Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA KITUO CHA MABASI CHA KISASA MSAMVU, MOROGORO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifunua pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa kituo cha mabasi cha kisasa kilichojengwa eneo la Msamvu katika manispaa ya Morogoro leo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAINGEREZA WAVUTIWA KUWEKEZA SELOUS, DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUWEKWA...

Na Hamza Temba-WMU-DodomaWaziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameagiza uandaliwe mkataba wa makubaliano ya awali (MoU) ya utekelezaji wa mradi wa kuendeleza utalii wa picha katika Pori...

View Article

CALL TO PARTICIPATE IN THE FIRST NATIONAL SKILLS DEVELOPMENT WORKSHOP AT...

View Article

WALIDI ASEMA AMERUDI NYUMBANI KUFANYA KAZI NA WANAMUZIKI WA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kidato cha 6 Kuanza Mtihani wa Taifa nchi nzima leo

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limesema watahiniwa 87,643 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita utakaoanza kesho Mei 7, 2018. Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde (pichani)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRS LIGATE FUNERAL ARRANGEMENT FUND

Dearest Family and Friends,The Family of Brig. Gen (Ret) P.S. LIGATE Announce with Deep Sorrow The Passing of our Beloved Mother Nderikyo Elizabeth Ligate on the 1st of May 2018 at Nakasero Hospital in...

View Article

CSI waadhimisha siku ya wakunga duniani

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Mengi aitikia wito wa rais kujenga kiwanda cha dawa,Ummy azindua ujenzi

Na Mwandishi wetuMWENYEKITI Mtendaji wa IPP Dk Reginald Mengi ameingia ubia na Mwekezaji kutoka India kujenga kiwanda cha dawa kitakachogharimu dola za kimarekani milioni 55 sawa na shilingi bilioni 55...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TTCL YAENDELEA KUTOA LINE BURE MTWARA

JOSEPH MPANGALA , MTWARA Kampuni ya Mtandao wa sim TTCL Cooperation Imeendelea Kutoa na Kusajili line za sim Bure ili kuwawezesha wateja wake wapya kuweza kuwasilina kwa bei nafuu pamoja na kujiunga na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Radio jamii zaomba ruzuku kwa serikali

Na Mwandishi wetu,SERIKALI imeombwa ifikirie kutoa ruzuku kwa radio za jamii kupitia Mtandao wa Asasi ya Habari za Maendeleo (TADIO) ili waweze kuandika habari ya mambo yanayojiri vijijini badala ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Biteko apiga marufuku bei holela madini ya ujenzi

Na Greyson Mwase, TangaNaibu Waziri wa Madini, Doto Biteko amepiga marufuku tabia ya wachimbaji wa madini ya ujenzi ya kushusha bei ya madini hayo kwa ajili ya kuuza kwa wingi, badala ya kufuata bei...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge wa Afrika Mashariki wamtembelea Balozi Chikawe - Tokyo

 Wabunge hao wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chapter ya Tanzania hivi kariuni wamezuru Ubalozi wa Tanzania Tokyo,nchini Japan,wakiwa kwenye ziara ya wiki moja nchini humo. Pichani kushoto ni Ndugu Charles...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA HABARI DODOMA WAPEWA SOMO

WADAU wa habari mkoa wa Dodoma wameshauriwa kutumia wanahabari katika kuchochea mipango na shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye ngazi zote za utawala ili kuhabarisha umma.Kauli hiyo ilitolewa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati za mashindano Handeni Kwetu Cup zaaswa kutimiza wajibu wao

VIONGOZI wa mpira wa miguu katika kata mbalimbali wilayani Handeni, mkoani Tanga, wameaswa kuhakikisha kwamba wanatimiza wajibu wao wa kuratibu na kuyasimamia mashindano ya Ligi ya Handeni Kwetu Cup...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NDIYE SAMAKI MWENYE LADHA NZURI KULIKO WENGINE WOTE DUNIANI-PROF MWANDOSYA.

Prof Mark Mwandosya akionesha samaki aina  Mbasa (Opsaridium microlepis),waliovuliwa mapema leo asubuhi Matema,Matema katika Ziwa Nyasa. Prof.Mwandosya amesema kuwa aina Samaki huyo ni mwenye ladha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufunguzi wa Kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF CUP 2018) kufanyika kesho

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho tarehe 8 May, 2018 litafungua rasmi mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF CUP) kuanzia saa 6:00 mchana katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA FEDHA KANDA MAALUM YA KIUCHUMI KUTOKA...

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na mgeni wake Mkurugenzi wa fedha kutoka Kanda Maalum ya kiuchumi nchini Gabon, Ndg. Aashutosh Agarwal (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MTENDAJI TIC:UKUAJI WA KASI WA UCHUMI WA TANZANIA KIVUTIO KWA...

*Azungumzia miradi mipya 109 waliyoisajili kwa kipindi cha miezi minne,fursa za ajiraNa Said Mwishehe,GlobuMKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) Geoffrey Mwambe ametoa hakikisho kwa...

View Article

SERIKALI YAWAHAKIKISHIA WANANCHI UPATIKANAJI WA MAFUTA YA KULA NCHINI

View Article

TAASISI ZA FEDHA ZAKOPESHA BILIONI 59 KWA WANANCHI KUPITIA HATI ZA KIMILA

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images