Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109592 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk.Tulia azindua Tulia Marathon jijini Dar es Salaam

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiTaasisi ya Tulia Trust imezindua Tulia Marathon itakayofanyika Mei 6 katika uwanja Sokoine jijini Mbeya.Akizungumza na waandishi habari wakati wa uzinduzi wa Tulia...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUHIMBILI KUPANDIKIZA FIGO WAGONJWA 200 KWA MWAKA

Dar es salaam, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeweka mipango ya muda mrefu na muda mfupi ili kuhakikisha huduma ya upandikizaji figo inakuwa endelevu, na imedhamiria kupandikiza figo kwa wagonjwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Woolworths yafungua duka Mlimani City, yajipanga kufunga lingine Dodoma

Kampuni ya nguo la Woolworths imefungua duka mpya la nguo lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam, likiwa ni duka la tano la kampuni hiyo kwa hapa nchini.Akizungumza katika hafla ya ufunguzi huo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANAPA YAKABIDHI HUNDI YA SHILINGI MILIONI 50 KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU MKOANI...

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .Shirika la Hifadhi za Taifa leo limekabidhi mchango wa Shilingi Milioni 50 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa shule tatu za vipaji maalumu katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA TANZANIA YA VIWANDA LAFANA MKOANI IRINGA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Jenista na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage wakiimba wimbo wa Umoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMISSETA YAZINDULIWA MTWARA

JOSEPH MPANGALA -Mtwara. Mashindano ya Copa CocaCola Umisseta 2018 yamezinduliwa rasmi katka mkoa wa Mtwara. Akizindua mashindano hayo kaimu mkuu wa mkoa wa Mtwara, ambaye ni mkuu wa wilaya, Evod...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AHANI MSIBA WA KANDORO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombelezo ya Marehemu Abbas Kandoro aliyefariki jana kwenye Hospitali ya Taifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RMO,DMO TENGENI SIKU ZA UCHUNGUZI WA SARATANI-WAZIRI UMMY

WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amewataka waganga wakuu wote wa mikoa na wilaya nchi nzima kutenga siku moja kwa mwezi kwa ajili ya uchunguzi wa saratani ya shingo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RUVUSHOOTING APAPASWA NA MAJI MAJI 3 – 1, MARCEL AONDOKA NA MPIRA

Mchezo kati ya Maji Maji na Ruvu shooting katika uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma umemalizika na Maji Maji kuibuka mbabe wa bao 3 – 1 Mabao yote matatu ya Maji Maji yamefungwa na Marcel...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chuo cha Kodi Chapongezwa Kuwajengea Uwezo Wanafunzi Wake

Naibu Kamishna wa Kodi za Ndani kutka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Michael Muhoja akizungumza alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya tatu ya Siku ya Ujuzi na Taaluma ya Chuo cha Kodi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AfDB YAAHIDI KULING'ARISHA JIJI LA DODOMA NA KUONGEZA MABILIONI YA DOLA...

Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB, Dkt. Akinumwi Adesina, amemaliza ziara yake ya siku tatu nchini na kuahidi kuwa atahakikisha Tanzania inaendelea kunufaika na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AZINDUA SIKU YA MWANAMKE WA MFANO TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Wanawake walikuwa na mchango mkubwa katika harakati za Uhuru wan chi hii. Makamu wa Rais ameyasema hayo wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIGOMA WAOMBWA KUICHANGIA TIMU YA WANAWAKE YA MKOA HUO ILI IFANYE VEMA

Na Ripota Wetu, KigomaWADAU mbalimbali wa maendeleo na soka wameombwa kuiunga mkono timu ya Wanawake wa Mkoa ya Kigoma Sisters ili waweze kuendelea kufanya vema kwenye michuano mbalimbali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAMADHAN KAREEM 2018 (1439 A.H.)

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA JIJI LA DAR KUSHUHUDIA MTANANGE WA SIMBA, YANGA LEO

MEYA wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita atakuwa miongoni mwa watazamaji wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaowakutanisha Simba na Yanga.Mchezo huo wa aina yake utachezwa leo saa 10...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IDADI YA WAATHIRIKA MAFURIKO YA MVUA KATA YA MWARU YAFIKIA ZAIDI YA WAKAZI 700

Na Jumbe Ismailly, IKUNGI IDADI ya wakazi wa vijiji vya Kaugeri na Mduguyu,kata ya Mwaru,wilaya ya Ikungi waliokosa makazi kutokana na nyumba zao kuanguka kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMEKUCHA MISS TABORA 2018

Kumekucha: Fomu za kushiriki mashindano ya Miss Tabora zitaanza kutolewa tarehe 02/05/2018 hadi tarehe 20/05/2018 katika ofisi zote za utamaduni za Wilaya na Halmashauri za Mkoa wa Tabora. Auditions...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUENDELEA KUKOMESHA AJIRA HATARISHI ZA WATOTO

Serikali imedhamiria kuendelea kukomesha ajira hatarishi za watoto ili kuhakikisha kuwa watoto wanalindwa na kuwapa nafasi stahiki kulingana na sheria na kanuni zilizopo nchini. Hayo yameelezwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJASIRIA MALI Z'BAR WAPEWA MBINU MPYA.

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.WANAWAKE visiwani Zanzibar wameshauriwa kutumia vizuri fursa ya ujasiriamali kwa lengo la kujiongezea kipato na kujiajiri wenyewe.Ushauri huo umetolewa na Mkurugenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WAELEMISHWA KUHUSU CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

Muuguzi wa kituo cha Afya Madaba wilayani Songea Ponsiana Haule akimpatia chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Madaba Day wilayani Songea...

View Article
Browsing all 109592 articles
Browse latest View live




Latest Images