TPDC yawanoa viongozi wa dini kuhusu sekta ya mafuta na gesi asilia
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendeleza utaratibu wake wa kutoa elimu zaidi juu ya sekta ya gesi asilia na mafuta kwa wadau mbalimbali safari hii ikiwa ni kwa viongozi wa dini...
View ArticleMichezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA kutumika kuibua vipaji vya wanamichezo nchini
Na Genofeva Matemu – WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka walimu wa michezo nchini kutumia michezo ya UMISSETA na UMITASHUMTA kuibua vipaji kupitia...
View ArticleWAZIRI MAHIGA AFUNGUA OFISI YA UBALOZI WA TANZANIA, ISRAEL
Dkt, Mahiga afungua Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania, IsraelWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga amezindua rasmi ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Israel...
View ArticleAirtel yaja na Fursa ya wekeza na Airtel Money Branch
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia Airtel money imedhamiria kuwakomboa Watanzania kwa kutoa ajira kwa kuanzisha ushirikiano wa uwekezaji na uendashaji wa maduka yake ya kisasa...
View ArticleJAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 208...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo ameagiza kufungwa mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji wa mapato katika vituo vyote vya Afya 208...
View ArticleRC RUVUMA ATOA SIKU SABA VYAMA VYA MSINGI KULIPA MAMILIONI KWA WAKULIMA WA...
Mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME ametoa siku saba kwa vyama vya msingi vya chama kikuu cha ushirika (TAMCU) wilaya ya TUNDURU mkoani humo kuwalipa wakulima wa korosho milioni mia mbili ambazo...
View ArticleBENKI YA DUNIA YATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA WATUMISHI WA UMMA JUU YA...
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiMkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Malawi, Burundi na Somalia, Bela Bird leo amefungua warsha ya siku mbili kwa watalaamu na Watumishi wa Serikali...
View ArticleWASHIRIKI WA WAZO LA UBUNIFU WA TEKNOLOJIA YA MAPINDUZI YA KILIMO YA ABINBEV...
Washiriki wa wazo la ubunifu wa teknolojia ya mapinduzi ya kilimo ya ABINBEV na TBL Group wapigwa msasa Dar es Salaam Washiriki wa wazo la ubunifu la kuleta mapinduzi kwenye sekta ya kilimo...
View ArticleTAPSEA KUFANYA MKUTANO MKUU ZANZIBAR
Na Ali Issa, Maelezo Zanzibar Makatibu Mahsusi wa Taasisi za Serikali na Watu Binafsi Wametakiwa Kufanya Kazi zao Kwa Kufuata Sheria na maadili ya kazi hiyo kama zinavyo waelekeza ili kuleta ufanisi...
View ArticleSerikali Kuendelea Kuhakikisha Kuwa Pembejeo Zinawafikia Wakulima kwa Wakati
Frank Mvungi- MAELEZOSerikali imesema itaendelea Kuhakikisha kuwa Pembejeo za Kilimo zinawafikia Wakulima kwa wakati na kwa bei nafuu ili kukuza sekta ya Kilimo.Akijibu swali la Mbunge wa Mpanda Mjini...
View ArticleMAKAMANDA WA POLISI WAJINOA KUUKABILI UKATILI WA KIJINSIA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP, Simon Sirro akizungumza wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku...
View ArticleWaziri Mwakyembe afungua Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
Na Genofeva Matemu- WHUSMTimu za majeshi kupitia michezo mbalimbali zimetakiwa kuweka mikakati na kuibua wanamichezo wazuri ambao wataiwakilisha vyema nchi katika mashindano ya kimataifa na kuleta...
View ArticleUZINDUZI WA COPA UMISSETA SINGIDA WAFANA
Mashindano ya Copa Umisseta ngazi ya mikoa yanaendelea ambapo yamezinduliwa mkoani Singida, katika uwanja wa Namfua ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa mkoa huo, Dk. Rehema Nchimbi, aliyemwakilisha...
View ArticlePICHA : NYUMBA ZA KANDO KANDO NA MTO ZINAONDOKA NA MAJI KILA MWAKA
Kutokana na mvua za masika zinazoendelea kunyesha katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani zimekuwa zikisababisha baadhi ya nyumba zilizojengwa karibu na mito kuondoka na maji ya mvua kila mwaka kama...
View ArticleWATUMISHI WANAWAKE ILALA WAANZA KAMPENI KUFANIKISHA UJENZI CHOO CHA MTOTO WA...
Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiWATUMISHI Wanawake katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wameamua kuanzisha kampeni maalumu ya ujenzi wa Choo cha mtoto wa kike kwa kuanza na...
View ArticleWAZIRI UMMY – SERIKALI IMETENGA BILION TATU (3) KWA AJILI YA KUDHIBITI UKIMWI...
Dar es salaam: Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) kwa kushirikiana na Tume ya kuthibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) ilizindua zoezi la upandaji wa mlima Kilimanjaro (Kili Challenge 2018), na kuendesha...
View ArticleMASHINDANO YA HISANI YA MBIO ZA MBUZI KUENDELEA MWAKA HUU
Mashindano maarufu ya hisani ya mbio za mbuzi jijini Dar es salaam yanatarajiwa kuendelea mwaka huu. Baada ya tangazo la mwaka jana la kamati iliyokuwa ikiandaa mashindano hayo kuamua kusitisha...
View ArticleMsajili Baraza la Uuguzi Tanzania Aanza Kazi Rasmi, apokewa kwa shangwe
Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania, Bi. Agnes Mtawa leo ameanza kazi rasmi baada ya kukabidhiwa ofisi tangu alipoteuliwa kushika nafasi hiyo mwezi uliopita. Bi. Agnes Mtawa anachukua nafasi...
View ArticleWAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AVUTIWA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(wa pili kulia)akimsikiliza Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Dkt Masudi Senzia juu ya miradi ya upanuzi wa Chuo hicho inayoendelea...
View Article
More Pages to Explore .....