Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110153 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFAFANUA JUU TAARIFA POTOFU KUHUSU WAMASAI...

View Article



BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI 10.05.2018

View Article

AZAM TV: Kilichowatoa Sugu na Masonga chatajwa na kufafanuliwa

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MAHIGA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ISRAEL MHE. BENJAMIN NETANYAHU JIJINI...

Waziri Mkuu wa Israel Mhe. Benjamin Netanyahu (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga kwa ajili ya kufanya mazungumzo...

View Article

LIVE: Mkutano Mkuu wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania - TAPSEA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NINI UFANYE IKIWA MNUNUZI WA ARDHI YAKO AMESHINDWA KUMALIZIA MALIPO.

Na  Bashir  Yakub.Ume;muuzia mtu kiwanja au nyumba. Mmeandika mkataba na kuusaini tena mbele ya mwanasheria. Kwenye mkataba mmeweka vipengele vingi  lakini kimojawapo kinahusu umaliziaji wa pesa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA MAONESHO YA NISHATI MBADALA YA MKAA KATIKA WIKI YA MAADHIMISHO...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watumishi MAELEZO Wakunwa na Huduma TTCL

 Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari - MAELEZO, Rodney Thadeus akifafanua jambo mbele ya watumishi wa Idara hiyo walipokutana na ujumbe kutoka Shirika la Simu Tanzania (TTCL) kwa ajili ya kujengewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA UJUMBE WA EU

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage (katikati) akieleza jambo wakati alipokutana na ujumbe kutoka Ubalozi wa Jumuiya ya Ulaya kujadiliana Taarifa ya Utazamaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAGAMOYO YAFANYA TATHMINI YA MAFURIKO -LATU

Na Mwamvua Mwinyi,BagamoyoHalmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani inafanya tathmini ya mafuriko ya mvua yaliyotokea ili waweze kununua dawa kwa ajili ya kuua wadudu wanaoweza kuleta magonjwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Mkoa Simiyu alishukuru shirika la Amref kwa kubabidhi "Ambulance".

Na BMGMkuu wa Mkoa Simiyu, Mhe.Antony Mtaka amelishukuru na kulipongeza shirika la Amref Health Africa kwa mchango wake mkubwa wa kuboresha huduma za afya katika mkoa huo.Mhe.Mtaka ametoa pongezi hizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADAKTARI WAZALENDO WAPATIWA MAFUNZO YA SIKU TATU UBONGO NA UTI WA MGONGO

Na Ramadhani Ali – Maelezo Zanzibar Waziri wa Afya wa Zanzibar Hamad Rashid Mohamed amesema kuwepo kwa Taasisi ya kutibu maradhi ya mishapa ya fahamu na uti wa mgongo (Neuro) hapa Zanzibar ni heshma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMISHNA WASTAAFU POLISI WAAGWA RASMI KWA GWARIDE MAALUM

 Makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve na Elice Mapunda wakiwaaga Maofisa na Askari Polisi huku wakisukumwa katika gari maalumu wakati wa Gwaride lililoandaliwa kwa ajili ya kuwaaga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMAJKT KUINUA UCHUMI WA HANANG,MANYARA

Na Mahmoud Ahmad,Hanang.Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la KujengaTaifa(SUMAJKT) linakusudia kujenga hoteli kubwa ya kisasa yenye hadhi ya nyota tano na miradi mingine mikubwa ya kiuchumi wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI,RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA KATIKA OFISI NDOGO...

 . Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge  akiongoza kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma. Mbunge wa Mtera Mhe.Livingstone...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPATO YA UTALII YAONGEZEKA HAPA NCHINI

Na Mahmoud Ahmad DodomaImeelezwa kuwa Ukuaji wa sekta ya utalii hapa nchini, umedhihirika mapato yatokanayo na utalii kuongezaka kutoka Dola bilioni 1.7 mwaka 2012 hadi kufikia Dola bilioni 2.2 mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABINBEV NA WASHIRIKA KULETA MAPINDUZI MAKUBWA KWA WAKULIMA WADOGO

Ni kutokana na matumizi ya teknolojia za kisasa Wataalamu mbalimbali walioudhuria kongamano la The East Africa (EA) Innovation Event la kampuni mama ya TBL Group ya ABInBev lenye lengo la kuleta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADHI YA WABUNGE WAWAKILISHI JUKWAA LA KIBUNGE NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUTOKA...

 Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Najma Giga (kushoto) akimsikiliza na mgeni wake Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Mkuu Mhe. Onyango kakoba (kulia) alipomtembelea leo katika Ofisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF ALI IDD AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TAPSEA, ZANZIBAR LEO

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akitoa hotuba yake katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA), unaofanyika kwenye...

View Article
Browsing all 110153 articles
Browse latest View live




Latest Images