Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE YA KIMATAIFA TANGANYIKA ILIYOPO UPANGA DAR YAWAKUMBUKA WALIOKUMBWA NA...

 Na Heri ShaabanSHULE ya Kimataifa  Tanganyika iliyopo Upanga wilayani Ilala jijini Dar es Salaam imetoa msaada wa nguo kusaidia wananchi waliokumbwa  na mafuriko.Msaada  huo ulitolewa na Mwasisi wa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

ESRF yaratibu ziara ya wataalamu wa uchumi kutembelea shughuli za...

 Mkurugenzi Mtendaji   wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii. (ESRF), Dkt. Tausi  Kida (kushoto) na Profesa Kaushik Basu (katikati), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni inayojishughulisha na...

View Article

Habari za UN leo Mei 2, 2018

View Article

VOA Swahili: Duniani Leo Mei 2, 2018

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 02.05.2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Accreditation of H.E. George Kahema Madafa as High Commissioner of the United...

The High Commissioner of the United Republic of Tanzania H.E. George Kahema Madafa presented the Letters of Credence to Her Excellency, Marie-Louise Coleiro Preca, President of Malta, on 10/04/2018....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akipatiwa maelezo kutoka kwa msimamizi wa ukandarasi wa TBA  juu ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kilolo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AWAANDALIA CHAKULA CHA JIONI WAZEE WA IRINGA, VIONGOZI WA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha wazee wa Kihehe kwenye hafla ya chakula cha jioni aliyowaandalia wao pamoja na viongozi wa dini, siasa na wa TUCTA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkongwe Ndimara ataka serikali kutopewa sababu ya ‘kubana’ waandishi wa habari

Na Mwandishi wetu, DodomaWAANDISHI wa habari wanapaswa kuandika na kutangaza habari zao kwa weledi na kuzingatia maadili ili kuepuka kuandika habari zinazoipa serikali sababu ya kufungia vyombo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI,MBUNGE MAVUNDE NA DC NDEJEMBI WATIMIZA AHADI YAO YA KUCHANGIA...

Rais Dk.John Pombe Joseph Magufuli jana amewasilisha mchango wake wa  10,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya Shule ya Msingi Veyula iliyopo Jijini Dodoma ikiwa ni ahadi aliyoitoa kwa wananchi...

View Article

MZEE MAJUTO KUELEKEA INDIA KWA MATIBABU SIKU YA IJUMAA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW PROPERTY AVAILABLE FOR IMMEDIATE LEASE

New Property available for immediate lease at UDOE HOUSE is a spacious new building located on plot no 30 block 61 at UDOE Street, Kariakoo, Ilala - Dar es Salaam. UDOE House is a brand new property...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC KIGAMBONI AWAONDOLEA TAHARUKI WANANCHI WA KIBADA KUBOLEWA NYUMBA ZAO

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mh.Hashim Mgandilwa ameondoa hali ya taharuki iliyokuwa imetanda miongoni mwa wananchi wa Kata ya Kibada waliowekewa alama ya kubomoa majengo yao na  wakala wa barabara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GGM na TACAIDS kuzindua Kilimanjaro Challenge 2018

Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) kwa kushirikiana na Tume ya kuthibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) inatarajia kuzindua zoezi la upandaji wa mlima Kilimanjaro (Kilimanjaro Challenge 2018), na kuendesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI KUWASILI NCHINI LEO

Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Mhe. Heiko Maas anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili nchini tarehe 03 na 04 Mei, 2018. Lengo la ziara hiyo ni kuimarisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA ZANZIBAR YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI

  Afisa Elimu na Huduma kwa walipa kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Afisi ya Zanzibar Abdallah Seif akiwasilisha mada ya Sheria za Kodi zinazoisimamiwa na Mamlaka hiyo katika mafunzo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KALEMANI, MGALU WAONGOZA KIKAO CHA MAJADILIANO YA MAENDELEO MRADI WA LNG

Na Veronica Simba – DodomaWaziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani na Naibu Waziri Subira Mgalu wameongoza kikao kilichojadili maendeleo ya Mradi wa Gesi ya Kusindikwa (LNG).Kikao hicho kilifanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA MASUALA YA JINSIA WAENDELEZA MAJADILIANO KATIKA UANDAAJI WA KITINI...

 Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jinsia kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Mboni Mgaza akifafanua jambo kuhusu masuala ya kijinsia  kwa wataalam na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI KIGOMA WAHIMIZWA KUZINGATIA WELEDI, KUONGEZA UBUNIFU ILI KUCHOCHEA...

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.WANAHABARI mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa weledi na kuongeza ubunifu katika kazi zao ili kuchochea maendeleo ya mkoa huo.Rai hiyo ilitolewa jana na Mkuu wa Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPELELEZI KESI KIGOGO WA TPA ANAYEDAIWA KUJILIMBIKIZA MALI ZA BILIONI 1.4/-...

Na Karama Kenyunko,Globu ya jamiiMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu ,imeelezwa upelelezi wa kesi ya kujilimbikizia mali zenye thamani ya Sh.bilioni 1.4  zisizolingana na kipato chake halali inayomkabili...

View Article
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live


Latest Images