuzindua matokeo ya utafiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HDIF KUANZA WIKI YA UBUNIFU MEI 21 KATIKA KUMBI ZA COSTECH

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dk. Amos Nungu akizungumza juu ya wiki ya Ubunifu kwa vijana iliyoandaliwa na Tasisi ya HDIF kwa kushirikiana na UKaid Mwakilishi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MICHUANO YA KURUGENZI CUP YAENDELEA KURINDIMA MJINI HAYDOM MKOANI MANYARA

Michuano ya Kurugenzi Cup 2018 iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Kamoga imeendelea kutimua vumbi kwa timu ya Airport SC kuifunga Makulusa FC...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO KUJADILI MASUALA YA KIJINSIA

Serikali imekutana na wadau wa Maendeleo Jijini Dar es Salaam kujadiliana kuhusu utekelezaji wa Sera na Mipango ya kitaifa inayohusu masuala ya jinsia ikiwemo Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza vitendo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Tulia Ackson akiongoza  kikao cha thelathini na moja  cha mkutano wa kumi na moja cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.Naibu Waziri wa Mambo...

View Article
Browsing all 110078 articles
Browse latest View live




Latest Images