Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109973 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

balozi dkt dau ashiriki kongamano la Kitaifa kujadili zao la nazi nchini...

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Thailand, Philippines, Cambodia, Brunei, Laos pamoja na Indonesia Mhe Dkt Ramadhani Kitwana Dau, leo ameshiriki  katika Kongamano la Kitaifa kujadili zao la nazi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA KUPATA DOLA MILIONI 512 KWA AJILI YA KUKINGA NA KUDHIBITI UKIMW

Na.WAMJWSerikali inatarajia kupata dola ya kimarekani milioni 512 kwa ajili ya mapambano dhidi ya UKIMWI kutoka Serikali ya Marekani kupitia fungu la mradi wa dharura wa Rais wa kupambana na UKIMWI...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA 04.05.2018

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kitabu kinachofichua siri za mauaji ya ALBINO

Kitabu kinachofichua siri za mauaji ya ALBINO ambacho ni kazi ya uchunguzi wa takriban miezi minane iliyofanywa na mwanahabari Daniel Mbega baada ya kuzunguka katika mikoa yote ya Kanda ya Maziwa Makuu.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Wauaga Mwili Wa Mfanyakazi...

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mfanyakazi mwenzao ambaye ni Daktari bingwa wa usingizi kwa watoto na wagonjwa mahututi Onesmo Mhewa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU NOVATI SIMEON RUTAGERUKA

TAREHE 5 - MEI - 2018, UMETIMIZA MIAKA NANE TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI.  PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA. UNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WAKO...

View Article

VOA Swahili: Maonesho ya utamaduni wa Kenya jijini Atlanta, Marekani

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja Mwakilishi wa DFID nchini Beth Arthy kushoto  na Mkuu wa Umoja wa Jumuiya ya Ulaya Balozi Roeland van...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MENEJIMENTI YA MAHAKAMA YA TANZANIA YAWAAGA MAJAJI WAPYA WALIOTEULIWA KUTOKA...

Waheshimiwa Majaji wapya wa Mahakama Kuu walioteuliwa kutoka Mahakama wakiwa katika picha ya pamoja, katikati ni Mhe. Ilvin Mugeta, Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, kushoto ni Mhe. Elinaza Luvanda,...

View Article


PROF NDALICHAKO AVIAGIZA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KUWACHUKULIA HATUA...

View Article

SERIKALI KUREJESHA MIKOPO KWENYE MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK RICHARD MASIKA ATEULIWA MWENYEKITI WA BODI YA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI...

Filbert Rweyemamu,Arusha.Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Mhandisi Isack Kamwele amemteua Mhandisi Dk. Richard Masika kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira jiji la...

View Article

INTRODUCING Rayvanny Ft S2kizzy - Pochi Nene (Official Music Video)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU SPIKA TULIA ACKSON AJIFUA KUJIANDAA NA MBIO ZA MTM KESHO

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson (katikati mbele) akiwaongoza baadhi ya wanamichezo Jijini Mbeya katika mazoezi ya kukimbia zaidi ya Kilomita 8 kutokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Halmashauri ya Manispaa Kigamboni yapongezwa kwa kupata Hati safi

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni limeipongeza Manispaa kwa kupata Hati safi baada ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Bw.Stephen Katemba kutoa taarifa ya kupokea ripoti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA UTAWALA NA SERIKALI YAFANYA ZIARA TAGLA JIJINI DAR

 Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, wakiwa katika mkutano ulioendeshwa kwa kwa njia ya video kwa kuunaga na wadau waliokuwepo Dodoma, Arusha na Nairobi nchini Kenya,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA APOKEA MIPIRA 25 KUTOKA KWA MKURUGENZI MKUU WA COCACOLA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mipira 25 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Cocacola Tanzania Basil Gadcios, kwa ajili ya timu ya Namungo FC ya Wilayani Ruangwa, kwenye makazi yake Oysterbay jijini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA MASUALA YA MANUNUZI

 Kamishna wa Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma Wizara ya Fedha na Mipango, Dk.Frewdrick Mwakibinga akizungumza kuhusu Kongamano la Kimataifa la Ununuzi wa Umma linalo tarajia kufanyika Agosti 8 mpaka 10...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAELEZA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI HAPA NCHINI - NAIBU WAZIRI JAPHET...

Na Hamza Temba - DodomaNaibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga ametoa wito kwa wananchi kutumia fursa kubwa iliyopo hapa nchini ya ufugaji nyuki na uwepo wa masoko ya ndani na nje ya nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wizara ya Mambo ya Nje yajipanga kutekeleza Sera ya Uchumi wa Viwanda

Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wametakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kutimiza malengo ya Serikali ya awamu ya tano ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda....

View Article
Browsing all 109973 articles
Browse latest View live




Latest Images