Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEWA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA...

Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum - Young (wa pili kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere (kulia)...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA YAMWAGA AJIRA 8,000 SEKTA YA AFYA NCHINI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO                                                                                              Serikali kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA KUWAIT AZINDUA KISIMA CHA MAJI KATIKA SHULE YA IBNU JAZAR

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem amezindua kisima cha maji safi na salama katika Shule ya Msingi na Sekondari ya Ibnu Jazar iliyopo Vikindu Mkoa wa Pwani. Katika hafla hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPATO YA UTALII YAONGEZEKA KUTOKA DOLA BIL. 1.7 HADI KUFIKIA DOLA BIL. 2.2

Na Octavian KimarioMapato yanayotokana na utalii yameongezela kutoka Dola za Marekani Bil. 1.7 mwaka 2012 hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 2.2 mwaka 2017 ambapo ongezeko hilo limetokana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSHANA AILEZA MAHAKAMA ALIVYOSHTUKA ALIPOPOKEA TAARIFA YA BV1 ILIYODAI TBC...

*Ni katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa TBC Tido MhandoNa Karama Kenyunko, Globu ya jamiiALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Clement Mshana  ameileza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISA MAUZO KAMPUNI YA AGGREY &CLIPFORD KORTINI KWA TUHUMA ZA TAARIFA ZA...

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii.OFISA Mauzo wa Kampuni ya Aggrey&Clipford, Razack Hamad (26) amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kijubu shtaka  la kuchapisha taarifa za uchochezi kupitia...

View Article

INTRODUCING TUNDA MAN - MAMA (Official Video)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Nishati azindua Baraza la Kwanza la Wizara ya Nishati

Atoa maagizo mbalimbaliWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua Baraza la Kwanza la  Wizara ya Nishati na kutoa maagizo mbalimbali kwa Watendaji wa Wizara na Taasisi ili  Sekta ya Nishati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI KANDA MAALUM DAR YAWASHIKILIA WATU 10 KWA TUHUMA ZA WIZI WA KUTUMIA...

Na Emmanuel Masaka, Globu ya jamiiKAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa  amesema hali ya usalama ya Jiji hilo ni shwari  huku akielezea matukio kadhaa ambayo yametokea katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA MIKOPO YAFAFANUA KUHUSU UMILIKI WA LESENI ZA BIASHARA KWA WAZAZI SIO...

Tunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zisizo za kweli zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa waombaji wa mikopo ambao wazazi wao wanamiliki leseni za biashara hawatapata mikopo ya elimu ya juu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SOPHIA MJEMA AHIMIZA WATUMISHI ILALA KUCHAPA KAZI, AZINDUA KAMPENI YA...

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMKUU wa Wilaya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam Sophia Mjema amewahimiza watumishi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii huku...

View Article

VOA Swahili: Duniani Leo Mei 11, 2018

View Article

HABARI ZA UMOJA WA MATAIFA LEO MEI 11, 2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Mambo ya Nje Kushiriki Maadhimisho ya siku ya Afrika

Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Balozi Grace Mujuma amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wa nchi za Afrika wanao wakilisha nchi zao hapa nchini,Mabalozi hao ni kutoka nchi za Namibia na Malawi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI ANAWEKA HISTORIA KUBWA KATIKA SEKTA YA AFYA NCHINI - Jafo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amewaeleza wananchi wa wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera kwamba Rais Dk.John Pombe Magufuli anaweka historia...

View Article


MAPATO YA UTALII YAONGEZEKA KUTOKA DOLA BIL. 1.7 HADI KUFIKIA DOLA BIL. 2.2 -...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFAFANUZI: UMILIKI WA LESENI ZA BIASHARA WA WAZAZI SIO SIFA KUKOSA MKOPO...

Abdul-Razaq Badru, Mkurugenzi MtendajiBodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya JuuTunapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zisizo za kweli zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa waombaji wa mikopo...

View Article


RC MNDEME AIFUTIA LESENI KAMPUNI YA ZUMA CARGO KWA UPOTEVU WA TANI 15 ZA KOROSHO

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mhe. Christina Mndeme ameifutia leseni kampuni ya Zuma Cargo kwa upotevu wa tani 15  za korosho ambazo hazijulikani ziliko na kuiagizaTaasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRECISION AIR YAPANDA MITI 1000 HIFADHI YA TAIFA YA MSITU YA MLIMA KILIMANJARO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Shirika la Ndege linaloongoza Tanzania, Precision Air, limeshiriki katika jitihada za kuhifadhi mazingira katika maeneo ya hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. Katika kutimiza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA ULAYA (EU) NA SERIKALI WATANGAZA USHIRIKIANO UFADHILI WA MASOMO YA...

Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako akiongea na wadau wa Elimu na Utafiti jijini Dar es Salaam leo Mei 11, 2018, wakati wa kutangaza ushirikiano kwenye masuala ya utafiti...

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images