Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live

WAZIRI DKT HARRISON MWAKYEMBE AKISOMA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA HABARI,...

View Article



MUUNGANO: Shuhudia watoto walivyomuigiza Rais Magufuli na Samia hadi r

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wateja 84 wa Tigo wajinyakulia simu janja za TECNO R6

Huku ukiwa imebakia wiki tatu tu kabla ya kufika kikomo cha promosheni kabambe ya Nyaka Nyaka bonus inayoendeshwa na kampuni inayoongoza kwa mageuzi ya kidigitali nchini ya Tigo Tanzania, kampuni hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Puma Energy Tanzania yajivunia ufanisi wa huduma ya mafuta iliyotoa kwa ndege...

KAMPUNI ya mafuta ya Puma Energy Tanzania imejivunia ufanisi wa huduma ya mafuta iliyotoa kwa ndege kubwa aina ya Airbus 380 inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Emirates iliyotua kwa dharura Uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TAWLA CHATOA MREJESHO WA MRADI WA ONGEZEKO LA...

Isabela Nchimbi Afisa Mradi Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA akizungumza katika mkutano wa kutoa Mrejesho wa Matokeo ya Awamu ya Kwanza ya Mradi uliokuwa na lengo la Kuchangia Ongezeko la Uwakilishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA SAUDI ARABIA, KUWAIT NA...

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameonana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Saudi Arabia na Kuwait pamoja na Msimamizi wa Jumuiya ya Makampuni ya Albawardi inayoendesha hoteli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF YAWAELIMISHA WAAJIRI KUHUSU SHERIA MPYA YA HIFADHI YA JAMII NA WAJIBU...

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeendesha semina kwa waajiri wa Mkoa wa Temeke katika jijini Dar Es Salaam na kuhudhuriwa na waajiri takrabani 200 waliopo katika mkoa wa Temeke kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI BADO TISHIO RUKWA

Na Anthony Ishengoma-Wizara ya Afya. Mkoa wa Rukwa kwasasa huna jumla ya kesi 256 zinazohusiana na mimba kwa wanafunzi wa kike wa shule za sekondari na Msingi. Akiongea katika Mkutano uliondaliwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUENDESHA BODABODA KUTOKA KIBITI AJINYAKULIA MILIONI 140 ZA TATU MZUKA

 Pichani kulia ni Muendesha boda boda Magembe Daniel akiwa na Mama yake Mzazi Mama Magembe,wakiwa wameshika mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 140 baada ya kuibuka mshindi wa mchezo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mkuu wa Mkoa...

Mzee Abbas Kandoro enzi za uhai wake

View Article

Wahasibu Wanawake Wafanya Mkutano Jijini Dar es Salaam

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania yajikita kutumia fursa za soko la Afrika Mashariki.

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesisitiza kuendelea kushirikiana na taasisi nyingine za Serikali za Tanzania na Kenya ili kuhakikisha bidhaa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watoto wawili kuiwakilisha Tanzania kombe la Dunia Russia 2018

Programu ya Football for Friendship (F4F) 2018 inabadilisha ndoto ya kombe la Dunia la FIFA kuwa kweli kwa Zipora Mollel pamoja na Laigwanani Lomayani Mollel, vijana hao kutoka kabila la Maasai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya waadhimisha miaka 54 ya Muungano wa...

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Pindi Chana akiwakaribisha wageni waalikwa katika ufunguzi wa siku ya Tanzania ambayo huadhimishwa tarehe 26 Aprili siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar....

View Article

TAKUKURU YAOKOA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 21 KWA WAFANYA KAZI HEWA RUVUMA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoa wa RUVUMA imeokoa zaidi ya shilingi milioni 21 ikiwa ni marejesho yaliyolipwa kwa watumishi hewa kwenye Idara ya afya.Naibu Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMC YATOA MAFUNZO YA MAADILI KWA WANAFUNZI WA SHAHADA YA UZAMILI

Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, MAMC iliyopo Mloganzila imefanya warsha ya mafunzo ya maadili ya taaluma kwa wanafunzi wa shahada ya uzamili. Akizungumza...

View Article

MAMBO MATATU ALIYOYAZUNGUMZA MSAJILI WA NGOs WAKATI AKIFUNGA KIKAO CHA WADAU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBALOZI WA KUWAIT NCHINI WAKABIDHI VIFAA KUSAIDA WENYE MAHITAJI KWA HUMANITY...

Na Said Mwishehe,Globu ya jamiiUBALOZI wa Kuwait nchini Tanzania umekabidhi vifaa mbalimbali viwakimo vya watu wenye ulemavu wa ngozi kwa Taasisi ya Humanity Actions for Children Foundation ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WA TANZANIA WANAOSOMA CHUO KIKUU CHA SHARDA INDIA WASHEREHEKEA...

Na Emmanuel Masaka, Globu ya jamiiWANAFUNZI wa kitanzania wasoma katika Chuo kikuu cha Sharda nchini India jana Aprili 26 wamesherekea Sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na hiyo ni katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU MWENYEKITI HALMASHAURI YA MONDULI ATIMKA CHADEMA NA KUHAMIA CCM

Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli ndugu Edward Lenanu Laizer akitangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya Udiwani kata ya Naalarami na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM...

View Article
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live




Latest Images